Tarime one
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 2,246
- 1,740
Ushauri wa bure kwako ndugu, muda si mrefu utapotezwa kuwa makini.
Mkuu nilichoandika hapa sio hadithi wala kitendawili,,, ila ni hali halisi, na kila mmoja ana mtazamo wake binafsi, kuleta hapa ni moja ya sehemu watu wako kujengana, kuimarishana na kuelimishana,,, sikuleta hapa kufurahisha baraza kama usemavyo,,,,,sina uchoyo hata kidogo, na ndio maana niliwasomesha wadogo zake kwa moyo mkuu, tena from ma poket, chakula ni nini kwani,,,, tatizo hapa kwa nini aibe chakula anachokula yeye,,,,nilimkanya akasema sina ushahidi,,,, now i got the evedence.........kakake kamtoa yuko kwakwe na meanwile nimefuta kesi.... ila ushahidi upo....tutayazungumza in family.....yuko huru kabisa....Duude wewe ni mchoyo sana.na siamini unavyosema mkeo hachangii chochote.ninaona mambo mawili hapa.1 umeamua kufurahisha baraza 2.uliyoandika ni mawazo sasa unaangalia comments ili ukafanye vitendo.hii dunia especially chakula,msaidie binadamu mwenzio pale utakapoweza.you never know kesho utakuwaje ,u never know watoto wako wataishije after you.Mkemee roho wa uchoyo ni mbaya sana
Mkuu nilichoandika hapa sio hadithi wala kitendawili,,, ila ni hali halisi, na kila mmoja ana mtazamo wake binafsi, kuleta hapa ni moja ya sehemu watu wako kujengana, kuimarishana na kuelimishana,,, sikuleta hapa kufurahisha baraza kama usemavyo,,,,,sina uchoyo hata kidogo, na ndio maana niliwasomesha wadogo zake kwa moyo mkuu, tena from ma poket, chakula ni nini kwani,,,, tatizo hapa kwa nini aibe chakula anachokula yeye,,,,nilimkanya akasema sina ushahidi,,,, now i got the evedence.........kakake kamtoa yuko kwakwe na meanwile nimefuta kesi.... ila ushahidi upo....tutayazungumza in family.....yuko huru kabisa....
Pole sana mkuu, japo hili la kuwaweka ndani mkeo na shemeji yako nadhani halikuwa sahihi, ninachokushauri ni:
1. Mfanye mkeo awe responsible na familia, mjengee mazingira ya yeye kuchangia cost za familia
2.Usihusike na issue za jikoni directly, kaa chini na mkeo mjuwe kwa mwezi mnatumia kiasi gani kwa chakula,kisha mpe hiyo pesa mkeo na msisitize kuwa umeshafunga mkataba kwa mwezi huo, akili kichwani mwake ikifika tar 15 akakwambia pesa imeisha basi usitoe shilingi moja na mwambie huna pesa na endeleza msimamo huo.kwa kuwa mmepanga bajeti ya mwezi mzima haiwezekani tar 15 ikawa pesa imeisha, angalau iwe imeishia kuanzia tar 25 na kuendelea atleast hapo mana najuwa kuna emergencies nk.
Kuwa na muda nje ya nyumba yenu uwe unatoka na mkeo TU mnakwenda kuzungumza au kuspend for sometimes, huko utapata fursa nzuri ya kumuweka sawa!
na hawataelewa kabisa, watashabikia kwa mitazamo yao..... all in all, nawashukuru walionipa maneno yafaayo,,,,na wengine wote,,,...kwa wakati muafaka.....kibaya ni kuwa baada ya kakake kumtoa alikwenda home akakusanya kila kimfaacho karudi kwa kakake,,,,,,...... coz najua yuko kule wala sijishughulishi nae.......may be ana stress zaidi yangu....ubarikiwe mkuu
Umeongea vizuri sana mkuu, but nakwambia umeme unaweza kuisha,,, wajua ukiwa na 2000 unapata umeme hata wa kusogeza,,, she cant by, tena anawaambia watoto nampigia baba yenu mumwambie umeme umeisha,,,,sula la bajeti nilijaribu likanishinda kabisa,,, pesa inaisha kabla, ukiuliza utanuniwa 3days, kisa atadai simuamini,,,ana kazi nzuri tuu, hata gari analotumia ni ghali kuliko langu,,, hata mafuta nilikuwa namuwekea, but nilisimamisha kwa makusudi,,, she afford herself......sidhani kama kuhusika jikoni ni dhambi, nimejifunza toka kwa my family,, toka tukiwa kids home tulikuwa na zamu za kuosha vyombo, kuandaa meza,,, na my dad alikuwa kinara kuhakikisha tunahusika direct shughuli za home,,,,,,hata leo nikiingia jikoni kama kuchafu,,, i can clean myself,,,,na shemeji zangu wameketisha kwenye tv,,, sio sawa hata kidg,,,
na hawataelewa kabisa, watashabikia kwa mitazamo yao..... all in all, nawashukuru walionipa maneno yafaayo,,,,na wengine wote,,,...kwa wakati muafaka.....kibaya ni kuwa baada ya kakake kumtoa alikwenda home akakusanya kila kimfaacho karudi kwa kakake,,,,,,...... coz najua yuko kule wala sijishughulishi nae.......may be ana stress zaidi yangu....ubarikiwe mkuu
Hata kama umewasomesha hadi chuo lakini bado unatakiwa kukaa chini na mkeo muangalie mtawasaidiaje waondokane na kuwa tegemezi!
