Why Slaa must not resign, CHADEMA house is no longer crowded!

KWA ULICHOANDIKA HAPA!Pole nyingi zimwendee aliyekuvika "PETE" sina mengi nakuomba kipindi hiki kigumu cha uchumba tulia kidogo dada Juli! Familia ya mume mtarajiwa inakuchunguza kwa makini. ona sakata la mwenzio Shilole? yote yamemkuta baada ya yeye kuendeleza ligi zisizokuwa na maana! ikitokea "AKAKUACHA" hakutakuwepo kada yeyote Mandla jr. 1
etc au kungwi "Faiza Foxy" kuziba nafasi yake. Tulia kwa sasa baadaye kunjua makucha taratibu! Imebidi nijishushe sana leo Juli.
 
maneno meeeengi lakini hayana mantiki yeyote, haujui unataka kusema nini,,yaani hauko focused kabisa mara mchumba, mara masters, mara shule za kata.,which is which..?

siku nyingine, amka vizuri, kunywa chai yenye vitafunwa vya kutosha ili ukate hang over then anza safari yako kuelekea Ufipa, chukua laptop yako anza kujibu thread JF lakini fanya hayo yote ukiwa una uhakika kuwa umepiga mswaki,.

Quak-Quak quakkk...Kwekwe.kwekweee...kwenye kile kitabu cha the Animal Farm cha GEORGE O'well, Juliana Shonza ungekuwa BATA....alikuwa haelewi chochote kinachoendelea kwenye mpango wa wanyama kujikomboa lakini ikifika wakati wa kuimba alipanua domo lote utafikiri karushiwa panzi na kuimba kila alichoambiwa bila kufikiri...utaimba sana lakini safari yako kisiasa itazikwa rasmi October 2015.
 
Last edited by a moderator:
Sasa CHADEMA ikipoteza wanachama, hiyo si ndio faida kwenu CCM? Kwa nini uhuzunike badala ya kukaa kimya ili kuacha yatokee mabaya kwa CHADEMA? Send-off ipo lini?

nina shangaa hata mimi ,tangu lini mwanaccm akatoa ushauri wa kukisaidia kukijenga cdm, ccm mara zote wao mtu wanayemhofia ndiye wanayemtaka ajiuzuru kwa sababu anakuwa tishio kwa uhai wa ccm.Mara zote huwa sikubali hoja zozote zinazotolewa na ccm juu ya cdm
 
Juliana unatesa sana mioyo ya hawa jamaa. endelea kuwaumiza hivyohivyo!
 
Huyo mchumba ana kazi huyu hata ki..nda.. hawezi kutulia
 
Mwishoni mwa mwaka 2012 hapa JF liliwepo bandiko maarufu lililotambulishwa na kichwa cha habari "why slaa must resign" https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-must-resign-effect-of-the-crowded-house.html

Katika bandiko hilo, mwandishi wake alielezea juu ya ulegevu na kuyumba kwa uongozi wa juu wa chadema chini ya Dr Slaa kama mtendaji mkuu na kwamba ili kunusuru hali hiyo ambayo mwandishi huyo alitabiri kuwa itakimaliza Chama hicho kwani kitapoteza wanachama lakini pia kitapoteza imani ya watanzania.,mwandishi alipendekeza Dr Slaa ajiuzulu.

Kama ilivyo kawaida ya sikio la kufa, viongozi wa juu wa Chadema walipingana na ushauri huo na kuendelea kubaki vin'ang'anizi katika nafasi zao walizozishikilia na hatimae leo tumeona yanayotokea, watu maelfu kwa maelfu wamekuwa wakiondoka chadema tena watu wenye nafasi nyeti na wenye influence kubwa kwa jamii. Leo lugha ya "KUJIUZULU'' imekuwa ni lugha ya kawaida kwa wanachadema wanaoujua ukweli na uhalisia wa Chama hicho kila uchao.

Lakini mwandishi aliposimamia hoja ya wimbi la watu ambalo aliwaita "oil Chafu" hasa baada ya Ally Bananga na James Ole Milya kujiunga na chama hicho, hoja hiyo sasa ni mfu. Hoja kuwa chadema kimepoteza mwelekeo kwa sababu watu ni wengi ni hoja mfu, hivi sasa Chama hicho kimebakiwa na wanachama wachache ambao ukiwajaza kwenye darasa moja la shule ya msingi ya kata wanatosha. Hoja ya uwingi sio hoja na kwa maana hiyo Dr Slaa aachwe akiongoze Chama, kwani hivi sasa watu wamepungua hivyo atafanya kazi zake za management vizuri na kwa urahisi.

Dr Slaa alisikika kuwa Chama hakijakomaa hivyo hakiwezi kufanya uchaguzi wake wa ndani ila kuanza kwa zoezi la uchaguzi ndani ya Chama hicho ni dalili kuwa Chama iko sasa kimekomaa na kwamba kinajiandaa kuchukua nchi 2015.

