William J. Malecela kugombea ubunge wa EAC

William J. Malecela kugombea ubunge wa EAC

Ni Wakati wa jf kuingia ndani Kwenye mapambano William Kama anhinga in jf so! Haijustify wewe kuspeculate I'd za member wengine hapa

Na Ilove this cause in clear huna ishu ila una chuki na wivu wa kufukuzwa Facebook pole sana ila jf huwa Tunaishi kea Sheria so

Es

kufukuzwa FB , UNALETA fikra zako sasa.

Mimi nisemacho si kwamba nakuchukia ila unashindwa kuigiza kwa Fake Id ulizonazo ! Kwa msomi yoyote atakuumbua tu.

Simchukii william kama Binadam , ila wazo la kujiona ama kutamani kuwa kiongozi wa Kitaifa ! Bado sikuelewi , bado nashangaa
 
kufukuzwa FB , UNALETA fikra zako sasa.

Mimi nisemacho si kwamba nakuchukia ila unashindwa kuigiza kwa Fake Id ulizonazo ! Kwa msomi yoyote atakuumbua tu.

Simchukii william kama Binadam , ila wazo la kujiona ama kutamani kuwa kiongozi wa Kitaifa ! Bado sikuelewi , bado nashangaa


Unajua banadam kuwa na chuki Kama zako ni hatari sana tena za bila sababu za msingi Mimi sio willy in es Hilo najua soon mods watakukumbusha ila Hizo chuki ni Hatari law Afya yako

Otherwise Ngoja nipande daladala nirudi mjini later bro


Es
 
Chuki na wivu tu bro hoja Huna utakufa na kikorosho Hicho koooni ha!ha! Mtu anayetaka uongozi Atakuja kukuomba uongozi wewe?

Es

wanaokosa Hawana Wivu , ila wanajitahidi kuliepusha taifa na watu duni kifikra , watu duni kiuongozi, watu duni Kielimu,
watu duni kijamii
 
hao watu wawili wako cdm. Need i say more?
No more,......... ingawa upinzani nao wana nafasi ya kutoa mtu kwa ajili ya ubunge wa East Africa lakini huwezi kupita bila kukubalika na CCM maana wao ndio wana kura nyingi za kupiga.
Habari za chini ya kapeti kwa upande wa upinzani ni kwamba CCM wanamuandaa Double Agent wao James Mbatia ndio wampe huo Ubunge wa EAC kama Asante yao kwake kwa kazi nzuri ya kuyumbisha kambi ya upinzani.
 
Unajua banadam kuwa na chuki Kama zako ni hatari sana tena za bila sababu za msingi Mimi sio willy in es Hilo najua soon mods watakukumbusha ila Hizo chuki ni Hatari law Afya yako

Otherwise Ngoja nipande daladala nirudi mjini later bro


Es

nakujibu ukamwambie William, Hana jipya, Hawezi Kuongoza, Anapwaya kimaadili, mtu wa mambo ya hovyohovyo .
ETI WIVU , SASA NAAMINI NDEGE WA RANGI MOJA HURUKA PAMOJA
 
- Alikuta mambo magumu na huu ni Mwaka 2012 kuna Miaka 3 zaidi kufikia 2015 ni mingi sana kwenye siasa, anything can happen, kutembelea jimbo sio kugombea jimbo, ni mpaka mgombea atangaze ndio ina make a sense kumjadili mgombea! Uwe na amani sana bro, 2015 ni bado mbaaali sana a lot can happen! Usijiaminishe kihivyo cause hujui kinachoendelea ingawa unafikiri unajua!

- JF ninasema tujifunze ku-support another JF anapogombea nafasi za uongozi wa Taifa, akiingia ni plus kwa JF nzima najua tuna tofauti zetu za itikadi, lakini ifike pahali tujali Taifa kwanza, badala ya personalities na majina au Chama ndio maana ninasema Mh. Leticia ni jasiri sana na anahitaji heshima sana!

FMeS!

njoo basi kama willi. Hata marehemu Regia alijiweka bayana wakati anaanza michakato. Njoo kiroho safi na jamii ya hapa itakuunga tu bila kujali itikadi. Ni bora ukawa bayana mapema
 
..kwanini Prof.Lipumba asifikiriwe kwa nafasi hii?

