William J. Malecela kugombea ubunge wa EAC

Pooofff!!!

Wille bora angegombea wao mtera maana hakuna mbunge, kuna kibajaji na engine imefeli ila kumpeleka EAF ni kuzidi kujionyesha u-emoro wa talents nchini

the guy is a wheel and spanner, not a thinker, not analytical, not even a good PR

my honest advice, no pun intended!!
 
Tatizo mnaniuliza Maswalai Kama ninagombea anything na EAC I am not lets get that straight!

Es

Haya TUPOTEZEE HII, kwa kuwa wewe uko hapo na Willy, LOG OFF na Will a-LOG IN tuongee naye yeye Willy, i know to log off and in can take less than 1 minute.

Tunasubiri.

Once Jina la Willy liki log in na kama kweli Willy anampango wa kugombea ubunge wa EAC hii thread itabidi tuibadilishe iwe kwa Kiingereza, kwa kuwa EAC ni Kiingereza tu kule hakuna longolongo za Respect, one page.

Sr,
 
So is Matola.........Hahaaaaaa

Bala a.k.a Wazee wa Sauti za Makoroboi
Hapa ningesikia raha zaidi kama @ New York, USA, mwenyewe angelog in hapa halafu tungepata na changamoto za Kiranga na busara za MM Mwanakijiji basi ingekuwa ni platform yenye afya kumuandaa Willy na midahalo yenye afya na sio ushabiki.
Naamini utatumia fursa hii kumualika William hapa hata kwa skype, najuwa ni Mutus yako ya karibu Le Baharia.
 
- Here we go Facebook as kipimo cha uongozi, ha! ha! ha! ha! ha! ha!

karibu sana bro na heshima mbele sana!

Es!

. . . . FeM mimi ni rafiki William kule FB , japo nayajua mafungamano bandia bahna ya ID HII NA William,
mjamaa aliwahi kuandika , juu ya kuchunga social network life kuwa inaweza kukuathiri in future, Maisha yake FB YANAACHA TAFSIRI KUWA MAISHA YAKE YAKIHUNI BADO YANAMZUNGUKA JITU LINA MIAKA KARIBU Hamsini bado anabingilika na vitoto vidogo Mitaani , na kwenye Makasino.

William hana personality ya uongozi, kalelewa kihuni anaishi kihuni.

Hafai, hafai, Hafai hata kulungamia kwa kachumbali.
 
Pooofff!!!

Wille bora angegombea wao mtera maana hakuna mbunge, kuna kibajaji na engine imefeli ila kumpeleka EAF ni kuzidi kujionyesha u-emoro wa talents nchini

the guy is a wheel and spanner, not a thinker, not analytical, not even a good PR

my honest advice, no pun intended!!

Unahangaika tu ungewataja kwanza wannao fit yr bill pale ngoma nzito umekwama

Es
 
. . . . FeM mimi ni rafiki William kule FB , japo nayajua mafungamano bandia bahna ya ID HII NA William,
mjamaa aliwahi kuandika , juu ya kuchunga social network life kuwa inaweza kukuathiri in future, Maisha yake FB YANAACHA TAFSIRI KUWA MAISHA YAKE YAKIHUNI BADO YANAMZUNGUKA JITU LINA MIAKA KARIBU Hamsini bado anabingilika na vitoto vidogo Mitaani , na kwenye Makasino.

William hana personality ya uongozi, kalelewa kihuni anaishi kihuni.

Hafai, hafai, Hafai hata kulungamia kwa kachumbali.

Umeombwa evidence za Uhuni wake toka Jana Huna aliyelelewa failure hujisema kwa maneno yake wazi Kama in casino basi na mmiliki na mmiliki mbowe ni muhuni au?

Kama in Facebook kinda Obama wallops mule in Wahuni pia au? Eti kuna waliozaliwa no personality ya uongozi? Nonsense!

Es
 
Kama ni casino basi na mmiliki mbowe ni muhuni au?

Es

Mara ya tatu sasa unataja kuwa Mh. Mbowe anamiliki Casino, ni casino gani hiyo....otherwise wewe ni mzushi tu kama wazushi wengine, toa data Casino ya Mh. Mbowe ni ipi na iko wapi?..otherwise acha uzushi.
 
Hapa ningesikia raha zaidi kama @ New York, USA, mwenyewe angelog in hapa halafu tungepata na changamoto za Kiranga na busara za MM Mwanakijiji basi ingekuwa ni platform yenye afya kumuandaa Willy na midahalo yenye afya na sio ushabiki.
Naamini utatumia fursa hii kumualika William hapa hata kwa skype, najuwa ni Mutus yako ya karibu Le Baharia.

William atakuwa mwenda wazimu kuja kuhangaika na wasiopiga kura Maneno ya casino ndio yatamuandaa na mdahalo wa bunge? Jamani haya makubwa sana

Es
 
Mara ya tatu sasa unataja kuwa Mh. Mbowe anamiliki Casino, ni casino gani hiyo....otherwise wewe ni mzushi tu kama wazushi wengine, toa data Casino ya Mh. Mbowe ni ipi na iko wapi?..otherwise acha uzushi.

bilicanas and casinos si Ndio mmesema willy anakoshinda au?

Es
 
Umeombwa evidence za Uhuni wake toka Jana Huna aliyelelewa failure hujisema kwa maneno yake wazi Kama in casino basi na mmiliki na mmiliki mbowe ni muhuni au?

Kama in Facebook kinda Obama wallops mule in Wahuni pia au? Eti kuna waliozaliwa no personality ya uongozi? Nonsense!

Es

wewe ni muhuni , Ngojea utangaze Nia Nitangaze Uhuni wako , Ujinga na Umajununi wa fikra zako.

Hapa Nawajuza watu , wanaokujua wanashika Midomo hata wasikiapo tetesi kuwa unamatamanio ya ubunge wa Bunge la Afrika mashariki.

Unapwaya hata udiwani , unapwaya kila kitu hata Ubongo umepwaya.
 
Kuingia kwa majina ya bandia kuna qualifies usanii so tupo Wengi Kama usanii ni dhambi

Es
wewe msanii kwa maana ni muongo muongo !

Hahaah Bwax ! Maruhani wa Fikra anataka Ubunge , Hata hapa Iringa kuna jamaa kastuka kusikia nawe wataka Ubunge.
 
wewe ni muhuni , Ngojea utangaze Nia Nitangaze Uhuni wako , Ujinga na Umajununi wa fikra zako.

Hapa Nawajuza watu , wanaokujua wanashika Midomo hata wasikiapo tetesi kuwa unamatamanio ya ubunge wa Bunge la Afrika mashariki.

Unapwaya hata udiwani , unapwaya kila kitu hata Ubongo umepwaya.

Nimewafahamisha mods tayari matatizo Yako ya abuse so subiri rungu na sina Muda na nonsense Kama hizi yalikishinda Facebook sasa umeyahamishia Huku duh!

Es
 
Back
Top Bottom