Why Slaa must not resign, CHADEMA house is no longer crowded!

Why Slaa must not resign, CHADEMA house is no longer crowded!

...Katika bandiko hilo, mwandishi wake alielezea juu ya ulegevu na kuyumba kwa uongozi wa juu wa chadema chini ya Dr Slaa kama mtendaji mkuu na kwamba ili kunusuru hali hiyo ambayo mwandishi huyo alitabiri kuwa itakimaliza Chama hicho kwani kitapoteza wanachama lakini pia kitapoteza imani ya watanzania.,mwandishi alipendekeza Dr Slaa ajiuzulu. ...
Sasa CHADEMA ikipoteza wanachama, hiyo si ndio faida kwenu CCM? Kwa nini uhuzunike badala ya kukaa kimya ili kuacha yatokee mabaya kwa CHADEMA? Send-off ipo lini?
 
Dr.Slaa ataendelea kuwa rais kivuli miaka yote.
Mkuu nilikuwa busy na paper nikawa sionekani humu ndani..,sasa nimemaliza paper nakuja nianze kuyazungumza tunayoyazungumza naona unanitafutia mazingira ya kupigwa ban nipotee tena...sasa hiyo comment yako si unataka mi nicheke kwa sauti nipigwe ban..
 
Mkuu nilikuwa busy na paper nikawa sionekani humu ndani..,sasa nimemaliza paper nakuja nianze kuyazungumza tunayoyazungumza naona unanitafutia mazingira ya kupigwa ban nipotee tena...sasa hiyo comment yako si unataka mi nicheke kwa sauti nipigwe ban..
ombi lako la kurudi chadema limekataliwa, baki huko huko CCM
 
Juliana Shonza, nilidhani baada ya kupata mchumba utapata mshauri ili uandike mambo yanayoeleweka, kumbe bado!
Sasa wewe kila ukilala unamuota Slaa, mchumba kakuchosha mara hii?
Halafu unasema eti wanachama wote wa CHADEMA hawajai darasa moja ya sekondari ya KATA...kumbe unazidharau sekondari za kata, unatafuta nini huko CCM basi? Maana sekondari za kata ni zao la CCM, sasa hujui kwamba unadhalilisha chama kinachokutumia vibaya?
Na kama maelfu wanahama CHADEMA, we si ufurahi, kinachokuwasha ninini mpaka uwahurumie CHADEMA. Pilipili wale wenzio, uwashwe wewe..Halafu eti unasoma Masters....Masters kweli siku hizi ni hovyo kabisa.....komaa binti, anza kujifunza kuandika ki Masters-Masters basi ueleweke, ala!
maneno meeeengi lakini hayana mantiki yeyote, haujui unataka kusema nini,,yaani hauko focused kabisa mara mchumba, mara masters, mara shule za kata.,which is which..?

siku nyingine, amka vizuri, kunywa chai yenye vitafunwa vya kutosha ili ukate hang over then anza safari yako kuelekea Ufipa, chukua laptop yako anza kujibu thread JF lakini fanya hayo yote ukiwa una uhakika kuwa umepiga mswaki,.
 
CHADEMA wanapaswa kujitafakari zaidi hasa kutokana na chama chao kwa sasa kupoteza mvuto miongoni mwa wanachama na wafuasi wengi
 
maneno meeeengi lakini hayana mantiki yeyote, haujui unataka kusema nini,,yaani hauko focused kabisa mara mchumba, mara masters, mara shule za kata.,which is which..?

siku nyingine, amka vizuri, kunywa chai yenye vitafunwa vya kutosha ili ukate hang over then anza safari yako kuelekea Ufipa, chukua laptop yako anza kujibu thread JF lakini fanya hayo yote ukiwa una uhakika kuwa umepiga mswaki,.

Dada Juliana, mie nawasikitikia sana hawa vijana kwa kukosa ubunifu na goja mahsusi za kujibu badniko lako. wamebaki kubwabwaja tu na kueleza yasiyohusiana na mada hii
 
Kulikuwa na wanachama wengi kiasi kwamba ukiwaweka kwenye shule zote za msingi nchini madara yake yasingelitosha.

Hivi ulishawahi kujiuliza ni wanachama wangapi wanaojiunga cdm na kupewa kadi kila siku? Tuliopo field tunajua kuwa watu mamia kwa maelfu wanatafuta kadi za cdm kila sikuhadi kufikia kuwa adimu kupatikana,tunagawa hadi zinaisha huku wananchi wakizihitaji kuliko wakati wowote ule.Kuhusu hao wachumia tumbo wanaoondoka nani kakwambia ni watu mashuhuri na wenye ushawishi mkubwa? Unataka kutuambia mtu aliyekuta chama kina madiwani 16 wakati anachaguliwa na sasa kina madiwani 2 naye ana ushawishi mkubwa? Chama hakiwezi kufuga wazembe na wasaliti kama hawa wanaoogopa chaguzi kwa hofu kuwa usaliti wao ulishajulikana hivyo hawawezi kuchaguliwa tena.
 
