Why me? Kila mahusiano napitia magumu

Why me? Kila mahusiano napitia magumu

Mapenzi.. Sio vitu vyote Ulivyo vitaja hapo juu.. Kama tabia, upole na heshima.. Kwa upande wangu nsha pata mtu mdada wa kisukuma sifa zote ulizo taja hapo juu anazo lakn.. Kilicho kuja nishinda ni mchafu flan hvi ananuka mdomo vibaya na anahalufu flani ya mwili hv.. Nilijaribu kumwambia hilo tatzo lakini yeye alikua halioni hilo tatzo.. Nimekaa nae mwaka nikashindwa asee. Yani hata nikiwa naw sehemu upepo ukiwa unatokea upande wake lazima usikie kiharufu flan hivi.. Jizi kati hapa alichumbiwa lakn jamaa alie chumbia akampiga chini after few months... Nikamcheck jamaa nikamuuliza tatzo nini jibu lilikua kama lilelile la kiharufu.. So dada mleta mada ushauri wangu angalia na hiyo kitu kama inayo.. Na kama unavyo jua wanaume wengi huwa hawasemi akikuta kuna kijitatzo
 
Nina ex-wangu mmoja huyo ana kila aina ya sifa anakusaidia ushauri hata saa 8 za usiku basi wewe mpigie na utaongea nae poa tu. Hajawahi kunitolea hata ukali nikikosea basi ataniambia kama nikimtukana sana sana ataniambia ukishamaliza hamaki zakonipigie. Kitandani mzuri hatari sura yake mzuri sijui nieseme kama nani kififatana nae basi watu wote hukata macho kumuangalia. Rafiki na jamaa zangu wote wananififu kumpata kimwana kama huyo ila tatizo lake:-
1 Hajui kupika
2 Kutwa yupo kwenye social media
3 Anaongea na wanaume kila nchi ya ulimwengu huu na wote anawaomba hela.
Sikujua hii tabia yake isipokuwa kuna rafiki yangu ndio alikuja kuniambia nami nikafanya uchunguzi na nikapata huo ushahidi hapo niliamua kuachana nae. Kwahio Venuss sijui wewe kama unayo tabia kama ya ex-wangu au pengine wewe utakuwa mnyonge wa mapenzi tu.
 
Hayo ni baadhi tu.... Ila on my side ni msichana nnae jitambua na kujipenda swala la uchafu kwangu halipo
 
Sometimes if u really love someone u have to help them, perhaps hajijui au ts a medical condition, ukute ana bidii na usafi ila ndo hvo hajijui,perhaps her sense of smell isn't good, au akiwa na hisia kw mwanaume ndo hormones znaleta hio harufu nk nk
 
Haya mambo smtyms ni spiritual, since kw mtaalamu is no to you,I suggest funga na kuomba God answers at some point
 
Nina ex-wangu mmoja huyo ana kila aina ya sifa anakusaidia ushauri hata saa 8 za usiku basi wewe mpigie na utaongea nae poa tu. Hajawahi kunitolea hata ukali nikikosea basi ataniambia kama nikimtukana sana sana ataniambia ukishamaliza hamaki zakonipigie. Kitandani mzuri hatari sura yake mzuri sijui nieseme kama nani kififatana nae basi watu wote hukata macho kumuangalia. Rafiki na jamaa zangu wote wananififu kumpata kimwana kama huyo ila tatizo lake:-
1 Hajui kupika
2 Kutwa yupo kwenye social media
3 Anaongea na wanaume kila nchi ya ulimwengu huu na wote anawaomba hela.
Sikujua hii tabia yake isipokuwa kuna rafiki yangu ndio alikuja kuniambia nami nikafanya uchunguzi na nikapata huo ushahidi hapo niliamua kuachana nae. Kwahio Venuss sijui wewe kama unayo tabia kama ya ex-wangu au pengine wewe utakuwa mnyonge wa mapenzi tu.
Thanks God hayo yote sina, Nnaishi mwenyewe lakini always lazima nipike... Mama yangu alinifunza vizuri tangu utotoni
 
