Katiba Mpya ya Chit Chat: Maoni

Katiba Mpya ya Chit Chat: Maoni

..... Katiba mpya izuie TONGOZO via PM anayemtongoza mwenzie PM zake ziwekwe hadharani

..... Katiba mpya iruhusu matumizi ya dildo kama ilivyo kwenye Condoms, make wanaume wamekuwa pasua kichwa.

..... Katiba mpya iruhusu ndoa za mkataba.. Yaan mkianza kufunga ndoa tu unaspecify muda wa ndoa yako. Hii itapunguza wingi wa talaka humu Chitchat na pia wakataze mkataba mrefu zaidi ya miezi mitatu.. Pia hakuna kurenew na mtalaka wako.. Wengine humu wanaturingishia ndoa zao eti zimedumu kha!!!!!

...... Katiba mpya iruhusi open relationship. Ila kwamba iwe halali mimi kuwa na Bishanga, Vin Diesel bila kipingamizi.

....... Katiba mpya iruhusu matumizi ya gongo kama kinywaji halali. Make bia zimepanda bei sana.

Nawasilisha.....

Hah hah hah hah hah!! Hiyo red ni wivu tu unakusumbua!
 
Last edited by a moderator:
Kwenye Blue mi napinga maana hapa watu watakuwa wan copy na kupaste mistari ya wengine, lasivyo iwekwe hati miliki ukitupia mistari maeneo mtu asikopy.

Kwenye Green nasapoti asilimia 100, hiyo iwekwe bila kupingwa

Kwenye red, hapana maana mtatutesa sana Charminglady mkiwa na hivo vijitu mtakua mnavunja haki za binadamu hasa zetu sisi wanaume

Hayo yote mnayasababisha ninyi... Kupenda umombasa hahahaaaaaa!!!!!!
 
Napendekeza kiwepo kipengele kuwa hata kama kuna mwanamke ameolewa sema na Bishanga anaruhusiwa kuwa na nyumba ndogo kama tano hivi
 
Last edited by a moderator:
ngoja nitafakari kifungu cha kuongeza kwenye katiba
 
..... Katiba mpya izuie TONGOZO via PM anayemtongoza mwenzie PM zake ziwekwe hadharani

..... Katiba mpya iruhusu matumizi ya dildo kama ilivyo kwenye Condoms, make wanaume wamekuwa pasua kichwa.

..... Katiba mpya iruhusu ndoa za mkataba.. Yaan mkianza kufunga ndoa tu unaspecify muda wa ndoa yako. Hii itapunguza wingi wa talaka humu Chitchat na pia wakataze mkataba mrefu zaidi ya miezi mitatu.. Pia hakuna kurenew na mtalaka wako..Wengine humu wanaturingishia ndoa zao eti zimedumu kha!!!!!

...... Katiba mpya iruhusi open relationship. Ila kwamba iwe halali mimi kuwa na Bishanga, Vin Diesel bila kipingamizi.

....... Katiba mpya iruhusu matumizi ya gongo kama kinywaji halali. Make bia zimepanda bei sana.

Nawasilisha.....

Charminglady maoni yako yamefika na nitayapeleka kama yalivyo kwenye Tume ya Katiba.
Ila hapo kwenye red hapo sijapakubali Bana... Khaaaa!
 
Endapo katika mpya itaruhusu bangi basi kipengelw cha lawama kiondolewe JF hasa mtu atakapotukana kwa sababu ya bangi alizovuta!

Kuhusu majungu kabla ya kuweka kwenye katiba hatuna budi kutoa tafsiri sahihi ya majungu ni nini ili kuepuka mgongano.

Asilimia kubwa ya wavuta Bhange wa humu huwa wanamwaga sana Mipwenti wakishapata stimu..
Watukanaji mara nyingi ni wanywa wanzuki na Mataputapu, ila siyo Bhange,, tutake razi Arifu!!

Kuhusu difinisheni ya Majungu wasiliana na Zinduna atakufafanulia na kukupa mifano hai ya wapika majungu na Umbeya wa humu Chiti chati.. (Bishanga akiongoza jahazi)
 
Katiba mpya iruhusu jukwaa la "ban free zone" kuanzishwa humu Jf!
Naunga mkono hoja..

Kuhusu PM naunga mkono hoja watu wote wanaotaka kutongoza watongoze hapa hapa jukwaani ili tujue kabisa fulani anamtaka nani na kama kawin au katolewa mbavuni lol!!!

Na viwekwe vipengele vya kukataza vidume wengine kutongoza pale Mmoja anapokuwa tayari amerusha ndoano. Mpaka pale itakapowekwa wazi kuwa Kidume husika amekataliwa ndiyo wengine waruhusiwe kujaribu bahati zao. Copy to Erickb52, KakaKiiza na mtu chake

Kwangu mimi naomba nguvu na mamlaka ya mod hasa yapunguzwe, kwa sasa hivi mod ni kila kitu. Anaweza toa ban apendavyo na anaweza kutoa post yeyote atakavyo.

Naunga Mkono Hoja, hasa huyu Mod nanihii nasikia ukiingia kwenye anga zake za kusaka vimwana lazima akulime laifu Ban...

ngoja nitafakari kifungu cha kuongeza kwenye katiba

waiting.................
 
Katiba mpya iniruhusu wake wote wawe wangu peke yangu! Katiba mpya inifanye kuwa mkaguzi mkuu Asprin apigwe chini ashazeeka!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom