Why me? Kila mahusiano napitia magumu

Why me? Kila mahusiano napitia magumu

Sometimes unaweza ukawa unahangaika weee simply because "huu si muda wako sahihi". Muda wako ukifika utaona tu jinsi Mungu atakavyokuinulia mume wako. Kuwa mvumilivu na usikate tamaa, Everything happens in God's perfect time
Asante kwa ushauri
 
Kwakwel hauko peke yako ktk swala kama hili, Na mshangaa mungu mimi leo nilikua kanisan lakini moyo ulikua unaniuma sana machozi yakawa yananitoka mwanzo wa ibada hadi mwisho wa ibada, Yaani hata nikiwa napita barabarani nahisi machozi na siwezi kuvumilia, moyo wangu ukiwa unaniuma sana na kumuuliza mungu Kwanini, naumizwa Kila siku, na ninamsaidia mtu yeye hadi family yake nawajali pia?! Nashangaa nafungua ukurasa huu nakuta mtu anazungumzia tatizo kama langu
 
Pole sana my dia.. Hiyo ya kulia mm mara nyingi hunitokea ata nikiwa barabarani, kipindi naandika huu uzi nilikua nalia kama mtoto.. Inauma sana ila Mungu yu pamoja nasi
 
Usikate tamaa hata kidogo. Unazopitia ni changamoto za kawaida za kimahusiano. Kila mtu ana historia yake. Unaweza uhisi wewe unapitia matatizo mengi lakini ukweli ni kwamba kuna watu wengine wanapitia magumu zaidi kuliko wewe...na hawakati tamaa. Maisha yanaendelea!! Concentrate kwenye mambo yako ya msingi na ya manufaa zaidi huku ukimuomba Mungu akuongoze!!
 
Asante nimekuelewa
 
Kwakwel hauko peke yako ktk swala kama hili, Na mshangaa mungu mimi leo nilikua kanisan lakini moyo ulikua unaniuma sana machozi yakawa yananitoka mwanzo wa ibada hadi mwisho wa ibada, Yaani hata nikiwa napita barabarani nahisi machozi na siwezi kuvumilia, moyo wangu ukiwa unaniuma sana na kumuuliza mungu Kwanini, naumizwa Kila siku, na ninamsaidia mtu yeye hadi family yake nawajali pia?! Nashangaa nafungua ukurasa huu nakuta mtu anazungumzia tatizo kama langu

Pole sana Eva. Kuwa mvumilivu. Kwasasa jitahidi ku-concentrate kwenye mambo yanayokujena wewe zaidi kiuchumi, personally and professionally. Vitu vingine kama mapunzi will eventually unfold spontaneously.

venuss na Eva lymo tambueni kuwa Mungu anasababu zake. Siajabu kwa hayo yanayo kutokea anakuepusha na manyang'au ambayo yangekuumiza vibaya huko mbeleni. When it could be too late!!
 
Pole sana, usikate tamaa naamini yupo mwanaume ambaye aliumbwa kwa ajili yako. Muombe Mungu sana atakusaidia
 
Kuna busara kubwa sana na mafanikio kwenye ulimwengu wa SUBIRA........
Kuna matukio yanatokea kila siku katika safari yetu ya mafanikio au kuelekea kwenye furaha za maisha yetu.........yale magumu tunayokumbana nayo katika nyakati za maisha yetu yanatujia kama funzo na maonyo......
Hatupaswi kunungunika na hayo wala kulalamika na hayo bali tunachopaswa kufanya ni kujifunzia kupitia hayo magumu....ili yasije tena yakajirudia kwenye maisha yetu.......

Wale tuliokuwa tunahisi kuwa tunawapenda na baadae wakatukimbia na kutuachia maumivu mioyoni mwetu....hatupaswi kumwaga machozi kwa vilio au kudhoofika kwa mawazo bali tunatakiwa kushangilia na kumshukuru muumba baba mwenye upendo kwa kutuondolea watu hao kwenye maisha yetu......kwani mahungu yake ni makubwa zaidi kama wangeendelea kuwa karibu yetu.......

Kila mwenye subira daima hujaaliwa kheri mbele yake.....sio kila muda mambo yanaweza kuwa kama vile tunavyoyatazamia......lakini hiyo haitufanyi tukose raha.... Tunatakiwa kuwa wavumilivu na kuwa imara katika nyakati hizo ngumu na mwisho wake utakuwa ni wenye furaha.......
 
Kwanza mashahidi wanaenda jumba la ufalme zaidi ya mara nne kwa week...

Halafu zile "amkeni" na "mnara wa mlinzi" unazipamba chumbani kwako mpaka ukutani

Kila siku una assignment ya kutafakari mistari kadhaa ya biblia hamu na muda wa kugegeda utapatia wapi?
teh teh teh aise ww mdau umemaliza kila kitu hakutakua na hamu ya kugegedana hapo
 
Back
Top Bottom