William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
Hii inaitwa HEKIMA....
- Hekima? ha! ha! ha! ha! ha! kumbe unazo, ha! ha! ha! ha! hekimaaaaaaaah!
Es!
Hii inaitwa HEKIMA....
Mkuu wewe ni msemaji wa William au William ana pande mbili zilizo sawa?
Achana na Nyani Ngabu ndio wale wale wanaouza maduka ya chupi za wanawake, hapa mpaka kieleweke mkuu.....
Mwisho wa siku hapa JF itajipatia $ 100, nawasiliana mods sasa hivi ili hii thread iwe "STICKY"
Yap......Ninazo.....- Hekima? ha! ha! ha! ha! ha! kumbe unazo, ha! ha! ha! ha! hekimaaaaaaaah!
Es!
Kaka, mbona unatuangusha. Hauniangushi mimi, bali unaliangusha taifa zima. Unaangusha chama chako, unamuangusha, mkeo wanao pamoja na familia. Ni bor autabumbue kwamba unapigana na kivuli chako mwenyewe. Watu wanakuchora na wengi wataanza kujiuliza kuhusiana na afya yako hasa akili. Fanya hima mkuu haya mambo uachane nayo. hayana tija.- This time umekuja na wisdom, saafi saan ila keep it to yourself kwenye siasa ni maswali na majibu muuulize Salim maana ya kutokujibu, naomba ubaki na busara zako sizihitaji na wasalimie sana hukos!
Es!
Bala is Always Here.............- Kwani wewe ni nani kwa William? si ungeanza na kujisema ndio uwe na right ya kuuliza wengine! ha! ha! ha
OK PEOPLE, SASA NINAOMBA KU-RETIRE, NITARUDIA TU KUONA KAMA HIII THREAD IPO ILI NITOE AHADI YANGE YA USD $ 100.00 KWA JF KUMKOMA NYANI GILADI; MCHANA KWEUPEEEEEEEsssssss!
MUCH RESPECT WATU WOTE!, I AM OUT OF HERE!, UNLESS OTHERWISE1
SALUTE TO MODS!
ES!
- wOOOORD! uP! THIS IS WASUUUUUUUP! SALUTE!
ES!
Achana naye huyo.......Ni sikio la kufa......Mr. William Malecela,
Kaka, mbona unatuangusha. Hauniangushi mimi, bali unaliangusha taifa zima. Unaangusha chama chako, unamuangusha, mkeo wanao pamoja na familia. Ni bor autabumbue kwamba unapigana na kivuli chako mwenyewe. Watu wanakuchora na wengi wataanza kujiuliza kuhusiana na afya yako hasa akili. Fanya hima mkuu haya mambo uachane nayo. hayana tija.
Jaribu kuweka mikakati ya kujijengea heshima katika jamii. Kwani ukinyamaza watakulazimisha kuongea. Najua una mengi moyoni na akilini, ila unavyozidi ugomvi mtandaoni ndivyo mengi mazuri uliyonayo yanavyozidi kupukutika. Unapojaribu kuwa kiongozi, unakuwa kioo cha jamii. Jioni wewe kama kioo ambacho vijana wengi wadogo humu wanatumia kujitazama mapungufu yako. Tafadhali hachana na huu upuuzi. Wengine tuna mengi na tumenyamaza hadi hapa ni vyema utafakari kwamba umefika mbali
Asante
Lumato
- This time umekuja na wisdom, saafi saan ila keep it to yourself kwenye siasa ni maswali na majibu muuulize Salim maana ya kutokujibu, naomba ubaki na busara zako sizihitaji na wasalimie sana hukos!
Es!