Mapenzi.. Sio vitu vyote Ulivyo vitaja hapo juu.. Kama tabia, upole na heshima.. Kwa upande wangu nsha pata mtu mdada wa kisukuma sifa zote ulizo taja hapo juu anazo lakn.. Kilicho kuja nishinda ni mchafu flan hvi ananuka mdomo vibaya na anahalufu flani ya mwili hv.. Nilijaribu kumwambia hilo tatzo lakini yeye alikua halioni hilo tatzo.. Nimekaa nae mwaka nikashindwa asee. Yani hata nikiwa naw sehemu upepo ukiwa unatokea upande wake lazima usikie kiharufu flan hivi.. Jizi kati hapa alichumbiwa lakn jamaa alie chumbia akampiga chini after few months... Nikamcheck jamaa nikamuuliza tatzo nini jibu lilikua kama lilelile la kiharufu.. So dada mleta mada ushauri wangu angalia na hiyo kitu kama inayo.. Na kama unavyo jua wanaume wengi huwa hawasemi akikuta kuna kijitatzo
Umenena ukweli mkuu hata mimi demu akiwa na harufu ya kinywa au harufu flani mwilini huwa sina muda huondoka tu hapo. Lakini kwanini hukujaribu kumsaidia huyo mdada kuondoa hilo tatizo lake na umekaa nae mwaka mzima? Mfano ungelimnunulia Baking soda au ungempeleka kwa daktari wa meno. Pia kuhusu harufu ungejaribu kumnunulia manukato kwasababu hilo tatizo linaweza kuondoka sio kama hawa wenye kiburu na kutwa wapo facebook na instagram.
 
Sometimes if u really love someone u have to help them, perhaps hajijui au ts a medical condition, ukute ana bidii na usafi ila ndo hvo hajijui,perhaps her sense of smell isn't good, au akiwa na hisia kw mwanaume ndo hormones znaleta hio harufu nk nk
Ni kweli usemayo lakini niko makini sana na afya ya mwili wangu
 
Nina ex-wangu mmoja huyo ana kila aina ya sifa anakusaidia ushauri hata saa 8 za usiku basi wewe mpigie na utaongea nae poa tu. Hajawahi kunitolea hata ukali nikikosea basi ataniambia kama nikimtukana sana sana ataniambia ukishamaliza hamaki zakonipigie. Kitandani mzuri hatari sura yake mzuri sijui nieseme kama nani kififatana nae basi watu wote hukata macho kumuangalia. Rafiki na jamaa zangu wote wananififu kumpata kimwana kama huyo ila tatizo lake:-
1 Hajui kupika
2 Kutwa yupo kwenye social media
3 Anaongea na wanaume kila nchi ya ulimwengu huu na wote anawaomba hela.
Sikujua hii tabia yake isipokuwa kuna rafiki yangu ndio alikuja kuniambia nami nikafanya uchunguzi na nikapata huo ushahidi hapo niliamua kuachana nae. Kwahio Venuss sijui wewe kama unayo tabia kama ya ex-wangu au pengine wewe utakuwa mnyonge wa mapenzi tu.
Nobody is perfect js like u,hopefully ushapata mpya
 
Habari za jumapili! Kwa mara ya kwanza najitokeza kuomba ushauri kwa hichi kinachonisumbua kila siku....
Jinsia yangu mm ni ke, lakini ktk haya maisha ya mahusiano nmekua nikipitia magumu hadi najihisi labda mm niko tofauti......

Nmejaribu kua kwenye mahusiano ya kimapenzi lkn hakuna ata uhusiano mmoja ambao unanileta positive impacts ingawa kila mwanaume nnae kutana nae hua anaonyesha kuvutiwa na mm in all aspects(kitabia, upole, heshima) na mambo mengine, but at the end of the day naishia kuumia.

Na kwa bahati mbaya zaidi wote kimaisha wanakua wako chini lkn hua najitahidi kutoa support hadi mtu anafikia mafanikio, ila akishafanikiwa kama ni gari atapanda mwingine na mm naishia kuachwa..... Na ikitokea nmempata ambaye yuko well organized anakua anaonyesha hana imani na anahisi nmempenda sababu ya vitu ingawa sio kweli kabsaa najikuta naishia tu kuumia...
Na kitu kingine kinachoniumiza zaidi wakishaachana na mm baada ya mda wanaanza kunisumbua na kudai I was a right person na hii hutokea kwa wote..... Hichi kitu kinaniumiza, mbaya zaidi ata kama mtu kaoa still anakua maswala yake ya maisha atahitaji mm ni mshauri...

Naumia sana ndugu zangu natoa machozi kila siku, Natamani ifike siku Mungu anione na mm nmpate atakae tambua nafasi yangu.... Kuna mda natamani nizae tu mtoto nisahau habari za ndoa lakini naona ntakua naidanganya nafsi yangu kuishi maisha ambayo sikuwahi yawaza....

Naamini humu kuna wetu wengi wenye busara watanisaidia kiushauri nn cha kufanya, naogopa sana kukata tamaa lkn najiona ndiko nnakoelekea...

Kama nitakua nmeandika vibaya am sorry...
Karibuni!!
nimejikuta ninahuzuni sana baada ya kusoma bandiko lako sijui kwa nn!
 
pole best..nakushauri pumzika ia kama huwa unachagua sana wanaume basi punguza mama.......nimependa tu ulivyosema mpole daah huwa napenda sana wasichana wapole aisee....
 
Back
Top Bottom