WI-Fi ni nini????

WI-Fi ni nini????

Wifi ni technolojia ya networking bila waya kwa urefu mfupi(relatively) kwa hiyo inatumika badala ya waya kuunga kifaa chako (laptop,simu,baadhi ya TV) na source ya Internet ya nyumbani/ofisini kwako.
Note lazima kuwa na connection ya Internet kwenye kifaa kinachorusha wifi, inaweza ikawa cable au wireless 3G etc, kwa hiyo wifi haiprovide internet ni connection tu ili usihangaike kuchomeka waya kwenye kila kitu.

Kuna njia kadhaa za kurusha Wifi kama una "Modem"(Hapa namaanisha hizi 3G USB dongle za akina Voda/Airtel)

1. Kuna software unaweza kuinstall kwenye PC yako ikaigeuza PC kuwa wifi hotspot, kuna Connectify Connectify - Turn your PC into a Wi-Fi Hotspot and Get Faster Internet ambayo ndo reliable zaidi kwa experience yangu ila kuitumia na USB Modem inabidi uilipie, kutumia na wired network connection ni bure. Pia jaribu MyPublicWiFi - Virtual Access Point au Virtual Router - Wifi Hot Spot for Windows 8, Windows 7 and 2008 R2 - Home ambazo ni bure kabisa ila experience yangu haikuwa nzuri nilipozijaribu enzi hizo. Laptop yoyote iliyotengenezwa ndani ya miaka kumi itakuwa na wifi.

2. Kuna Wifi Router ambazo zina USB port ambayo inaweza kupokea USB Modem. Hatari hapa ni uhakika wa compatibility ni mdogo.
3g_wifi_router_gateway_with_USB_modem.jpg

3. Pia unaweza kuchomoa SIM na kuiweka kwenye moja ya hizi, ambayo inarusha wifi signal na ina battery so inakuwa portable.
mifi_hires.jpg
 
Ahsante kuthjulisha na sisi wengine. Namu niulize kuwa kwa nini cm yangu aina ya htc one v haina uwezo kushika mtandao nikiwa kama km 7? Hii nj cm kubwa na ni ghali. Je nimekosea zetting? Nisaidieni
 
Ahsante kuthjulisha na sisi wengine. Namu niulize kuwa kwa nini cm yangu aina ya htc one v haina uwezo kushika mtandao nikiwa kama km 7? Hii nj cm kubwa na ni ghali. Je nimekosea zetting? Nisaidieni

Una nia ya kusaidiwa kwely?
.
Simu yako kuwa ghali vina uhusiano wowote na unachoulza?
 
Una nia ya kusaidiwa kwely?
.
Simu yako kuwa ghali vina uhusiano wowote na unachoulza?

Samahani kwa lugha nilotumia maana yangu hasa ni kuwa simu ya bei hiyo ingelingana basi na efficience yake. Unajua tatizo lake?
 
Samahani kwa lugha nilotumia maana yangu hasa ni kuwa simu ya bei hiyo ingelingana basi na efficience yake. Unajua tatizo lake?

Kila Wi-fi hotspot inakuwa na Distance Yake,
na pia Kwa Wi fi KM 7 ni nying sana,
kwa hyo simu yako siyo Tatizo!
 
Huyu Wi-Fi ana tofauti gani na WLAN kwenye cm yangu nana hilo jina, na naomba msaada kujua kama Galax not 3 nayotumia ni original au copy
 
Hii kitu itasaidia simu zetu zilizofungwa na TCRA tunaweza kujiunga na whatsapp kwa msaada wa wifi
 
habari
jamani mimi natumia tecno n7 sas sielewi matumizi ya Wi-Fi na nikitaka kuitumia nafanya nini???? kiukweli i know nothing about it naiona tuuu ipo ila siielewi kabisaaaaa naomba mnifafanulie kwa kina na mnielekeze jinsi ya kuitumia
asanteni

images
wifi is something that gives access to go online
 
Hii kitu itasaidia simu zetu zilizofungwa na TCRA tunaweza kujiunga na whatsapp kwa msaada wa wifi[/
you can use Wifi to make calls with Whatapp or Viber. Also you can use Wifi to connect online. I will give you an example, when I was at Mbeya Hotel, I was able to watch you tube videos by using Wifi at the hotel.
 
Back
Top Bottom