...Naunga mkono hoja, hiki ndio aina ya kichwa kinachofaa kuwepo kwenye majukwaa ya aina ya EAC, EAC is all about uchumi, hatupaswi kupeleka tu watu wa kwenda kulialia juu ya udhaifu wetu,kwani tayari watu wa aina hiyo tunao chungu nzima...
 
ban za humu nyingne huwa za kibwege,
tuwachukulie poa hawa mapunga
Mkuu Bajabiri nilitaka nikugongee LIKE lakini baada ya kuona wewe hujawahi kumgongea member yeyote humu hiyo LIKE nimeghairi na ninahisi unakabaliwa na tatizo la uchoyo. una maana hakuna post yeyote iliyowahi kukufurahisha humu jamvini?
 
Kabla huyu Mhishimiwa(WJM) hajatangaza nia ya kugombea Ubunge wa EAC aje jibu tuhuma za kukimbia Child support US...

Siku zote amekuwa akiulizwa suala hili anashindwa kujibu kwa hoja na badala yake anaanza kujibu matusi na maneno ya kashfa....
 
Hivi niwaulze kinawawasha nini haswa na huyu William maanake najua sana toka ametoka Marekani roho za watu za kichawi zinamfuata kila anapokwenda. Kwanza mnavumisha habari kibao wengine watu wake wa karibu sana, wengine walimsindikiza hadi Airport na kuanza kuvumisha habari mijini..
Iwe anafaa au haifai wewe kama Mtanzania interest zako ni zipi ktk jumuiya hiyo ya Mashariki maana kumchagua Lipumba au Kitila wakati hatufahamu kama wanakubaliana na mwelekeo wa Jumuiya yenyewe. Pengine hata wewe mwenyewe hukubalinaia na mtazamo wa Lipimba au Kitila hivyo nadhani tutakuwa tunamsaidia zaidi William, Kitila au Lipumba ikiwa mjadala huu utabadilika toka kumzungumzia William na kuwa sisi Watanzania tunataka Jumuiya hii iwe vipi. Hii itamsaidia Balozi yeyote kuwakilisha matakwa ya wananchi zaidi ya hizi porojo za hapa Kijiweni.

William hafai kwa sababu gani?..
 
Kabla huyu Mhishimiwa(WJM) hajatangaza nia ya kugombea Ubunge wa EAC aje jibu tuhuma za kukimbia Child support US...

Siku zote amekuwa akiulizwa suala hili anashindwa kujibu kwa hoja na badala yake anaanza kujibu matusi na maneno ya kashfa....

well said Bala

Jamaa must be either imbecile or ana shida kubwa ya kujua limit yake....

Anyway, mwanaume kukimbia mtoto ni issue nzito
 
Aaaah nimekugusa sio mtajitokeza wenyewe! - WANAFIKI WAKUBWA....
Bob......

Sidhani kama mtu kuhoji uwezo wa the so called WJM ni UNAFIKI....

Kumbuka nafasi inayodaiwa anataka kuigombea ni ya Uwakilishi wa nchi,Tanzania katika EALA......Akishinda atawawakilisha wananchi wa Tanzania,hivyo wananchi wa Tanzania wana haki ya kuhoji uwezo na sifa za huyo bwana WJM.....

Kama unamfahamu vizuri huyu bwana ni vema ukatueleza sifa zake(kiuongozi) zaidi ya kuwa BAHARIA.....Mbunge wa EALA ni zaidi ya Mbunge wa JMT..Hivyo anatakiwa ntu mwenye uwezo na sifa za kutetea maslahi ya Tanzania katika Jumuia ya Afrika Mashariki na si chekibobu wa aina yeyote ambaye hajawahi kuwa hata kiongozi wa mtaa zaidi ya porojo tu za JF na Facebook......Ubunge wa EAC ni zaidi ya kuishi na kuendesha gari US.....

Pia ni vema Mhishimiwa Mbunge Mtarajiwa akajibu tuhuma za kukimbia malezi ya watoto wake US......Maana kama ni kweli alikimbia Child support US basi atakuwa hafai kabisa kutuwakilisha EAC maana kama ameshindwa kuihudumia/kuiongoza familia yake atawezaje kuwa kiongozi mzuri wa Taifa letu hili changa?.....

Ni mtazamo tu.....

Bala.
 
Back
Top Bottom