KILA LA KHEIR DR SLAA..,IKULU INAKUSUBIRI 2015.
]

nitumie number yako M pesa

juliana sasa hivi unafanya master hiyo ni level yako ya kufikiri
 
sasa hivi natembea na kadi watu wananiomba shonza yu need to be carefull unapoongea maneo kama hayo
 
Chama mali ya Mbowe na Slaa, kwasasa amani wanayo. Wataiba na kuongoza bila kuhojiwa.
 
Mkuu nilikuwa busy na paper nikawa sionekani humu ndani..,sasa nimemaliza paper nakuja nianze kuyazungumza tunayoyazungumza naona unanitafutia mazingira ya kupigwa ban nipotee tena...sasa hiyo comment yako si unataka mi nicheke kwa sauti nipigwe ban..

Pole sana na mitihani Juliana!! Huu ndio uzuri wa vijana wa ccm"Elimu kwanza". ccm ina vijana wasomi. Karibu jf tena sie tupo pamoja hatujahamia ACT.
 
KWA ULICHOANDIKA HAPA!Pole nyingi zimwendee aliyekuvika "PETE" sina mengi nakuomba kipindi hiki kigumu cha uchumba tulia kidogo dada Juli! Familia ya mume mtarajiwa inakuchunguza kwa makini. ona sakata la mwenzio Shilole? yote yamemkuta baada ya yeye kuendeleza ligi zisizokuwa na maana! ikitokea "AKAKUACHA" hakutakuwepo kada yeyote Mandla jr. 1
etc au kungwi "Faiza Foxy" kuziba nafasi yake. Tulia kwa sasa baadaye kunjua makucha taratibu! Imebidi nijishushe sana leo Juli.

Kuwa makini na maneno yako!!
 
sasa hivi natembea na kadi watu wananiomba shonza yu need to be carefull unapoongea maneo kama hayo
Atakula nini asipo ongea haya! Inawauma wakiona chadema haifi kama walivyodhani. Chadema hadi vijijini tukutane kwenye uchaguzi tutaheshimiana tu.
 
KWA ULICHOANDIKA HAPA!Pole nyingi zimwendee aliyekuvika "PETE" sina mengi nakuomba kipindi hiki kigumu cha uchumba tulia kidogo dada Juli! Familia ya mume mtarajiwa inakuchunguza kwa makini. ona sakata la mwenzio Shilole? yote yamemkuta baada ya yeye kuendeleza ligi zisizokuwa na maana! ikitokea "AKAKUACHA" hakutakuwepo kada yeyote Mandla jr. 1
etc au kungwi "Faiza Foxy" kuziba nafasi yake. Tulia kwa sasa baadaye kunjua makucha taratibu! Imebidi nijishushe sana leo Juli.
Uchumba wake ni kama kuondoa gundu tuu. Namhurumia sana huyo jamaa maana kaingia mkenge kutaka kuoa " cha wote" na atajuta sana baadae. Kama anasoma hapa JF basi ndio wakati wakuchukua hatua sasa. Wenyewe wanaita BRN (Big results now) hivyo ajishtukie mapema.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
haka ka mwanamke kana shida angalia mchumba ako atakutosa kwa kukurupuka kukizngumzia chama imara hzo n cheap politics ambazo hazina cha maana ishu za chadema wachie wenye chama chao tanua fikra then Unga Wa NDERE mlollishwa usiulete hku
 
Juliana we mtoto mzuri umbo no 8 haipendezi unahangaika hangaika hivo tumia figure wazee wa lumumba wakupeleke mamtoni
 
Mtaweweseka sana misukule wa lumumba. Whether the house is crowded or not inawahusu nini masalia Juliana Shonza? Badala ya kukaa chini utulize mshono ili ujiandae kwa ndoa, unakurupuka asubuhi asubuhi kuandika mambo usiyoyajua wala hayakuhusu. Bila shaka usiku wa kuamkia leo umemuota Dr. Slaa...
too less to respond...!
 
sasa hivi natembea na kadi watu wananiomba shonza yu need to be carefull unapoongea maneo kama hayo
unatembea na kadi za nini..? kadi ziko za aina nyingi.,mbona mnashindwa kujenga hoja zenu vizuri nyie bavicha.
 
KWA ULICHOANDIKA HAPA!Pole nyingi zimwendee aliyekuvika "PETE" sina mengi nakuomba kipindi hiki kigumu cha uchumba tulia kidogo dada Juli! Familia ya mume mtarajiwa inakuchunguza kwa makini. ona sakata la mwenzio Shilole? yote yamemkuta baada ya yeye kuendeleza ligi zisizokuwa na maana! ikitokea "AKAKUACHA" hakutakuwepo kada yeyote Mandla jr. 1
etc au kungwi "Faiza Foxy" kuziba nafasi yake. Tulia kwa sasa baadaye kunjua makucha taratibu! Imebidi nijishushe sana leo Juli.

Hili nalo neno achukue ushauri swadakta huu.
 
Back
Top Bottom