Wilaya ya Uyui inalazimisha waalimu kuchangia michango ya Mwenge na Mwalimu asiyechangia wanamuwajibisha. Pia, imesisitiza Walimu na Wanafunzi kuwepo shuleni kipindi chote cha mpumziko mafupi kwa ajili ya mapokezi ya Mwenge.
Pia, Mkurugnzi kanunua vitenge vyake na amevisambaza kwa Waratibu elimu Kata. Kila mwalimu anunue na ashone kwa ajili ya kuvaaa sare wakati wa Mwenge na ni lazima Walimu wengi wametishwa na wamenunua.
DED anatumia cheo chake kwa maslahi yake amewatumia waraka WARATIBU, MWALIMU MKUU, NA WAKUU SHULE KUTO VITISHO KWA AJILI YA KUWALAZIMISHA WAALIMU WANAO WAONGOZA.
Serikali ingilieni kati kwa DED huyu anaichonganisha serikali na watumishi, pia ameshindwa kuheshimu mihula iliotolewa na tamisemi na wizara ya elimu
vitenge vya mkurugenzi hivyo vinapigiwa promo