WikiLeaks: Kikwete aliwaombea Jairo na January Makamba mafunzo US

Fungua pazia la wikileaks uone kilichopo nyuma yake. Nafikiri USA wamesoma udhaifu wetu na sasa wameanza kazi yao. Kumbuka raisi wetu alikuwa wa kwanza kwenda kumuona Obama, 2009. Haya mambo yamefanyika kabla ya hapo, je kuna nini sasa?

Hata Baba wa Taifa Nyerere alikuwa wa Kwanza kwenda kumuona Jimmy Carter Mwaka 1977

ndio kitu naupendea huu mtandao wa weakleaks kwa kufumbua mambo!2taona mengi

Tunajaribu kuona uhusiano uliopo kati ya jairo na jk, hadi jairo kufikia mahali pa kuwadharau wabunge.
Pili ukumbuke namna january alivyopita kwenye kura za maoni kule jimboni kwake; kuna rafu nyingi alichezewa aliyekuwa mbunge licha ya kupeleka malalamiko ngazi mbali mbali.
Pia tunajaribu kuona kama january analelewa ili kurithi nafasi za juu ndani ya ccm ili kuendeleza ule usultani unaoanza kujitokeza.
Unapoitwa great thinker then think critically and always try to read between lines!

Mkuu nakuunga mkono. Hili ni jambo zuri tu Rais alikuwa anawaombea vijana wake nafasi ili wakatoe tongotongo. Hakuna ubaya. Nadhani siyo kwamba Wikileaks wanaweka vitu vibaya tu wao wanaweka mawasiliano ila mengi huwa ndo kama hivyo yanawaacha wengi hawana nguo!!

Mkuu umenikosha. Ni kweli kuna umuhimu wa kuona Urais kama Taasisi. Hata waziri nadhani hawezi kuomba training kwa ajili ya watu wawili ataomba labda kwa idara ili wale ndio wafikirie wanatoa kwa watu wangapi kisha mnarudi na kuchagua watu kwa vipaumbele!! Duh we have a long way to go!!

so what!? is it a crime!?

hivi yule mwanamke mmarekani mweusi ambaye alikuwa anashinda Ikulu anaitwa nani?

Nadhani alikuwa anafanya kazi good works international na Andrew Young

Wewe unakitu. Hebu fikiria vizuri utujulishe zaidi kuhusu huyo mwanamke. Atashindeje ikulu? Alikosa pa kuishi?

Salva- wahi kutoa tamko jairo alisomeshwa na retzer?

Kusomeshwa kwa msaada wa nchi ya nje sioni taabu. Lakini kwa nini Mkuu wa Kaya aende mbali kwa kuchagu na wasomeshwaji? Je haingilii kazi za watendaji wengine serikalini? Mkuu aombe msaada wa kulipiwa ada wanafunzi wote wa UDOM kwa mwaka mmoja atakuwa amesaidia wengi.

tutaona mengi na tutawajua wachawi wetu wengi tu..............subiri tu

OFCOURSE WAMEANZA NA SUTI, MATUMIZI YA VYUMBA VVYA HOTEL KWA FARAGHA THEN WATASEMA NI NANI HAO TENA KWA MAJINA YA KIBANTU WALIOTUMIWA KWENYE FARAGHA HIZO!!!! NA MITAA WANAYOTOKA AKAUNT ZAO ZIKO WAPI NA ZINAINGIZIWA BIE GANI NDO TUTAJUA KIPI KICHWA UPI MKIA SAFARI HII !! WIKILIK ON DUTY

Jamani kaazi ya wazungu Libya inakaribia kuisha hizi chokochoko isjekuwa wanataka kuhamia hapa kwetu wafanye kama wanayofanya Libya na kwingineko! Najiuliza kuwa kwanini mambo haya yote yatolewa kwa wakati huu? mmmh MUNGU tulinde wana wako

Mpwa umeshakuwa mtabiri? lakini naona ni kile kiburi cha kutambua serekali ilioapishwa na kuwa na mihimili ya dola !

Hili ni sifa kubwa sana kwa Kikwete. He cares.

Only if what is published is true. Remember, they (Ikulu) vehemently objected to other stuffs published by the same media!! Which is which... you either agree with WikiLeaks or you don't! Kuwa vuguvugu ni laana... (ref. msahafu).

Jamani kaazi ya wazungu Libya inakaribia kuisha hizi chokochoko isjekuwa wanataka kuhamia hapa kwetu wafanye kama wanayofanya Libya na kwingineko! Najiuliza kuwa kwanini mambo haya yote yatolewa kwa wakati huu? mmmh MUNGU tulinde wana wako

BORA TU,NJI INAENDA KIHUNIHUNI HII,WAPO WATU WANAPATA TABU KULIKO UNAVYOJUA! HUKO VIJIJINI AFU MTU ANAPATA "VYUTI" ANAJICHEKESHA CHEKESHA ANAACHIA LINE !

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…