Gustanza_The
Senior Member
- Aug 6, 2008
- 126
- 7
Wooow! Unaona nini kwenye sisi wananchi wa Tanzania mkuu?
Same thing.
Wooow! Unaona nini kwenye sisi wananchi wa Tanzania mkuu?
"Wajanja" watakwambia hao Rai Mwema wametunga tu hiyo habari! Natamani kujua "uchawi" waliotumia CCM hadi kuwafanya watu wawe "limbwende" kiasi hiki!
It's true Mkamap. Hata hawa akina Zitto, Slaa, Anne-Kilango Malecela, wanaoimbwa hapa JF wote ni walewale. Wasioaminika. Kama ni grade,basi ningewapatia "C-" (tena hapo nimewapendelea, maana wanastahili "D+").
Kelele zote zile (list of shame/whatever) zilikuwa ni kujizolea umarufu tu.
Ukweli ni kwamba, kama wangekuwa na nia ya kuleta real changes, basi wangeendeleza hizo kelele zao hadi leo. It's sad kwamba when I look at Slaa, or Zitto, or mama Malecela (today) I don't see an ounce of courageousness or bravery in them. what I see, rather, is fear, vulnerability, fragility, and defeatism.
Gustanza na MkamaP,
Mkitaka kuwa na Kiongozi Mzuri sana kwenu nyie mtafuteni mwenye SIFA hizi hapa chini na mkimpata basi mie ntaungana na nyie na kumpigia kura:-
Awe Tasa na Hanisi (Vatican wanalijua hili).
Asiwe na ndugu yeyote wala jamaa(YATIMA).
Asiwe Mnywaji Pombe wala Sigara wala kupenda Anasa au starehe.
Mwenye kupenda kazi zake kuliko maisha na milele anataka MASIFA (mfano mzuri ni Edger Hoover ex-boss wa FBI). Huyu mkimpata, Tanzania tumepona.
Mwenye kupenda kazi zake kuliko maisha na milele anataka MASIFA (mfano mzuri ni Edger Hoover ex-boss wa FBI).
Kilichokupeleka kumtaja huyu fisadi sijui ni nini hasa, kwa sababu the record ya huyu bwana ni mbaya sana na ni chafu sana, tena alikuwa shoga huyu mkuu au ulikuwa hujui?
Hivi unajua kuwa kifo cha Martin Luther King, kinaanziia kwa huyu bwana? Hapana bongo hatuhitaji kiongozi kama huyu! Mkuu nina vitabu vyake vyote pamoja na kumsoma sana darasani nilipokuwa kule US, maana masomo ya criminology kule 40% yanaihusu FBI, na waalimu kutoka huko na huyu bwana akiwa ndio the center of atention, hapana mkuu hapa umetutukana wabongo mkuu hatuhitaji viongozi mashoga!!
Sikonge, what's this mkuu? I think you need some sleep! I mean, badly.
A Brain that is washed and drained! I would like to keep my sane and intact.
Kilichokupeleka kumtaja huyu fisadi sijui ni nini hasa, kwa sababu the record ya huyu bwana ni mbaya sana na ni chafu sana, tena alikuwa shoga huyu mkuu au ulikuwa hujui?
Hivi unajua kuwa kifo cha Martin Luther King, kinaanziia kwa huyu bwana? Hapana bongo hatuhitaji kiongozi kama huyu! Mkuu nina vitabu vyake vyote pamoja na kumsoma sana darasani nilipokuwa kule US, maana masomo ya criminology kule 40% yanaihusu FBI, na waalimu kutoka huko na huyu bwana akiwa ndio the center of atention, hapana mkuu hapa umetutukana wabongo mkuu hatuhitaji viongozi mashoga!!
Ben,Mkuu,
Unanivunja mbavu mkuu. Kweli wewe kiboko.salute nyingi bro!
FMes,
Nilishaangalia film nyingi kwenye documentary jinsi huyu bwana alivyokuwa na ROHO mbaya na kupenda MISIFA. Na hiyo nimeandika. Kuna jamaa baba yake alimkamata MAFIA fulani na sifa zote zikaenda kwake. Masikini wa watu huwa ndiyo ukawa mwisho wake. Hoover alihakikisha jamaa HAPATI kazi milele na mwisho jamaa alijiuwa. Nafahamu kuwa ni wakati wake, haya mauwaji ya JFK, Kenendy na KIng yalitokea. Lakini ni wakati huu huu, ule uonevu kama wa ile flm ya MISISIPI BURNING ulianza kutokomezwa na FBI. Kila jambo baya likitokea na hawa jamaa WAKIINGIA ni kwamba litakuwa SOLVED. Hivyo ni sawa na STALIN. Kama umesoma historia yake utaona kuwa kuna WANAOMLANI na WANAOMSIFU. Stalin alikuwa BEST president baada ya WW2 kwa Warusi. Kuna mji nasikia alitoa miezi mitatu ujengwe na ukajengwa. Kutokana na shida ya usafiri na wafanyakazi, alianzisha utaratibu kuwa UNAINGIA ndani ya BUS/Metro/Trams na kutoboa ticket mwenyewe. Bus lina DRIVER tu. Watu kama kawaida wakaanza kwenda BURE. ALichofanya ni kukagua mara mbili BUS na wasio na ticket walipigwa RISASI palepale.