- Kwa twakimu za EAC, inaonyesha some very diturbing numbers kwamba at-least wananchi wa EAC wapo kwenye level ya kipato cha USD $ 520 mothly, Tunaweza kufaidika kuingia kwenye Sarafu moja kama Tanzania tutajitahidi sana kuziba the gap ya exchange ambapo sasa hivi One Kenyan Shilling ni Shillingi 20 yetu, that is big of a gap talking about integrating Monetary, I mean between madini yetu na utalii, tunaweza kabisa kuzipa hiyo gap cause itakwua ni makosa makubwa sana kuingia kwenye Sarafu moja huku tupo chini in Currency exchange kwa sababu hiyo automatically inawapa the higher money value a command over you on what to do na not what to do na your ecominy ili uwafikie, kweli unaamini kuna taifa Duniani linaweza kukusaidia ulifikie? I mean tunahitaji utafiti wa hali ya juuu sana na wa kisayansi kabla ya ku-commit ourselves na Sarafu moja ya EAC
eS!
This is a mental case ! No comment for yet to to be an EALA MP....
Hii thread imewapa watu bans kwelikweli, kweli JF kuna untouchables
Hivi na wewe si ndio wale wale wajelajela wa Marekani? umetoka lini Lupango mkuu? pole kwa yaliokukuta......Kama mnampinga William mnataka nani achaguliwe?
nikupe ofa ya beer? nakuaj huko bongo this year..duh..kweli una kumbukumbu kweli kijana. vipi ile id yako ya zamani huitumii tena?Hivi na wewe si ndio wale wale wajelajela wa Marekani? umetoka lini Lupango mkuu? pole kwa yaliokukuta......
Pesa za kuuza chupi kwenye duka la chupi za wanawake huko kwa wabeba mabox ni bora ukawasaidie ndugu zako kule kijijini, mimi nina trekta zangu 3 saafi zinaniingizia pesa tu huko mashambani na ndio maana nakuwa na muda wa kukaa hapa JF.nikupe ofa ya beer? nakuaj huko bongo this year..duh..kweli una kumbukumbu kweli kijana. vipi ile id yako ya zamani huitumii tena?
wewe ,mla vumbi una matatizo kweli yani kwenda mbugani wewe ndio unafikiri unanitoa ushamba wakati mimi nimezaliwa mbugani hadi tembo tulikuwa tunawapa majina tunawaita wanaitika. we jamaa kiazi kweli yaani,watu tumeshafanya kazi hadi kwenye machimbo kila sehemu wewe sijui utaniambia nini hapo Tanzania. kubali ofa ndugu yangu kama unaogopa kukutana na mimi naweza hata nikakutoa za madafu ukapige balance to perfection yako moja moto moja baridi.upo?Pesa za kuuza chupi kwenye duka la chupi za wanawake huko kwa wabeba mabox ni bora ukawasaidie ndugu zako kule kijijini, mimi nina trekta zangu 3 saafi zinaniingizia pesa tu huko mashambani na ndio maana nakuwa na muda wa kukaa hapa JF.
Mimi kama una offer ya kunipa labda uniambie twende nikakutoe ushamba kwenye hifadhi za saadan, na gari tutatumia la kwangu.
Hapo hakuna kioo cha jamii wala familia....Kaka, mbona unatuangusha. Hauniangushi mimi, bali unaliangusha taifa zima. Unaangusha chama chako, unamuangusha, mkeo wanao pamoja na familia. Ni bor autabumbue kwamba unapigana na kivuli chako mwenyewe. Watu wanakuchora na wengi wataanza kujiuliza kuhusiana na afya yako hasa akili. Fanya hima mkuu haya mambo uachane nayo. hayana tija.
Jaribu kuweka mikakati ya kujijengea heshima katika jamii. Kwani ukinyamaza watakulazimisha kuongea. Najua una mengi moyoni na akilini, ila unavyozidi ugomvi mtandaoni ndivyo mengi mazuri uliyonayo yanavyozidi kupukutika. Unapojaribu kuwa kiongozi, unakuwa kioo cha jamii. Jioni wewe kama kioo ambacho vijana wengi wadogo humu wanatumia kujitazama mapungufu yako. Tafadhali hachana na huu upuuzi. Wengine tuna mengi na tumenyamaza hadi hapa ni vyema utafakari kwamba umefika mbali
Asante
Lumato