Why me? Kila mahusiano napitia magumu

Why me? Kila mahusiano napitia magumu

Hongera kwa mama kukufunza kupika manake kuna jamaa yangu mmoja alimfuata mama yangu akataka nimuowe nikasema basi wacha niende nikamtembelee kwao. Nikampigia simu nikamwabia nakuja kukuona basi akanipa mualiko wa kula siku ya weekend. Sasa mama yake alisafiri na baba yake alikuwa kazini kufika kwao tukapiga story mbili tatu mara msosi ukawa tayari dada wa kazi akaleta msosi kwenye meza tukaanza kula nikampigia simu mama yake kumwambia kama wife 2be nimependa anavyopika basi mama yake alicheka sana nikamwambia mbona unacheka akasema kwani anajua kupika huyo. Dada ndio aliepika sio yeye akabakia kucheka tu nikamuuliza sasa unataka kunilisha nini vyakula vya facebook na instagram? akabakia ooh nitajifunza nipe muda sitokulaza na njaa dear nikamwabia ukishajua nicheki lakini kwa sasa niwache kwanza.

Mkuu hiyo nimeipenda. Ha ha ha
 
Hayo mambo yapo sana kwa sisi mabinti kila kitu housegirl
 
Binadam wengine tumeumbwa kuwa kama Daraja LA kuwavusha watu toka shidani kwenda kwenye afadhari ya maisha, kwanza usikate tamaa jua wewe ni shujaa japo na mapungufu yoote unayoweza kuwa Nayo lakini fahamu hakuna Mkamilifu chini ya jua, songa Mbele Dumu katika imani, Sali Muombe Mungu akutengenezee furaha yako ipo japo itachelewa ila This time uwe mjanja
 
Halafu huyu demu Hela kwao ipo sana yeye kutwa na selfie tu. sijui hata chai kama anajua kupika manake huyo kama ex-wangu yeye chai akipika mpaka inakauka kwenye sufuria.😀😀
 
Pole sana dada yangu. I wish ningeweza kuandika zaidi kukushauri. Labda baadae. Ila kwa sasa nikushauri tu kuwa take it very slow. Chukulia relationships zako zilizopita kama lesson. Jifunze!! Pia usiwavulie chu*pi tena hao ma-X wako wakikukumbuka. Don't entertain them! Tumia muda wako sasa kuprioritize vitu vingine vinavyokufurahisha na vyenye manufaa zaidi kwako....kazini, biashara, michezo/mazoezi, masomo etc etc. Mapenzi yatakuja yenyewe with time. And please don't pay too much attention on your age au marafiki zako wa kike wanavyofanya/kukuambia. Ni muhimu pia utambue pasi na shaka yoyote kuwa wewe ni mtu muhimu sana.
Asante sana nashukuru... Sijawahi radiana na ex na siwezi
 
Binadam wengine tumeumbwa kuwa kama Daraja LA kuwavusha watu toka shidani kwenda kwenye afadhari ya maisha, kwanza usikate tamaa jua wewe ni shujaa japo na mapungufu yoote unayoweza kuwa Nayo lakini fahamu hakuna Mkamilifu chini ya jua, songa Mbele Dumu katika imani, Sali Muombe Mungu akutengenezee furaha yako ipo japo itachelewa ila This time uwe mjanja
Asante nmekuelewa
 
Halafu huyu demu Hela kwao ipo sana yeye kutwa na selfie tu. sijui hata chai kama anajua kupika manake huyo kama ex-wangu yeye chai akipika mpaka inakauka kwenye sufuria.😀😀
Hahaaaa... Oooh thanks much umenifanya nicheke
 
Watu Wa dizaini yako wako wachache sana siku hizi .

Wengi wamejaa ufekero.

Tulisms kwanza omba kwa MUNGU atakupa Wa kufanana nawe .

Ila nakusihi ulegeze moyo usijiwekee mipaka maana utakuwa unajifunga mwenyewe matokeo yake unaangukia kwa watu Wa ovyo
 
Asante nashukuru
 
Tatizo ni kuwa wanawake mnaojua kupenda hampati wanaume wanaojua kupenda....na kwetu pia wanaume tunaojua kupenda hatupati wanawake wanaojua kupenda kilio chako ndio kilio changu na kilio cha wengi! Hatuna tumaini zaid ya kumtegemea mola
 
daaah!!
mmmhhhh!!!Haya mambo bwana ya mapenzi!mbona yako Hv..
auntie usikate tamaa yupo uliyeandaliwa na Mungu Sema tunakurupukaga tu
tatizo lako ww kupata mwenza sahihi na Huyo hapatikan kwa kulala na kila MTU!!mi nakushauri kwa sasa tulia tu!tena km unaweza kaa ht two years (abstain kabisa)masuala ya mapenzi mi nakuambia Mungu atakuletea wa kufanana nawe
 
Nmekuelewa
 
Asante nashukuru
Nimesoma uzi wako lakini sijaona ulipo jaribu kueleza kuhusu weakness zako! Pengine weakness zako nazo ni kikwazo na si kila mtu anajua weakness zake lakini hakuna asiye jua hata weakness yake hata moja!

Pengine ungejaribu kueleza sehemu ambazo unafikiri ni madhaifu yako ili watu wajaribu kushauri jinsi ya kudeal nazo na sidhani kama huna weakness kabisa siongelei za muonekano!

Bila shaka umenielewa!
Mfano mimi ukiniuliza wekness yangu moja ntakwambia huwa nina hasira za karibu sana lakini huwa hazidumu sana!

Kila siku huwa najifunza jinsi ya kujicontrol!
 
Kwa hasira ni mwepesi kukasirika ila hua sikai na kitu moyoni, nikisamehe nimesamehe
 
Poleh sn
omba Mungu afutilie mbali roho ya kukataliwa na maagano yyt ktk ulimwengu wa roho
Kuna vitu km jini mahaba nk
U may also consider kwenda kwa mtaalamu kusafisha nyota nk..
Sorry mpenzi wa mimi. Amuombe Mungu afutilie mbali roho za kukataliwa afu aende kwa mtaalamu yupi tena kusafisha nyota? Ashike lipi?
 
Back
Top Bottom