Why stuli za bar ni ndogoo

Why stuli za bar ni ndogoo

Hahahahaha lol!!! Umenichekesha kweli hakuna ubaya kuvipata vyote ushindi na kubembelezwa 🙂🙂 tunaongoza 3-0 Khe Khe Khe Khe

I promise ukimfunga mtu leo nitakubembeleza hadi ulale.....lol
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Lol!!!!! Nasikia dawa itapatikana karibuni, hivyo usikate tamaa Dr.
attachment.php

Mgogoro wa Yanga BAK Ana Makalio mazuri...........
 
Leo hao mtu tatu wana furaha lazima wapite hapa si unajua tena wazee wa kubahatisha utafiti BAK na MO11

Nilijua tu utasema tumebahatisha, ila sisi kuanzia sasa ukipita mbele yetu unakula za uso nne au tano.... Ile jana ni salamu kwa man u na vibonde wenzake wa uingereza....
 
Last edited by a moderator:
Nilijua tu utasema tumebahatisha, ila sisi kuanzia sasa ukipita mbele yetu unakula za uso nne au tano.... Ile jana ni salamu kwa man u na vibonde wenzake wa uingereza....

Hahahaha maskini akipata......
 
Back
Top Bottom