William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
wengi wazuri katika kusema, Movement is more than contribution of ideas. Alafu wajumbe wengi wa baraza ni wataalamu wa kuacha hoja in question na kuanza kujadili kitu kingine ambacho kilikuwa sio basic katika point ya mchangiaji wa kwanza.
Mchangiaji wa kwanza hoja yake ilikuwa inahusu matatizo yaliyompata Zitto, akiwa Kenya, hiyo ndio point ya msingi ya hii topic na sio movemment ya anything!
Kama ambavyo umetoka nje ya hoja kwa kushikia bango suala la ushoga! I think that was not a subject in question, alafu by the time being Ushoga na uongozi is imaterial subejct to discuss kwa mazingira ya Tanzania.
Nilikuwa ninajibu hoja kuwa Hoover ni kiongozi wa mfano wa kuigwa, nimesma kuwa hafai kwa sababu ni shoga, now what this has to do na Zitto na Kenya? Nilijua kuwa kama kawaida nimekushika pabaya, utabdilika rangi na kujaribu kugeuza maneno na ishu, lakini ukweli hapa uko very clear!
Ahsante Mkuu!