Nafikiri KUMLAANI Edger kwa kila kitu alichofanya SI SAWA. Huyu bwana ukweli ni huu kuwa, alikuwa MCHAPA KAZI wa kupindukia. Hakuwa na family (no matter kuwa alikuwa shoga). Hata kazi alipoachishwa, hakuweza kuishi bila kazi ya KUPELELEZA. Kama tungelikuwa na mtu kama huyu pale Tanzania, amini usiamini MAFISADI, Wauwa Mazeruzeru, Majambazi sugu, wanaomuwinda Zitto, Waliomuuwa Salome Mbatia, na kila UCHAFU tunaousema humu ndani kama EPA, MEREMERATA, kuuwa watu kwenye Migodi nk hii kitu huyu bwana angeliDEAL nayo si kawaida. Ili muradi tu akimaliza mnaMWAGIA MISIFA.
Sasa Tanzania tuna Rais, mpole, hauwi watu, siyo shoga, hapendi kazi yake yaani karibu kila kitu kinyume cha Hoover, je UNAMFURAHIA?? Au wewe kinachokuchemsha ZAIDI ni USHOGA? Nyerere alisema RAIS siyo PAPA.
Usiwe mtu wa KUSIFU wala hujui ni kitu gani. Tatizo la BINADAMU ni kufikiri umejua kila kitu lakini huajua bado. Pamoja na Hoover kuwa na MAPUNGUFU yake kama binadamu, huyu jamaa ndiye kapigana sana na uonevu wa WEUSI kusini mwa USA. Mafia pia walishaanza kutesa sana na ni hawa FBI waliwamaliza. Ndiyo maana hata jengo la FBI limepewa jina lake.
Labda tukubali kuwa.....................WAFRIKA NDIVYO TULIVYO
...The worst thing that can be done is to give more foreign aid to African nations. Foreign aid goes from government to government. Foreign aid allows Africa's corrupt regimes to buy military equipment, pay off cronies and continue to oppress their people. It also provides resources for its leaders to set up "retirement" accounts in Swiss banks (Akina Chenge hawa !). What Africa needs, foreign aid cannot deliver, and that's elimination of dictators regimes, establishment of political and economic freedom, rule of law and respect for individual rights. Until that happens, despite billions of dollars of foreign aid, Africa will remain a basket case.
Msimamo wangu siku zote we need a kind of a movement, tunahiyaji movement isiyokuwa ya kisiasa ingawa najua wengi mtasema tusipopata Ukombozi wa kisiasa hatuwezi kuafanikiwa. Lakini nawaambia tuanze na hili, kuwa na mijadala ya wazi juu ya maliasili zetu kama Madini tuanzishe mijadala itakayowahusu wananchi sio tu wale waliopo katika maeneo yenye migodi hata Mbeya na Iringa na sehemu zisizo na madini tuawangize kwenye boti
alafu tuwe na maazimio kama kutokufanya biashara na mafisadi kama kususia kusoma habari katika vyombo vyo vya habari kama magazeti ya RA. Kama tuanaweza kuwaelimisha wananchi wakafika hatua kuwa hakuana anayesoma gazeti la hawa watu lianalowapa Nguvu tutashinda vita hii in no time. Kumbuka karatasi nyingi zinazoingia katika lile box ni la wale ambao hataembelei hapa wala hawakuwai kuuona mlango wa chuo, hata kujua kuwa kuna kama duniani hapa kuna kitu knaitwa mobile phone (amabazo ni common sana Bongo saa hizi)
Nahamasisha movement kama za akina Bob Mosses wakati wa Black Peoples movement in the USA za akina Steve Biko huko SA. Movement ambayo itaihusisha jamii at large. Tanzanian Consiousness Movement
One unappreciated tragedy that attests to the wasted talents of its peoples is that Africans tend to do well all around the world except in Africa. This is seen by the large number of prosperous, professional and skilled African families throughout Europe and the United States. Back home, these same people would be hamstrung by their corrupt governments. The worst thing that can be done is to give more foreign aid to African nations. Foreign aid goes from government to government. Foreign aid allows Africa's corrupt regimes to buy military equipment, pay off cronies and continue to oppress their people. It also provides resources for its leaders to set up "retirement" accounts in Swiss banks (Akina Chenge hawa !). What Africa needs, foreign aid cannot deliver, and that's elimination of dictators regimes, establishment of political and economic freedom, rule of law and respect for individual rights. Until that happens, despite billions of dollars of foreign aid, Africa will remain a basket case.
Maneno yako mkuu ni mazuri na yenye busara sana, lakini they have nothing to do na topic at hand, lakini respect maneno yako ni mazito sana!