Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,920
- 4,244
yaani nilikuwa nawapa pressure baadhi ya mafala hata camera yenyewe sina na sijawahi kumiliki camera ha ha ha
Hahaha...mkuu hapa mpaka kieleweke ndio maana kule kwenye maoni ya Katiba ya Chitchat, nikaomba bomba la gesi lipite hapa...ngoja nikaisake ile comment kule nikutupie hapa...
Kwa hiyo nawe unakubali kuwa kwenye kundi la "baadhi ya ma...la"?
ni kiherehere tu na ni kweli ushamba hauna mwenyewe ,mna jipya ?