Nani amekuomba? ??au ni kiherehere tu!"
:lo l:
Cheka kabisa wangu! !Lol.........acha ncheke mie
Mkuu picha za Non-Verified users huwa ni mwiko kuonekana hapa jamvini, unless mtu binafsi kaweka kwa ridhaa yake. Na kwa kumbukumbu zangu hakukuwa na Verified User(s) pale.
Ila picha za mandhari unaweza kuweka kama unazo.
Nawakilisha....
We ngoja tu!!muache.......ana hamu ya kwenda Lupango........
We ngoja tu!!
Aisee watu wakali....
Mnaweweseka tu
yaani nilikuwa nawapa pressure baadhi ya mafala hata camera yenyewe sina na sijawahi kumiliki camera ha ha ha
yaani nilikuwa nawapa pressure baadhi ya mafala hata camera yenyewe sina na sijawahi kumiliki camera ha ha ha
Ninakuomba uwataje kwa majina...
Eti wajameni hiki ni kijiwe cha baadhi ya "mafala"?
Kapotea njia huyo, alidhani yuko kwa 'mafala' wenzie, msameheni kwa jero tu
Nina ombi moja tu kwa Katiba mpya...
Bomba la Gesi la N'twara litupitie na sisi hapa Chitchat
...yaani bomba likipitishwa hapa, namzamisha nalo mtu mdomoni, halafu utambi nausokomeza masikioni...mwishoni namlipua lipuuu!!!