utafiti
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 12,783
- 7,671
Hahahaha maskini akipata......
Ushaanza kupata woga eee
Hahahahaaha
Hahahaha maskini akipata......
Nilibet na BAK na si wewe.Wewe unaanzaje kubet wakati huna uhakika na team yako na huna kifua cha kustahimili?Yani wewe kazi kumtia presha mdogo wangu miss neddy
BAK mtumie buku mbili akanunue movie kariakoo
Nikuletee hapa maneno yako??
dada ana neema za allah za kutosha
Kibo10 nimekuja na stuli nyengine kwa ajili ya msaada, nisaidie kuisogeza hapo.....Ayaaah wakware mkiongozwa na Mr Rocky hilo tufe ni balaah kabisa utafiti amka nenda job mkuu hilo litakumaliza damu... kabanga haya ndio mavitu yake hapo akikaa safiiii! #MaishaYenyeweMafupiTu !
Ayaaah wakware mkiongozwa na Mr Rocky hilo tufe ni balaah kabisa utafiti amka nenda job mkuu hilo litakumaliza damu... kabanga haya ndio mavitu yake hapo akikaa safiiii! #MaishaYenyeweMafupiTu !
Kaka jana nilibet na Honey Faith hapa nasubiri mida mida nikachukue zawadi yangu
Mkuu umeona viti vya bar vinavyokuwa eeeh
zieneiiii
vumilia mwenzako utafiti kafa kiume
sio vizuri hivi ukitegemea kati kati ya mwezi hii unataka watoto washinde na mchicha tupu nini??
Allahmdudllilah la brahamin ewe mwenyezi mungu mjaza neema ndogo ndogo na kubwa ndefu na fupi nnene na nyembamba tujalie wanawako wa jf tuweze kushinda maswahiba haya na wote mseme
amin amin amin
vumilia hadi mwisho wa mwezi
loh masai na hizi dawa za sikuhizi za kichina nikifika mwisho wa mwezi naweza nisiamini ndio hilo kwenye picha walahi
labda unihakikishie ku maintain mpaka tar 31...si unajua bambataa zinasinyaaga hasa mwisho wa mwezi unless una zi boost kwenye tar 27-28