BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,331
Ni kupoteza muda wako na pesa zako, wala usithubutu.
Uwiii huko hapana my dear
Uwiii huko hapana my dear
Hapana ndugu yangu siko hukoPole kwa changamoto, lakini pia ndiyo zinakujenga. Mimi nadhani unatafuta wa kukupenda kwa papara au nguvu. ila zingatia kuwa. Mapenzi ni kama kipepeo ukiyakimbiza huyapati ila ukitulia yatakuja yatatua yenyewe.
Yup hio kweli nobody is perfect lakini kuna wengine wapo kwa kuchezea mioyo ya watu tu. Nimeshapata mwenza zamani lakini tatizo mimi na huyo ex-wangu kila tukikutana lazima tukumbushane ya zamani. Si unajua wazamani ukimuona lazima moyo ushituke. Ndio maana mleta huu uzi Venuss amesema wakishamuacha lazima watarudi tena sio kama wanamtaka lakini kuna kitu ndio kinataka kuwarejesha.Nobody is perfect js like u,hopefully ushapata mpya
Kumbuka bado miaka 3 dirisha dogo la usajili lifungwe sijui nani atakae jitokeza kuja kumuoa!Umri huo bado sana kukata tamaa.
Asante kwa ushauri ila ni mwaka sasa nmeamua kuutumia kutafakari wapi nakosea lkn cha kushangaza kuna huyo ex anatamani avunje ndoa yake arudi kwanguKwa Mara ya kwanza jf hii imenitouch. Nashauri ufuatilie vizuri pindi wanapokuacha Huwa wanakulalamikia kipengele kipi au kaa na rafiki yako Mwulize kwa upendo anadhani unamapungufu gani, but do not access yourself hutapata majibu sahihi. Ukiambiwa uko vizuri kitabia jaribu kwenda kanisani kwa ajili ya toba labda kuna mkosi fulani. Yote yakigoma subiri, saa yako itakua bado, utampata wa kufanana na wewe tu.
Hongera kwa mama kukufunza kupika manake kuna jamaa yangu mmoja alimfuata mama yangu akataka nimuowe nikasema basi wacha niende nikamtembelee kwao. Nikampigia simu nikamwabia nakuja kukuona basi akanipa mualiko wa kula siku ya weekend. Sasa mama yake alisafiri na baba yake alikuwa kazini kufika kwao tukapiga story mbili tatu mara msosi ukawa tayari dada wa kazi akaleta msosi kwenye meza tukaanza kula nikampigia simu mama yake kumwambia kama wife 2be nimependa anavyopika basi mama yake alicheka sana nikamwambia mbona unacheka akasema kwani anajua kupika huyo. Dada ndio aliepika sio yeye akabakia kucheka tu nikamuuliza sasa unataka kunilisha nini vyakula vya facebook na instagram? akabakia ooh nitajifunza nipe muda sitokulaza na njaa dear nikamwabia ukishajua nicheki lakini kwa sasa niwache kwanza.Thanks God hayo yote sina, Nnaishi mwenyewe lakini always lazima nipike... Mama yangu alinifunza vizuri tangu utotoni
Usimuamini huyo sabuni ya kufulia huyo analainisha nguo lakini anachubua mikono.Asante kwa ushauri ila ni mwaka sasa nmeamua kuutumia kutafakari wapi nakosea lkn cha kushangaza kuna huyo ex anatamani avunje ndoa yake arudi kwangu
Asante my kwa ushauri... Ubarikiwe piamy dear, nguvu zako zote weka kwenye kutafuta pesa, kama unafanya kazi, ifanye kwa bidii, kama biashara likewise....watakuja wenyewe kwa magoti!
chaguo litakuwa kwako unayemtaka wewe.. PESA SABUNI YA ROHO!
start with a GREATEST LOVE OF ALL of ME, MYSELF AND I....ubarikiwe my friend
amenAsante my kwa ushauri... Ubarikiwe pia