Inaumaa, mwenyewe apo anajitutumua ndani mahaba mazito mwenzie ndo kwanza anamuwaza chepukooooo...
Sawa labda tuseme ivo, lakini si baada ya yeye mwenyewe mume kukubari ama???
Unachoka kidogo, mbona sana mpaka ung`okeeee ukajutieeee kwenuuu
sasa kwa nin naye alikubali kumuoa????
Urudi nakusubiriii......
alioa mtu wa kumsaidia kazi
BASI achana nae, ayasubiri majanga....
Af ndo wanasema wanawake wa JF hatuolewi??? Watasubiri sanaaaa