Ilikuwa siku ya jana aliponionya kuwa nisinyoe upara ila mimi namind leo nimenyoa na ameniambia hanipendi wala hatafanya mapenzi mpaka nywele ziote, hivi kweli huyu denti ana akili? Na ananpenda? Au nimpe kibuti? Wakuu tiririkeni ili nimpe talaka!
Kumbe wife wako denti. Ndio matatizo ya vitoto vya shule ndugu kakikua kataacha. Ila kaelimishe tu kuwa kwenye zile kung fu za kiutu uzima kichwa cha muhimu zaidi ni kile cha chini na kinapoamka hiki cha juu huwa kipokipo tu mpaka mchezo uishe.