Kama mnaweza kuwatafutia shughuli ya kufanya itakuwa vyema au kibarua!Lakini nina uhakika kwa maelezo unayo yatoa hakuwai kukaa chini na mkeo na mksongea kama marafiki na ukaonesha unaguswa na hilo tatizo!
Hebu tafuta njia nzuri zaidi ya kutatua hili tatizo hii ya kupelekana polisi na shemeji zako+mkeo kwa sababu chakula si afya kwa familia yako!
Hili swala lazima ujaribu kulitatua bila kutumia nguvu maana litaendelea kumuathiri mkeo na hamtakuwa na amani kwenye ndoa yenu!
Umeongea vizuri sana mkuu, but nakwambia umeme unaweza kuisha,,, wajua ukiwa na 2000 unapata umeme hata wa kusogeza,,, she cant by, tena anawaambia watoto nampigia baba yenu mumwambie umeme umeisha,,,,sula la bajeti nilijaribu likanishinda kabisa,,, pesa inaisha kabla, ukiuliza utanuniwa 3days, kisa atadai simuamini,,,ana kazi nzuri tuu, hata gari analotumia ni ghali kuliko langu,,, hata mafuta nilikuwa namuwekea, but nilisimamisha kwa makusudi,,, she afford herself......sidhani kama kuhusika jikoni ni dhambi, nimejifunza toka kwa my family,, toka tukiwa kids home tulikuwa na zamu za kuosha vyombo, kuandaa meza,,, na my dad alikuwa kinara
kuhakikisha tunahusika direct shughuli za home,,,,,,hata leo nikiingia jikoni kama kuchafu,,, i can clean myself,,,,na shemeji zangu wameketisha kwenye tv,,, sio sawa hata kidg,,,
Wewe unaliangalia hili suala kwa upande mmoja tu, kama kawasadia kwa kuwasomesha hadi chuo kikuu unataka afanye nini zaidi ya hapo? Mke wake si ana kazi nzuri tu kwa nini hasiwasaidie kwa pesa zake.Nahisi utakua una roho ya ubinafsi,chuki na kutojiamini.Unapenda kufuatilia vitu vidogo,siamini kama mwanaume mzima unachunguza hadi chakula.Hao ndugu za mkeo unaowafukuza na kuwadhalilisha kisa chakula hujui kua ipo siku wanaweza kua msaada mkubwa Kwa wanao mbele ya safari.Ningekupa kisa flani cha kweli ila ngoja nikuache hujui ufanyalo.
Very serious, ni issue ya uzalendo wa kifamilia, kama mtu hana uzalendo atauza familia.
Ndo maana na viongozi wetu wanatuuza kwa kukosa uzalendo, sasa nashangaa kuliona hili kwa ngazi ya familia. Huyo akipewa bil 1, achomoe roho ya mumewe anafanya bila kufikiria.
Kule kwetu kuna msemo "Nfumu nkali akabulagagwa na ng'hemba okwe, wakimaanisha 'mganga anayeogopeka huwa anauliwa na wasaidizi wake.
Kwa mambo ya kisasa ni kuwa hata viongozi wanaolindwa sana huwa wanauawa na walinzi wao, lazima ndani ya kundi lake wachache wawe compromised.
Mke wa jamaa tayari keshacompromised, it is not good kabisa.
na hawataelewa kabisa, watashabikia kwa mitazamo yao..... all in all, nawashukuru walionipa maneno yafaayo,,,,na wengine wote,,,...kwa wakati muafaka.....kibaya ni kuwa baada ya kakake kumtoa alikwenda home akakusanya kila kimfaacho karudi kwa kakake,,,,,,...... coz najua yuko kule wala sijishughulishi nae.......may be ana stress zaidi yangu....ubarikiwe mkuu