Wiki mbili tu za ndoa yake kaanza michepuko

Wiki mbili tu za ndoa yake kaanza michepuko

Huyo Mbona kajitahidi sana - wiki mbili zote hizo - kuna wengine wanachepuka kesho yake tu.
 
Atakuwa kaoa pesa kwa ajili ya security yake , ilihali Utamu wake ni apeche , sasa hapo anachukua huku na kupeleka kule , Na hao ndio Wanaume wa Leo , super Edzen , Gademu Gadna style fulahi hivi , Ndukiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom