Wife kanikataa kisa nimenyoa upara

Wife kanikataa kisa nimenyoa upara

prof.mutunga

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2013
Posts
341
Reaction score
60
Ilikuwa siku ya jana aliponionya kuwa nisinyoe upara ila mimi namind leo nimenyoa na ameniambia hanipendi wala hatafanya mapenzi mpaka nywele ziote, hivi kweli huyu denti ana akili? Na ananpenda? Au nimpe kibuti? Wakuu tiririkeni ili nimpe talaka!
 
Inaelekea wewe ni mmoja kati ya wanaume madikteta wasiotaka kushauriwa na wake zao. Hata akikutema mi naona ni sawa tu, ni kwa faida yake.
 
Ilikuwa siku ya jana aliponionya kuwa nisinyoe upara ila mimi namind leo nimenyoa na ameniambia hanipendi wala hatafanya mapenzi mpaka nywele ziote, hivi kweli huyu denti ana akili? Na ananpenda? Au nimpe kibuti? Wakuu tiririkeni ili nimpe talaka!
kama hakupi. Unyumba mshitaki kwa balozi na mwambie akae kwa
balozi mpaka nywele ziote
 
Kumbuka kuwa ana date na denti (sio mke wa ndoa), kwa mujibu wa post yake hapo juu! Utamshtakije skonga? Unataka kesi?
 
Sababu za kunyoa kipara ni zipi?? na kwa nini ulishindwa kuacha nywele japo kidogo maana kuna uwezekano kichwa chako ni kama tofali la kwenye kona ndio maana mchumba wako akakushauri usitoe nywele zote maana utachekesha walionuna...
 
Ilikuwa siku ya jana aliponionya kuwa nisinyoe upara ila mimi namind leo nimenyoa na ameniambia hanipendi wala hatafanya mapenzi mpaka nywele ziote, hivi kweli huyu denti ana akili? Na ananpenda? Au nimpe kibuti? Wakuu tiririkeni ili nimpe talaka!
mie nakupa ushauri wa ubwete! Achana na huyo denti, tafuta wa size yako, anayeelewa majukum ya utu uzima!
 
Unajichanganya everywhere...hata katika kuelezea!!! arggghhhhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!
 
Sababu za kunyoa kipara ni zipi?? na kwa nini ulishindwa kuacha nywele japo kidogo maana kuna uwezekano kichwa chako ni kama tofali la kwenye kona ndio maana mchumba wako akakushauri usitoe nywele zote maana utachekesha walionuna...

Anagalia mkuu ukwel mwngne unawez kukuponza unaweza tolewa kucha
 
hata mimi na liupara lako ningekutoa mbese mbese ukute una kichwa kama alama ya kuuliza halafu unanyoa upara wapi na wapi,sometimes uwe unasikiliza ushauri wa mwenzi wako.
 
Ilikuwa siku ya jana aliponionya kuwa nisinyoe upara ila mimi namind leo nimenyoa na ameniambia hanipendi wala hatafanya mapenzi mpaka nywele ziote, hivi kweli huyu denti ana akili? Na ananpenda? Au nimpe kibuti? Wakuu tiririkeni ili nimpe talaka!

Umenyoa kipara au UME PIGWA KIPARA ?
 
halafu mnasema wanaume ni kichwa cha familia....

Hebu muache upesi huyo binti apate mwanaume bora sio bora mwanaume
 
Aljua kuwa uknyoa kpara hauvutii ndo mana akakwambia ivyo, uwe unamsklza mwenzio mana ye n kioo kwako kabla ujatoka nje kwa wa ulmwengu
 
Wife Mara dent yaaaani upo upo tuu!!! Umeona madhara ya kunyoa kipala!!!?
 
Ilikuwa siku ya jana aliponionya kuwa nisinyoe upara ila mimi namind leo nimenyoa na ameniambia hanipendi wala hatafanya mapenzi mpaka nywele ziote, hivi kweli huyu denti ana akili? Na ananpenda? Au nimpe kibuti? Wakuu tiririkeni ili nimpe talaka!

30years in prison, hahahahaaaaa
 
Asikuletee za kuleta. mwanaume upara bwana ufuge nywele umekuwa shoga? hataki awafuate masharo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom