Wiki mbili tu za ndoa yake kaanza michepuko

Wanawake ni wengi msipotugawana vizuri wenzenu wataishije.
 
Watu wanatoroka Honey moon kwenda kwenye mchepuko sembuse yeye huyo wiki 2?
Tuombeni Mungu tu, mambo mengine ni mazito
 
kuna watu wanaoa/olewa for convinience, what a disappointment.

Mtu analilia mchepuko few days kabla ya ndoa.
 
Kaka kabanga, msome vizuri jamaa na utamwelewa tu.
Anasema, jamaa karudia nyumba yake ya zamani na sasa kule mapenzi ni motomoto. Huu sio mchepuko! Kurudia life style yako sio mchepuko. Mchepuko ni kama ataongezea mwingine. Huku ni kuchunga colony lako lisichepukiwe. Anatunza nyumba na analea bustani zake zisiingiliwe na maguruwe, kosa liko wapi?
Kaweka saini kuoa huyu aliyekuwa analilia kuolewa, huyu aliyekuwa huru ana haki pia ka mwenzake. Asimwite mchepuko banaa
Lakini mtu ukishaoa, ukawa na mwanamke mwengine nje uyo kwako ni mchepuko sababu unapita njia ya pembeni awezi akafanana na ulie muweka ndani, ni atabaki mchepuko tuh.....
 
sawa mangatara....
 
Last edited by a moderator:
maisha ni mapana sana..unawza kuoa mtu ambaye humpendi vtu flan vikakulazimu kufanya hivyo..bt mchepuko n dili km una hwla
 
Kwa uandishi wako unafaa sana kuwa mwandishi wa habari.
 
Kwani maisha ya MTU mwingine unayàfutilia ili ikusaidie nin?!kwani kuna aliyekuja kwako kukueleza au kutaka ushauri?!acha kuleta thread za kimbea APA.ova.
 
Una ushaidi/source?!je? Umeshamuuliza uyo jamaa yako kwanin anachepuka?wakat ndoa take in mbichi?!hivi umeoa au kuolewa wee?!ndoa zote na zieshimiwe!
 
Inaweza ikawa umbeya ila ni kutaka mabinti tuelemishane na tujitambua zaid kuhusu binaadamu anayeitwa mwanaume, we kama unaona aileti mafikilio kichwani kwako kaa nayo mbali ila kwa mabinti inawahusuuuu.......
 
Una ushaidi/source?!je? Umeshamuuliza uyo jamaa yako kwanin anachepuka?wakat ndoa take in mbichi?!hivi umeoa au kuolewa wee?!ndoa zote na zieshimiwe!
Sijakuelewa!! andika tena
 
Lakini mtu ukishaoa, ukawa na mwanamke mwengine nje uyo kwako ni mchepuko sababu unapita njia ya pembeni awezi akafanana na ulie muweka ndani, ni atabaki mchepuko tuh.....

aminas;

Nakubaliana na weye kama ulikuwa huna ukaoa ukaanza. Kama walikuwa wanapeana zamu kwangu kabla ya kufunga pingu na mjanja zaidi, wale wengine (regulars) si mchepuko, nailinda familia yangu tu huko. Mwenzao huwa tunamweka ka ua langu lakini hao wengine ni dada zake tu. Wala ugomvi hawanaga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom