Why Slaa must not resign, CHADEMA house is no longer crowded!

Tupe kwanza takwimu za wanachama wangapi wameshakikimbia CHAMA kabla huyo dada hajakujibu swali lako.

Mkuu TataMadiba, kama wewe ndiye uliemchumbia Julian Shonza, mtaza mtoto ambaye dish limeyumba kupindukia.
 
Hapa naona kuna kushindwa kwa hoja na kutokubali kushindwa huko..mara ngapi nimeona "wapambanaji" wenu akina ben saa nane na yericko wakitokwa mapovu kwa thread za CCM. Juzi tu hapa kulikuwa na hoja ya waasisi wa CCM tena ikiwa imeanzishwa na yericko nyerere ..mhehe anayekataa kwao.

Hahaaa Juli ushapata mchumba, hivyo tuache ile michezo...
 
Lakini hilo halibadilishi ukweli kuwa chadema kinaendelea kupukutika tena kwa kasi ya ajabu. Wakati viongozi wenu wakuu wanajitoa ufahamu na kujifanya hawajui kinachoendelea, wanachama na viongozi wameendelea kujiengua na kujiunga na vyama vibhine vya siasa. Hili sio la kubeza.

Hao wanaojiengua wamefanya nini cdm? Huyo wa Temeke toka awe kiongozi hana hata mbunge mmoja na madiwani wa kutosha,Hao wa Tabora hawana hata mbunge mmoja aliyepatikana chini ya uongozi wao,Hilo saliti kuu lao lenyewe lilikuwa na madiwani 16 na sasa linafukuzwa wakiwa wamebaki 2 tu.Nadhani hii mizigo ilikuwa lazima iondolewe tu ili CDM isonge mbele katika maeneo hayo baada ya kuwa imehujumiwa sana na hawa wachumia tumbo.Tunataka makamanda wa ukweli katika maeneo hayo tofauti na hawa njaa kali vibaraka wa ccm! Pole sana kwa kufukuzwa kama mbwa na sasa unatangatanga tu huna hata sifa za kuwa m/kiti wa mtaa wala diwani.Umebaki jf kupost uharo tu!
 
Lakini hilo halibadilishi ukweli kuwa chadema kinaendelea kupukutika tena kwa kasi ya ajabu. Wakati viongozi wenu wakuu wanajitoa ufahamu na kujifanya hawajui kinachoendelea, wanachama na viongozi wameendelea kujiengua na kujiunga na vyama vibhine vya siasa. Hili sio la kubeza.

Unaweza kutupa data kuwa ni wanachama wangapi wanaachana na ccm kwa siku na kujiunga cdm? Ili tujue nani ana-gain na nani ana-lose? Wanaingia mamia halafu wanatoka wachumia tumbo wasiofika hata 10!
 
Hapa naona kuna kushindwa kwa hoja na kutokubali kushindwa huko..mara ngapi nimeona "wapambanaji" wenu akina ben saa nane na yericko wakitokwa mapovu kwa thread za CCM. Juzi tu hapa kulikuwa na hoja ya waasisi wa CCM tena ikiwa imeanzishwa na yericko nyerere ..mhehe anayekataa kwao.

Utahangaika sana,CDM ni taasisi kubwa inayofanya kazi zake kitaasisi na ndio maana hawa wachumia tumbo hawana impact yoyote.Walishindwa kuiendeleza cdm katika maeneo yao wakabaki kuihujumu kwa kuendekeza njaa.Hawana mafanikio yoyote ya kujivunia katika maeneo yao na ndio maana tunasema hawatufai! Kama wana thamani si wangesubiri chaguzi hizi zinazoendelea uone kama wana umaarufu wowote huko walipo? Wamesoma mchezo na kugundua kuwa usaliti wao upo peupe hivyo makamanda wangewatupia virago tu na kuamua kujiwahi,CDM kwa sasa tumejikita vijijini tukisajili wanachama wapya na mamia kwa maelfu wanachukua kadi za cdm na kuachana na ukoo wa panya uliowafanya hohehahe kwa zaidi ya miaka 53 ya uhuru.
 
Mnajaribu kunijibu lakini kwa bahati mbaya hoja mnazozitumia kunijibu hazihusian kabisa na hiki nilichokiandika hapa.

hoja ya uchumba inahusiana vipi na kushindwa kwa chadema. Ninachokiona ni kutapatapa kusiko na msingi, umefika wakati sasa chadema hasa viongozi wake wa juu kujiuliza maswali ya msingi juu ya kuondokewa na wanachama kila uchao lakini jingine ni kupoteza imani kwa wananchi na chama hicho.
Hoja ya uchumba ni angalizo tuu ili ujitambue yasije kukuta ya yule mwenzio viti maalumu aliyetoswa dakika chache kabla ya kupelekwa kanisani akaishia kulazwa hospitali.
Ujue mchumba anakufatilia kuona ulivyo na tabia zako ni zipi. Sasa akiona kuwa wewe ni mzandiki,muongo na mcharuko basi ujue hiyo ndoa iko mashakani.
 
mkuu Chakaza nasikia ulitaka kuongeza mke wa pili (sidhani kama dini inakuruhusu) ama ulitaka kuchepuka tu, ila nimesikitika kwamba eti ulipeleka posa kwa wazazi wa huyu binti, embu ukuje hapa ututoe wasi wasi
 
Last edited by a moderator:
Nazani ungespecify kw real figure zaidi kufanya justification yko, unless otherwise itakuwa ndo porojo za siasa Uchwala za Tanzania
kuna vitu sio lazima tuumizane koo kusema ama tupotezeane muda kubishana, vitu vingine viko wazi tu..,zamani ilikuwa anaondoka mtu mmoja mmoja, ikaja zamu ya makundi ya kumi, kisha ya mia, kisha ya elfu..,sasa hivi ni balaa..,unaondoka mkoa mzima..duh.

sasa bora ingelikuwa mkoa mmoja, imeng'oka mikoa mitatu..,yaani kwa kifupi hakuna Chadema mkoa wa Kigoma, Tabora na Mpanda...sehemu ambako Dr Slaa alipata kura karibu nusu ya kura zake za Uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 halafu mjinga mjinga mmoja anasema nataka Data..,U HOW..???
 
Mdada acha kukaa Lumumba tembelea huku mikoani ndio utsujua muziki wa CHADEMA... Nakupa mfano tu mdogo huku wilaya ya Kahama, njoo ujionee huku hata viongozi wako hawawezi fanya mkutano wa hadhara... Kuna matawi hadi ngazi ya kila mtaa vijiji vyote na hii ni sample tu dada subiri uchaguzi wa serikali za mitaa mtapumlia mashine ha haitawasaidia..
Kama mnadhani watanzania bado wamelala nbbasi mwajidanganya... Bei ya Pamba yetu kila mwaka mnatuchakachua.. Safari hii hamchomoki....
 
Mwishoni mwa mwaka 2012 hapa JF liliwepo bandiko maarufu lililotambulishwa na kichwa cha habari "why slaa must resign" https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-must-resign-effect-of-the-crowded-house.html

Katika bandiko hilo, mwandishi wake alielezea juu ya ulegevu na kuyumba kwa uongozi wa juu wa chadema chini ya Dr Slaa kama mtendaji mkuu na kwamba ili kunusuru hali hiyo ambayo mwandishi huyo alitabiri kuwa itakimaliza Chama hicho kwani kitapoteza wanachama lakini pia kitapoteza imani ya watanzania.,mwandishi alipendekeza Dr Slaa ajiuzulu.

Kama ilivyo kawaida ya sikio la kufa, viongozi wa juu wa Chadema walipingana na ushauri huo na kuendelea kubaki vin'ang'anizi katika nafasi zao walizozishikilia na hatimae leo tumeona yanayotokea, watu maelfu kwa maelfu wamekuwa wakiondoka chadema tena watu wenye nafasi nyeti na wenye influence kubwa kwa jamii. Leo lugha ya "KUJIUZULU'' imekuwa ni lugha ya kawaida kwa wanachadema wanaoujua ukweli na uhalisia wa Chama hicho kila uchao.

Lakini mwandishi aliposimamia hoja ya wimbi la watu ambalo aliwaita "oil Chafu" hasa baada ya Ally Bananga na James Ole Milya kujiunga na chama hicho, hoja hiyo sasa ni mfu. Hoja kuwa chadema kimepoteza mwelekeo kwa sababu watu ni wengi ni hoja mfu, hivi sasa Chama hicho kimebakiwa na wanachama wachache ambao ukiwajaza kwenye darasa moja la shule ya msingi ya kata wanatosha. Hoja ya uwingi sio hoja na kwa maana hiyo Dr Slaa aachwe akiongoze Chama, kwani hivi sasa watu wamepungua hivyo atafanya kazi zake za management vizuri na kwa urahisi.

Dr Slaa alisikika kuwa Chama hakijakomaa hivyo hakiwezi kufanya uchaguzi wake wa ndani ila kuanza kwa zoezi la uchaguzi ndani ya Chama hicho ni dalili kuwa Chama iko sasa kimekomaa na kwamba kinajiandaa kuchukua nchi 2015.

KILA LA KHEIR DR SLAA..,IKULU INAKUSUBIRI 2015.

Shoza Vipi?.Ulishapata mchumba?
 
Naomba ujibu swali hili: 'wakati wewe ni mwanachama wa CHADEMA chama kilikuwa na wanachama wangapi na sasa hivi CHADEMA kina wanachama wangapi'? Naomba ujibu swali hili tujue ukweli wako

...mkuuu hawezi kukujibu maana swali hili ni sawa na kumvua nguo mbele ya babayake...!!
 
  • Thanks
Reactions: mka
Utahangaika sana,CDM ni taasisi kubwa inayofanya kazi zake kitaasisi na ndio maana hawa wachumia tumbo hawana impact yoyote.Walishindwa kuiendeleza cdm katika maeneo yao wakabaki kuihujumu kwa kuendekeza njaa.Hawana mafanikio yoyote ya kujivunia katika maeneo yao na ndio maana tunasema hawatufai! Kama wana thamani si wangesubiri chaguzi hizi zinazoendelea uone kama wana umaarufu wowote huko walipo? Wamesoma mchezo na kugundua kuwa usaliti wao upo peupe hivyo makamanda wangewatupia virago tu na kuamua kujiwahi,CDM kwa sasa tumejikita vijijini tukisajili wanachama wapya na mamia kwa maelfu wanachukua kadi za cdm na kuachana na ukoo wa panya uliowafanya hohehahe kwa zaidi ya miaka 53 ya uhuru.

[EMAIL=" Juliana" Juliana[/EMAIL] shonza pameanza kumuwasha......!!mwache ahangaike..
 
Last edited by a moderator:
Da Shost, hujaambiwa kuwa kama hujafanya utafiti huna uhalali wa kuongea/kuandika?... mbona tuliambiwa unasoma? au Sansikimu?..
Mwishoni mwa mwaka 2012 hapa JF liliwepo bandiko maarufu lililotambulishwa na kichwa cha habari "why slaa must resign" https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-must-resign-effect-of-the-crowded-house.html

Katika bandiko hilo, mwandishi wake alielezea juu ya ulegevu na kuyumba kwa uongozi wa juu wa chadema chini ya Dr Slaa kama mtendaji mkuu na kwamba ili kunusuru hali hiyo ambayo mwandishi huyo alitabiri kuwa itakimaliza Chama hicho kwani kitapoteza wanachama lakini pia kitapoteza imani ya watanzania.,mwandishi alipendekeza Dr Slaa ajiuzulu.

Kama ilivyo kawaida ya sikio la kufa, viongozi wa juu wa Chadema walipingana na ushauri huo na kuendelea kubaki vin'ang'anizi katika nafasi zao walizozishikilia na hatimae leo tumeona yanayotokea, watu maelfu kwa maelfu wamekuwa wakiondoka chadema tena watu wenye nafasi nyeti na wenye influence kubwa kwa jamii. Leo lugha ya "KUJIUZULU'' imekuwa ni lugha ya kawaida kwa wanachadema wanaoujua ukweli na uhalisia wa Chama hicho kila uchao.

Lakini mwandishi aliposimamia hoja ya wimbi la watu ambalo aliwaita "oil Chafu" hasa baada ya Ally Bananga na James Ole Milya kujiunga na chama hicho, hoja hiyo sasa ni mfu. Hoja kuwa chadema kimepoteza mwelekeo kwa sababu watu ni wengi ni hoja mfu, hivi sasa Chama hicho kimebakiwa na wanachama wachache ambao ukiwajaza kwenye darasa moja la shule ya msingi ya kata wanatosha. Hoja ya uwingi sio hoja na kwa maana hiyo Dr Slaa aachwe akiongoze Chama, kwani hivi sasa watu wamepungua hivyo atafanya kazi zake za management vizuri na kwa urahisi.

Dr Slaa alisikika kuwa Chama hakijakomaa hivyo hakiwezi kufanya uchaguzi wake wa ndani ila kuanza kwa zoezi la uchaguzi ndani ya Chama hicho ni dalili kuwa Chama iko sasa kimekomaa na kwamba kinajiandaa kuchukua nchi 2015.

KILA LA KHEIR DR SLAA..,IKULU INAKUSUBIRI 2015.
 
Mnajaribu kunijibu lakini kwa bahati mbaya hoja mnazozitumia kunijibu hazihusian kabisa na hiki nilichokiandika hapa.

hoja ya uchumba inahusiana vipi na kushindwa kwa chadema. Ninachokiona ni kutapatapa kusiko na msingi, umefika wakati sasa chadema hasa viongozi wake wa juu kujiuliza maswali ya msingi juu ya kuondokewa na wanachama kila uchao lakini jingine ni kupoteza imani kwa wananchi na chama hicho.

Unajibiwa mbona na kwa hoja zinazoeleweka u puttana..? Wamekuambia kama vita vya panzi ni furaha ya kunguru.. kwanini kuhama kwa wanachama cdm isiwe ni furaha yenu..?

Halafu ndio msomi wewe.. Heri yangu nilieishia darasa la saba..
 
Mimi ni CCM lakini Juliana jaribu kutulia na uje na uzi wenye kufikirisha. Kusema wanachama wa CDM hawajai darasa moja ni propaganda za kitoto ambayo siyo saizi ya chama chetu. Mabingwa wote wa propaganda wanakuja na uzi ambao ukisomwa unamfanya msomaji anashawishika, we unaandika mambo ambayo hata mtoto wa std II anakucheka. Tulia mwanamke acha kuaibisha chama chetu!!
 
Back
Top Bottom