Designer_3434
JF-Expert Member
- Dec 4, 2015
- 4,930
- 3,982
Mimi mwenyewe natafuta mke, njoo kwangu tujenge family., njoo PM tuongee zaidi.
Habari za jumapili,
Kwa mara ya kwanza najitokeza kuomba ushauri kwa hichi kinachonisumbua kila siku, jinsia yangu mimi ni ke, lakini katika haya maisha ya mahusiano nimekua nikipitia magumu hadi najihisi labda mimi niko tofauti...
Nimejaribu kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi lakini hakuna hata uhusiano mmoja ambao unanileta positive impacts ingawa kila mwanaume ninaekutana nae hua anaonyesha kuvutiwa na mimi in all aspects (kitabia, upole, heshima) na mambo mengine, but at the end of the day naishia kuumia...
Na kwa bahati mbaya zaidi wote kimaisha wanakua wako chini lakini huwa najitahidi kutoa support hadi mtu anafikia mafanikio, ila akishafanikiwa kama ni gari atapanda mwingine na mimi naishia kuachwa...
Na ikitokea nimempata ambaye yuko well organized anakuwa anaonyesha hana imani na anahisi nimempenda sababu ya vitu ingawa sio kweli kabisa najikuta naishia tu kuumia na kitu kingine kinachoniumiza zaidi wakishaachana na mimi baada ya mda wanaanza kunisumbua na kudai I was a right person na hii hutokea kwa wote...Hichi kitu kinaniumiza, mbaya zaidi hata kama mtu kaoa still anakuwa maswala yake ya maisha atahitaji mimi nimshauri...
Naumia sana ndugu zangu natoa machozi kila siku, natamani ifike siku Mungu anione na mimi nimpate atakae tambua nafasi yangu kuna mda natamani nizae tu mtoto nisahau habari za ndoa lakini naona nitakuwa naidanganya nafsi yangu kuishi maisha ambayo sikuwahi yawaza...
Naamini humu kuna wetu wengi wenye busara watanisaidia kiushauri nini cha kufanya, naogopa sana kukata tamaa lakini najiona ndiko ninakoelekea...
Kama nitakua nmeandika vibaya am sorry...
Karibuni!
Ha Ha Ha [emoji3] [emoji2] [emoji3] [emoji2] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji3]Jaribu wanaume ambao ni "Mashahidi wa Yehova"
Hawajui kutenda msichana hawa hata uweje!
Debrief me somehowSometimes uwe unajaribu na maombi aiseee.
Isije kuwa wajanja wa dunia hii washakuona una nyota nzuri wakawa washafanya yao.
Vifungo vipo , tena vibaya sana.
Kuna mchezo siku hizi wa kuchafua uso wa mtu, omba hio isiwe ndio uliyofanyiwa.
Omba sana Mungu aiseee, kama huwezi tafuta mtu akusaidie katika hilo.
Dah pole sana! Ila jaribu na kwangu huenda uka enjoy na ukasahau yote hayo! I promis u!Habari za jumapili,
Kwa mara ya kwanza najitokeza kuomba ushauri kwa hichi kinachonisumbua kila siku, jinsia yangu mimi ni ke, lakini katika haya maisha ya mahusiano nimekua nikipitia magumu hadi najihisi labda mimi niko tofauti...
Nimejaribu kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi lakini hakuna hata uhusiano mmoja ambao unanileta positive impacts ingawa kila mwanaume ninaekutana nae hua anaonyesha kuvutiwa na mimi in all aspects (kitabia, upole, heshima) na mambo mengine, but at the end of the day naishia kuumia...
Na kwa bahati mbaya zaidi wote kimaisha wanakua wako chini lakini huwa najitahidi kutoa support hadi mtu anafikia mafanikio, ila akishafanikiwa kama ni gari atapanda mwingine na mimi naishia kuachwa...
Na ikitokea nimempata ambaye yuko well organized anakuwa anaonyesha hana imani na anahisi nimempenda sababu ya vitu ingawa sio kweli kabisa najikuta naishia tu kuumia na kitu kingine kinachoniumiza zaidi wakishaachana na mimi baada ya mda wanaanza kunisumbua na kudai I was a right person na hii hutokea kwa wote...Hichi kitu kinaniumiza, mbaya zaidi hata kama mtu kaoa still anakuwa maswala yake ya maisha atahitaji mimi nimshauri...
Naumia sana ndugu zangu natoa machozi kila siku, natamani ifike siku Mungu anione na mimi nimpate atakae tambua nafasi yangu kuna mda natamani nizae tu mtoto nisahau habari za ndoa lakini naona nitakuwa naidanganya nafsi yangu kuishi maisha ambayo sikuwahi yawaza...
Naamini humu kuna wetu wengi wenye busara watanisaidia kiushauri nini cha kufanya, naogopa sana kukata tamaa lakini najiona ndiko ninakoelekea...
Kama nitakua nmeandika vibaya am sorry...
Karibuni!
Habari za jumapili,
Kwa mara ya kwanza najitokeza kuomba ushauri kwa hichi kinachonisumbua kila siku, jinsia yangu mimi ni ke, lakini katika haya maisha ya mahusiano nimekua nikipitia magumu hadi najihisi labda mimi niko tofauti...
Nimejaribu kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi lakini hakuna hata uhusiano mmoja ambao unanileta positive impacts ingawa kila mwanaume ninaekutana nae hua anaonyesha kuvutiwa na mimi in all aspects (kitabia, upole, heshima) na mambo mengine, but at the end of the day naishia kuumia...
Na kwa bahati mbaya zaidi wote kimaisha wanakua wako chini lakini huwa najitahidi kutoa support hadi mtu anafikia mafanikio, ila akishafanikiwa kama ni gari atapanda mwingine na mimi naishia kuachwa...
Na ikitokea nimempata ambaye yuko well organized anakuwa anaonyesha hana imani na anahisi nimempenda sababu ya vitu ingawa sio kweli kabisa najikuta naishia tu kuumia na kitu kingine kinachoniumiza zaidi wakishaachana na mimi baada ya mda wanaanza kunisumbua na kudai I was a right person na hii hutokea kwa wote...Hichi kitu kinaniumiza, mbaya zaidi hata kama mtu kaoa still anakuwa maswala yake ya maisha atahitaji mimi nimshauri...
Naumia sana ndugu zangu natoa machozi kila siku, natamani ifike siku Mungu anione na mimi nimpate atakae tambua nafasi yangu kuna mda natamani nizae tu mtoto nisahau habari za ndoa lakini naona nitakuwa naidanganya nafsi yangu kuishi maisha ambayo sikuwahi yawaza...
Naamini humu kuna wetu wengi wenye busara watanisaidia kiushauri nini cha kufanya, naogopa sana kukata tamaa lakini najiona ndiko ninakoelekea...
Kama nitakua nmeandika vibaya am sorry...
Karibuni!
Kuna wimbo niliusikia kwenye ngoma za wapogoro wanasema "wabaya wanaolewaaa.... Wazuri wanabunguaaaa..." huenda ika-apply kwa huyu japo sina hakika sanamara nyingi wanawake wazuri huangukia mikono mibaya