nguvumali
JF-Expert Member
- Sep 3, 2009
- 4,927
- 1,342
Huu ni upotoshaji na ni aibu kwa mtu anayetaka ofisi kubwa kuwa mtu wa uongo na majungu kiasi hiki, bilicanas is just a club, na SIYO Casino.
Futa kauli yako.
umeona Eenh ! Huyu William ni Muhuni wa aina ya pekee , hafai , hafai , hafai hata kurumangia kwa Mlenda . Tema tupa kule Mtera kambale wakale