Mwishoni mwa mwaka 2012 hapa JF liliwepo bandiko maarufu lililotambulishwa na kichwa cha habari "why slaa must resign" https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-must-resign-effect-of-the-crowded-house.html

Katika bandiko hilo, mwandishi wake alielezea juu ya ulegevu na kuyumba kwa uongozi wa juu wa chadema chini ya Dr Slaa kama mtendaji mkuu na kwamba ili kunusuru hali hiyo ambayo mwandishi huyo alitabiri kuwa itakimaliza Chama hicho kwani kitapoteza wanachama lakini pia kitapoteza imani ya watanzania.,mwandishi alipendekeza Dr Slaa ajiuzulu.

Kama ilivyo kawaida ya sikio la kufa, viongozi wa juu wa Chadema walipingana na ushauri huo na kuendelea kubaki vin'ang'anizi katika nafasi zao walizozishikilia na hatimae leo tumeona yanayotokea, watu maelfu kwa maelfu wamekuwa wakiondoka chadema tena watu wenye nafasi nyeti na wenye influence kubwa kwa jamii. Leo lugha ya "KUJIUZULU'' imekuwa ni lugha ya kawaida kwa wanachadema wanaoujua ukweli na uhalisia wa Chama hicho kila uchao.

Lakini mwandishi aliposimamia hoja ya wimbi la watu ambalo aliwaita "oil Chafu" hasa baada ya Ally Bananga na James Ole Milya kujiunga na chama hicho, hoja hiyo sasa ni mfu. Hoja kuwa chadema kimepoteza mwelekeo kwa sababu watu ni wengi ni hoja mfu, hivi sasa Chama hicho kimebakiwa na wanachama wachache ambao ukiwajaza kwenye darasa moja la shule ya msingi ya kata wanatosha. Hoja ya uwingi sio hoja na kwa maana hiyo Dr Slaa aachwe akiongoze Chama, kwani hivi sasa watu wamepungua hivyo atafanya kazi zake za management vizuri na kwa urahisi.

Dr Slaa alisikika kuwa Chama hakijakomaa hivyo hakiwezi kufanya uchaguzi wake wa ndani ila kuanza kwa zoezi la uchaguzi ndani ya Chama hicho ni dalili kuwa Chama iko sasa kimekomaa na kwamba kinajiandaa kuchukua nchi 2015.

KILA LA KHEIR DR SLAA..,IKULU INAKUSUBIRI 2015.

Juliana leo kwa mara ya kwanza unanifanya nidiriki kusema CDM hawajafanya kosa kukufukuza...kama akili ya kufikiri ya kuwadanganya watu ndio ipo hivi hufai hata kidogo kua ndani ya CDM na utanifanya nishangae uliweza vipi kua CDM kwa mda uliokuwepo...huna la kuongea kaa kimya au omba wenye uwezo kufikir wakupe vya ku post...
 
Hiki kitengo ulichopewa eti cha kurusha masambulizi dhidi ya CDM hukiwezi, cha msingi waambie wakubadilishie kitengo haraka.
 
Inaskitisha sana hata ofisi nyingi za chadema sasa zimegeuzwa magenge ya kuuzia nyanya na vocha za simu
 
Mtaweweseka sana misukule wa lumumba. Whether the house is crowded or not inawahusu nini masalia Juliana Shonza? Badala ya kukaa chini utulize mshono ili ujiandae kwa ndoa, unakurupuka asubuhi asubuhi kuandika mambo usiyoyajua wala hayakuhusu. Bila shaka usiku wa kuamkia leo umemuota Dr. Slaa...
 
Last edited by a moderator:
Kumbe Dr Slaa ana matatizo makubwa ya mkono wa kushoto...namuonea huruma kweli.
ni vema kuwahurumia wagonjwa, kwa ni ugwanjwa sii rahisi kuukwepa na hauangalii mamlaka wala madaraka vinginevyo hata kikwete asingesumbuliwa na kifafa.
 
Juliana Shonza tumia muda wako kukaa na MCHUMBA wako mpange maisha yenu!Kumbuka wewe binafsi una changamoto nyingi kuiweka ndoa yenu nje ya hali hatarishi!

Haya mambo ya siasa achana nayo kwa sasa,imarisha uhusiano wako !Hatutaki kusema mengi hapa sisi wengine ni "wakubwa"
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom