... Tulishajiuliza dada, ila tulipoona aina ya wanachama wanaoondoka TUKASHANGILIA sana! na bado hawajaisha wote na hapa tulipo tunasubiri sana waomdoke woteeee!!Mnajaribu kunijibu lakini kwa bahati mbaya hoja mnazozitumia kunijibu hazihusian kabisa na hiki nilichokiandika hapa.
hoja ya uchumba inahusiana vipi na kushindwa kwa chadema. Ninachokiona ni kutapatapa kusiko na msingi, umefika wakati sasa chadema hasa viongozi wake wa juu kujiuliza maswali ya msingi juu ya kuondokewa na wanachama kila uchao lakini jingine ni kupoteza imani kwa wananchi na chama hicho.
i need to be part of your send offunatembea na kadi za nini..? kadi ziko za aina nyingi.,mbona mnashindwa kujenga hoja zenu vizuri nyie bavicha.
Mkuu zumbemkuu nitake radhi! Mie nipeleke posa hapo kwa hilo garasha? Ni kweli dini hainiruhusu mitaala ila hata ingeniruhusu hapo sio kabisa, hebu fikiria unakula mahali ambapo yule "gaidi" naye alikuwa anajipumzisha utajisikiaje mgosi? Hiyo kitu imeshakuwa rejected kisiasa na kijamii na nakuhakikishia jamaa aliyejiingiza lazima atashtuka baadae subiri utaona tuu.mkuu Chakaza nasikia ulitaka kuongeza mke wa pili (sidhani kama dini inakuruhusu) ama ulitaka kuchepuka tu, ila nimesikitika kwamba eti ulipeleka posa kwa wazazi wa huyu binti, embu ukuje hapa ututoe wasi wasi
Juliana Shonza achana na hizi siasa chafu hautafanikiwa. Siku ile unatangaza uchumba kwa Mwansasu ndio siku pekee niliweza kukuona na nilitamani nipande madhabahuni na kukunong'oneza jambo kuwa usisahau lengo la Chadema kukupeleka ccm. Naamini unajua hili na naamini upo smart zaidi,now don't mess!!
Juliana Shonza, nilidhani baada ya kupata mchumba utapata mshauri ili uandike mambo yanayoeleweka, kumbe bado!
Sasa wewe kila ukilala unamuota Slaa, mchumba kakuchosha mara hii?
[/TD]
[h=5]Juliana Shonza