Why me? Kila mahusiano napitia magumu

Why me? Kila mahusiano napitia magumu

Us
umeshaambiwa wanaoana wenyewe kwa wenyewe..hawataki mtu anayetoka dhehebu lingine bdo tu utaendelea kulazimisha?ki hali ya kibinadamu utalazimika ukubali japo inauma

correction...sio sheria bali wanapendekeza kuwa ni bora uoe katika bwana...meaaning ni better watu mkiwa na imani ile ile. hii ipo ata katika dini zingine.
 
kuwa mpole,yupo anakuja,ila hafanani na unavyomfikiria! Lakini huyo ndie furaha yako.tatizo ni kwamba unaweza Usimwamini,pengine hata usimzikilize!
Mshirikishe Mungu utamjua,na utampata.kwa sababu yupo!
Nawe uwe tayari kubadilika(kumsikiliza).
 
ni kweli kaka hii yote ni katika kukufanya wewe kila mara una kuwa na 'afya nzuri ya kiroho'. sasa ukumbuke tuu kwamba kuna muda mtu anaweza tetereka na uzuri wa hawa jamaa bwana wewe ukikiri kosa lako utapewa karipio mambo yanaendelea kwa uwa wanajua kuwa mwanadamu sio mkamilifu.

kaka lakini suala la muda utaupata wapi...let me ask u, clinton ruler of the world na ubusy wake wote mbona alipata muda wakumgegeda monica? kaka once umeshaingiza akili ya kugegeda bado tuu utagegeda mwanawane...shetai atakupa akili ya kuupata huo muda hahahahah
wewe jamaa ngoja mashahidi waone haya maandiko yako

watasema unahitaji chakula kingi sana cha roho wao na masuala ya mgegedo agrrrr
 
kuwa mpole,yupo anakuja,ila hafanani na unavyomfikiria! Lakini huyo ndie furaha yako.tatizo ni kwamba unaweza Usimwamini,pengine hata usimzikilize!
Mshirikishe Mungu utamjua,na utampata.kwa sababu yupo!
Nawe uwe tayari kubadilika(kumsikiliza).
Asante kwa ushauri
 
Siwazii sana ila naumia na nnayopitia. Am 27
Olright, don't give a lot at the beginning kuhusu uhusiano.

Ni ngumu sana kujua yaliyomo moyoni na kichwani kwa mwenzako
 
Us
umeshaambiwa wanaoana wenyewe kwa wenyewe..hawataki mtu anayetoka dhehebu lingine bdo tu utaendelea kulazimisha?ki hali ya kibinadamu utalazimika ukubali japo inauma
Pole mti wa ajabu nilidhani ukijiunga nao na wewe unakua shahidi hapo hapo ukafunga ndoa yako humo!
 
1467566815461.jpg
 
Asante... Ila kama mwanamke napenda sana kujua nn wajibu wangu ni mm
no-when-to-talk.jpg

ukimya unasaidia sana ukiwa kama mwanamke jifunze kuwa mkimya ila simaanishi unune au ulazimishe kuwa kimya..bali usiwe mpayukaji sana....
hispanic-couple-playing-video-game.jpg

shirikiana na mpenzi wako kufanya kazi mbali mbali kama akifua kafue nae akipika pika pamoja nae...jifunze kukaa na mpenzi wako
talk-during-sex.jpg

jifunze lugha za mapenzi wakati wa kungonoka hakikisha sauti inabadilika ila usiigize sana mpaka jamaa akaona unamuibia...ukikaaa kimya anahisi kama hufurahii tendo
woman-texting-09.jpg

hakikisha huchelewi kujibu msg anazokutumia mpenzi wako maana ukichelewa kumjibu atawaza mengi sana ikiwemo pengine muda huo upo sehemu unamsaliti...
Learn-how-to-dress.jpg

hakuna kitu kinachotuchanganya sana wavulana kama mavazi ya kuvutia hivyo hakikisha unajifunza kuvaa najua unajua kuvaa ila hakikisha unavaa nguo zinazo kaa mwilini mwako vizuri hakikisha unapendeza hadi achanganyikiwe....ni mada pana sana ila jifunze kudhibiti hasira zako pia maana wanaume wengi tunapenda amani si wanaume tuu ata wewe pia najua unapenda sana amani..
 
correction...sio sheria bali wanapendekeza kuwa ni bora uoe katika bwana...meaaning ni better watu mkiwa na imani ile ile. hii ipo ata katika dini zingine.
Ok lakini sifikiri kama ni sahihi kwa sababu wote imani yetu ni ile ile haileti maana kubaguana..ila nilijifunza kitu,thank for ur cllctn mpendw
 
POLE sana unajua wavulana kuna vitu vingi tunapenda kutoka kwa wasichana ikiwemo kujituma wakati wa tendo la ndoa...si maanishi kuwa ufanye tendo la ndoa kabla ya ndoa hapana ila kutokana na utandawazi na mabadiliko nchi....vijana wengi tunajikuta tukishindwa kudhibiti tamaa za mwili hivyo tunajihusisha na ngono kabla ya ndoa hivyo ukiamua kufanya tambua kuwa sisi wavulana asilimia kubwa vichwa vyetu vya chini vinasumbua sana hivyo ili kutukamata unatakiwa uwe makini kwenye tendo la ngono, hakikisha unakuwa msafi {ni bora kuoga kila baada ya tendo la ngono} jitume haswa kitandani onyesha ushirikiano wa hali ya juu badhi ya wasichana huwa mnajisahau sana unakuta jamaa anakukuruka wewe umetulia kama gogo kaa ukijua mapenzi yamebebwa sana na tendo la ngono {usishangae ninavyoliita ngono maana huwa tendo la ndoa baada ya kuona } kama anataka kunyonywa bamia yake hakikisha unainyonya mpaka inatoa mrenda kwenye mapenzi hakuna uchafu. epuka ugomvi na lugha za karaha, jifunze kujishusha even if mwanaume ndie mwenye makosa, kuwa muwazi na mjenge mpenzi wako awe muwazi kwako...kaa ukijua kuwa mwanzo wa ugomvi ni kulazimisha mtu kitu ambacho yeye hataki kufanya hivyo epuka kumlazimisha mpenzi wako kufanya jambo lolote ambalo unahisi atakuwa hapendi kufanya...jambo la muhimu kabisa kuliko hayo hapo juu ni KUMRUDIA MUNGU WAKO jifunze kutoa sadaka yakabidhi mahusiano yako kwa MUNGU fanya ibada kama siku zako za kuishi zinakaribia kuisha...ukifanya hayo hapo juu ukiachika usipende tena labda wewe hujaandikiwa kupendwa

Generally, huu ni ushauri mzuri sana.
 
wewe jamaa ngoja mashahidi waone haya maandiko yako

watasema unahitaji chakula kingi sana cha roho wao na masuala ya mgegedo agrrrr

hahahah wewe mimi mama yangu ni witness na mie nimesoma na witness' kile kitabu chao cha "knowledge that leads to ever lasting life" though sijawa witness mwenyewe.

make no mistake mimi nawakubali sana hawa jamaa katika kuchambua bible and jinsi wanavyoendesha maisha yao kulingana na maandiko. yes it goes without saying kuna badhi ya mambo naona hayaingii akilini kwa mfano ili kuto kufanya blood transfusion, ile suala la "watiwa mafuta" pekee kwenda mbinguni
 
Poleh sn
omba Mungu afutilie mbali roho ya kukataliwa na maagano yyt ktk ulimwengu wa roho
Kuna vitu km jini mahaba nk
U may also consider kwenda kwa mtaalamu kusafisha nyota nk..
 
no-when-to-talk.jpg

ukimya unasaidia sana ukiwa kama mwanamke jifunze kuwa mkimya ila simaanishi unune au ulazimishe kuwa kimya..bali usiwe mpayukaji sana....
hispanic-couple-playing-video-game.jpg

shirikiana na mpenzi wako kufanya kazi mbali mbali kama akifua kafue nae akipika pika pamoja nae...jifunze kukaa na mpenzi wako
talk-during-sex.jpg

jifunze lugha za mapenzi wakati wa kungonoka hakikisha sauti inabadilika ila usiigize sana mpaka jamaa akaona unamuibia...ukikaaa kimya anahisi kama hufurahii tendo
woman-texting-09.jpg

hakikisha huchelewi kujibu msg anazokutumia mpenzi wako maana ukichelewa kumjibu atawaza mengi sana ikiwemo pengine muda huo upo sehemu unamsaliti...
Learn-how-to-dress.jpg

hakuna kitu kinachotuchanganya sana wavulana kama mavazi ya kuvutia hivyo hakikisha unajifunza kuvaa najua unajua kuvaa ila hakikisha unavaa nguo zinazo kaa mwilini mwako vizuri hakikisha unapendeza hadi achanganyikiwe....ni mada pana sana ila jifunze kudhibiti hasira zako pia maana wanaume wengi tunapenda amani si wanaume tuu ata wewe pia najua unapenda sana amani..
Asante
 
Ok lakini sifikiri kama ni sahihi kwa sababu wote imani yetu ni ile ile haileti maana kubaguana..ila nilijifunza kitu,thank for ur cllctn mpendw

hapo ndio tofauti ilipo kuwepo. wao uamini kuwa imani ni tofauti ata kama wote ni wakristo na ni kweli kwa sababu madhehebu yapo tofauti.

tunaweza wote tukawa wakristo lakini madhehebu yetu yana tenents tofauti.

kwa mfano...witness hawaamini katika ziwa la moto, where as other chroistians wanaamini hivyo
witness hawaamini katika blood transfussion na wana kadi zao kabisa kuwa hawatakiwi kufanyiwa transfussion even if it means atapoteza maisha yake.
 
Back
Top Bottom