Wife kanikataa kisa nimenyoa upara

Wife kanikataa kisa nimenyoa upara

prof.mutunga

nina mashaka na ID yako,prof,unachukua dent?..Salaaaaaaaale.!
 
Ilikuwa siku ya jana aliponionya kuwa nisinyoe upara ila mimi namind leo nimenyoa na ameniambia hanipendi wala hatafanya mapenzi mpaka nywele ziote, hivi kweli huyu denti ana akili? Na ananpenda? Au nimpe kibuti? Wakuu tiririkeni ili nimpe talaka!

Kwani nani huyo aliyekupiga kipara? Wakati unapigwa kipara huyo Denti aliona? Pole sana mkuu mwambie hautarudia tena ni shetani tu alikupitia. (NANYIE WANAJF WAAJABU KWELI, MWENZENU KATUMIA TAFSIDA KULETA HOJA YAKE HALAFU NYIE MNAKUWA NA VICHWA VIGUMU KUMUELEWA, KAWAAMBIA WAMEMNYOA KIPARA SASA HAMJAELEWA NINI HAPO?)
 
Kwani nani huyo
aliyekupiga kipara? Wakati unapigwa kipara huyo Denti aliona? Pole sana
mkuu mwambie hautarudia tena ni shetani tu alikupitia. (NANYIE WANAJF
WAAJABU KWELI, MWENZENU KATUMIA TAFSIDA KULETA HOJA YAKE HALAFU NYIE
MNAKUWA NA VICHWA VIGUMU KUMUELEWA, KAWAAMBIA WAMEMNYOA KIPARA SASA
HAMJAELEWA NINI HAPO?)

kuuumbe!
 
Kwani nani huyo aliyekupiga kipara? Wakati unapigwa kipara huyo Denti aliona? Pole sana mkuu mwambie hautarudia tena ni shetani tu alikupitia. (NANYIE WANAJF WAAJABU KWELI, MWENZENU KATUMIA TAFSIDA KULETA HOJA YAKE HALAFU NYIE MNAKUWA NA VICHWA VIGUMU KUMUELEWA, KAWAAMBIA WAMEMNYOA KIPARA SASA HAMJAELEWA NINI HAPO?)

mbona alienda mbali hivyoo.kama tafsida ziko hivi sintokaa nielewe thread za tafsida
kweli yahitaji akili ya ziada kumuelewa.......
 
kma hujielewi hivi,sidhan kma unaongelea mke au kimada wako maana mke hafikiriwi kufukuzwa kizembe namna hyo
 
Ilikuwa siku ya jana aliponionya kuwa nisinyoe upara ila mimi namind leo nimenyoa na ameniambia hanipendi wala hatafanya mapenzi mpaka nywele ziote, hivi kweli huyu denti ana akili? Na ananpenda? Au nimpe kibuti? Wakuu tiririkeni ili nimpe talaka!

rubbish,a wife will never do that,pia a husband will never do what u did,so simply hapo hakuna hyo ndoa
 
Mwacheni mwenzenu kwani nyie Me hamjui bei za salun mkuu kakwepa bei ns para ni buku jero ss nyie mwamshangaa!!
 
Ilikuwa siku ya jana aliponionya kuwa nisinyoe upara ila mimi namind leo nimenyoa na ameniambia hanipendi wala hatafanya mapenzi mpaka nywele ziote, hivi kweli huyu denti ana akili? Na ananpenda? Au nimpe kibuti? Wakuu tiririkeni ili nimpe talaka!

Prof Mutunga nakupa pole, mi nilinyoa kipala akanisifia, toka hapo hadi leo ni kipara kwa mbele...pokea anovotaka akuone kila siku, la sivo......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom