Umekuza ID yako kijanja mkuu
hahah haswa kwa wale wanaochunguliaga!!! [sio memba]Was it down!??
hahah haswa kwa wale wanaochunguliaga!!! [sio memba]
Asante... Samahani hayo maswali siwezi nikayajibu kwenye publicKwanza pole sana pili...nitakuuliza maswali haya naomba unijibu,,
- Wewe unakipato kiasi gani??
- Wewe ni kabila gani??
- Wewe unaurembo kiasi gani pamoja na rangi ya mwili wako??
- Unamagroup gani katika maisha yako??
- Hili ngoja niliache kwanza utaniuliza baadae...
mi ni kama nimejoin today.what about kwako!??
mi ni kama nimejoin today.
Dirisha dogo huwa linafungwa umri gani?Kumbuka bado miaka 3 dirisha dogo la usajili lifungwe sijui nani atakae jitokeza kuja kumuoa!
Wish i had the right words to say..ninashindwa.
Just be patient..it is never late! Don't rush your blessings.
Wish i had the right words to say..ninashindwa.
Just be patient..it is never late! Don't rush your blessings.
Asante nimekuelewaPole kwa changamoto unazokumbana nazo. Nadhani tatizo linaanzia kwako wewe mwenyewe, inaonekana hujiamini, hujitambui na hujui unataka nini kwenye mahusiano, unatoa zaidi kwenye mahusiano, kama fadhila, ili iwe kigezo kwamba upendwe na ukiachwa ionekane kwamba unaonewa. Kaa ujiulize unataka nini kwenye mahusiano na utambue kwamba sio kila mwanaume anayekujia, na kukuambia maneno matamu ni sahihi kwako. Ukishajitambua unataka nini kwenye mahusiano, hakikisha kwamba unatoka tu na mwanaume anayeonekana kwamba anaweza kukidhi vigezo na matarajio yako. Wanaume wengi wanaotoka na wewe, wanajua exactly wanachotaka kwako, na ndio maana wakishapata wanachotaka wanaondoka na kukuacha wewe kwenye mataa. Ukifuatwa na mwanaume ambaye unaona kila dalili kwamba hakidhi vigezo vyako, na ni wazi kwamba hatakidhi matarajio yako, usipoteze muda achana naye haraka sana. Usiingie kwenye mahusiano kwa kuwaonea kwa wanaume huruma, au kwa kutoa fadhila, ingia kwenye mahusiano kwasababu matarajio yako yanatimizwa, kama hayatimizwi kimbia haraka sana.
Hahaha kudadeki,hapa ndo mtu unapomwelewa Lara1 anaposema ndoa ni taasisi yenye unafiki wa hali ya juuNgoja nikwambie kitu. ...ndoa huja baada ya kukata tamaa.
Hapa namaanisha ukishajua huwezi kumpata "mme wa fikra zako" utaamua kuolewa na mume aliyeko and vice versa.
1.Umri ukisogea utalijua hili.
2 . Ndoa nyingi kasha tupu..watu wanaishi sababu walishazaa watoto but hamna mapenzi ni kuvumiliana tu.
GET MARRIED ANY WAY
Nafurahi kuona maandishi yako... Are you ok??