Kuongelea kitu sio mzozo mbona simba na yanga zinaongolewa mpk watu wanalia ni mzozo? Lowassa kaongolewa miaka minane kwa nguvu kubwa mpk kutangazwa mikoani kwenye operesheni sangara ni mzozo?Hakuna mzozo wowote wakati wewe mwenyewe unazungumzia hii habari na kila sehemu ukienda ni habari kubwa?
Wewe kama una mahaba naye Bashite sema tu.
Ila usiseme hakuna mzozo wowote.
mkuu, huyo PM halisi kujitokeza ni sawa na wewe kuambiwa (this minute, this moment, right bloody now) ku-surrender green card yako. je, unaweza mkuu (I mean like now now?)? uwe mkweli mkuu!
Paul Muyenge akabadili to paul Makonda kwa kuapia mahakamani.So huwezi kumkuta paul Makonda.
Kipengele cha mkataba wa mauzo ya cheti, hakuna kuja kujitokeza kusema umeniuzia cheti no matter what
Nchi imesimama kwa takribani mwaka sasa, issue ikiwa kuhakiki vyeti vya wafanyakazi. Leo hii kiongozi mkubwa kabisa anatuhumiwa kununua vyeti lakini utawala upo kimya, that's unacceptable!!!
Hakuna mtu aliyekwenda police kushitaki...
Hata Kama ni wajibu wa police,
Sidhani km wanaweza kupress hii issue forward Kama hakuna mshitaki,
Na mtupe mfano wa cases ambazo hakuna mshitaki
Makonda bana kimya,
Kukaa kimya ni moja ya tactics, lol
Sio kula nae tu yaani kawanunua ndani ya week mmoja kawa kiranja wao.Lakini tusishangae hizi ngonjera za wanasiasa...kwani hazikuanza leo.....
Waliwahi kutuambua mtu fulani ni mwizi na hafai kuwa hata kiongozi wa mtaa huku wakiapa kuwa ushahidi wanao....lakini leo hii....wanakula naye na kunywa pamoja........bila aibu.......
THINK BIG
TAKE CONTROL OF YOUR DESTINY
mkuu, analogy ipo.No.
Not analogous at all.
A green card is not everything to me.
Kwanza itategemea ni nani anasema niisalimishe.
Kama ni vijinga vijinga vya Instagram na vipambe vyao huko nitavionyesha middle finger tu.
Ila kama ni walionipa ndiyo wananitaka niisalimishe kwa sababu yoyote ile, nitaisalimisha.
Nina akili nyingi tu za kunitosha. Natambua kuwa na hiyo kitu ni istihaki na si haki.
Sasa kama aliyenipa ananitaka nimrudishie unadhani nitakataa?
I am not desperate. Never have been about anything.
And I have a great life, btw, if you must know.
Nina uwezo wa kuishi popote pale bila hata kutegemea kazi ya kuajiriwa.
Kwa hiyo ndiyo, walionipa wakitaka niisalimishe kadi yao nitafanya hivyo. Lakini siyo wajinga wajinga wengine.
Una jingine?
mkuu, analogy ipo.
wewe unamtaka genuine PM ajitokeze voluntarily. chances are ID aliyo nayo sasa (substitution ya PM brand ambayo kai-trade off kwa DB) ndiyo inamuweka mjini this minute. if he swaps his current ID maana yake mjini hakukaliki tena! see?
back to you....currently upo US with your green card, right? you swap it voluntarily....what happens next? you unceremoniously get hauled off back to your home sweet home - Sukumaland! see? you have said you won't give a freaking hoot but am sure the sudden transformation will mean one hell of a nightmare to you!
know what I mean??
Askofu Chaliiiiiii!Hahahaaa...I don't even know what to make of anything anymore.
Gwajima kadai vyeti anavyo lakini sasa naona kiki yake ishaisha.
So ngoja tusubiri hiyo kesi kama kweli itafunguliwa.
NN nilikumiss kweli,Heeey my frenemy!
Good to see you again.
It's been a minute hahahaaaa
Good to see you my frenemy and happy St. Patrick's day....NN nilikumiss kweli,
Hii topic imenikumbusha ujana wetu,
Ilikua pale inaimbwa please stand up,please stand up,tunanyanyua visigino, na kunesa nesa,
Ujana rahaaa lools
Mzozo ni nini?Kuongelea kitu sio mzozo mbona simba na yanga zinaongolewa mpk watu wanalia ni mzozo? Lowassa kaongolewa miaka minane kwa nguvu kubwa mpk kutangazwa mikoani kwenye operesheni sangara ni mzozo?
Hapana, mwenye uwezo wa kufungua kesi ni ile ile serikali ambayo imekuwa ikifanya ukaguzi wa vyeti ili kuthibitisha uhalali au uharamu kwa watumishi wake. Na kesi hiyo ilitakiwa iwe imeishafunguliwa wakati wewe ukiandika comment yako hapa, ila kwa kuwa serikali hii tayari imeishajulikana kuwa ina double standard ni kweli inaweza isijishughulishe na hili jambo kama ulivyotabiri, lakini wananchi hawatakuwa wajinga tena, nadhani watafanya jambo ili kuonyesha kuwa hawafurahishwi na hizi double standard!Hivi unaamini kuna kesi itafunguliwa? C'mon ngosha!
Ndio yaleyale ya International Court of Justice(ICJ) tuliyoambiwa baada ya Uchaguzi Mkuu 2015.
Ninakuambia hakuna kesi bali ni porojo tu za kisiasa kama kawaida yetu.
Mwenye uwezo wa kufungua kesi ni mwenye vyeti ambaye anadaiwa kwa mujibu wa mchungaji Gwajima kuwa dada yake alichukua vyeti vyake. Hawa wanasiasa wengine wanapiga porojo tu.
Muda ni jibu sahihi. Tutakumbushana hapa Jamiiforums.
Kwa nini mnakuwa wagumu kuelewa? Sitaki kuamini kuwa watu wenye uwezo wa kutumia JF wanashindwa kuelewa jambo dogo kama hili?Huyo Paul Makonda yeye hana account bank ama vitaburisho vya Taifa ama vya kupigia kura, yani yule original ?
Ama NSSF ama PPF ama pspf huko nani atanufaika na mafao ya uzeeni? huyo original ama huyu
"exaggeration" kwa maana gani? Hujui kama ajira zimesimama, watu hawapandishwi madaraja makazini wanaambiwa kuna ukaguzi wa "mahewa hewa" ikiwemo hivyo hivyo vyeti vya shule na kitaaluma!Hiyo ya kwamba nchi imesimama kisa suala la Makonda nayo ni exaggeration.
Ni yepi hasa yalosimama?
Mkuu Nyani Ngabu,naanza kupata mashaka na wewe kama unashindwa kuelewa tuhuma za RC zinasimamia wapi.Yaani hayo yote hata mimi nimejiuliza pasipo na majibu.
Kwa nini mnakuwa wagumu kuelewa? Sitaki kuamini kuwa watu wenye uwezo wa kutumia JF wanashindwa kuelewa jambo dogo kama hili?
Paul Christian Makonda ni mtu mmoja tu,maana alienda mahakamani kuapa kutumia jina hilo.