Why me? Kila mahusiano napitia magumu

Why me? Kila mahusiano napitia magumu

Hauko peke yako . Kwa sasa jaribu kummtafuta Mungu zaidi na iko siku atakukumbuka. Usife moyo, najua inauma sana , kutoka na MTU chini ya maisha na ukammsaidia hadi akasimama halafu anakutelekeza inauma sana ila jipe moyo iko siku utakuja sahau yote haya. Elewa hauko peke yako
 
Ngoja nikwambie kitu. ...ndoa huja baada ya kukata tamaa.

Hapa namaanisha ukishajua huwezi kumpata "mme wa fikra zako" utaamua kuolewa na mume aliyeko and vice versa.

1.Umri ukisogea utalijua hili.
2 . Ndoa nyingi kasha tupu..watu wanaishi sababu walishazaa watoto but hamna mapenzi ni kuvumiliana tu.

GET MARRIED ANY WAY
 
Mahusiano uliyowahi kuwa nayo yalikuwa yanaishaje??..Uenda hapo kuna la kujifunza
 
Sijui nielezeje ila kwa njia ya kugombana haijawahi tokea... Kuna matukio tu yanatokea unaona hapa sitakiwi
 
Habari za jumapili,

Kwa mara ya kwanza najitokeza kuomba ushauri kwa hichi kinachonisumbua kila siku, jinsia yangu mimi ni ke, lakini katika haya maisha ya mahusiano nimekua nikipitia magumu hadi najihisi labda mimi niko tofauti...

Nimejaribu kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi lakini hakuna hata uhusiano mmoja ambao unanileta positive impacts ingawa kila mwanaume ninaekutana nae hua anaonyesha kuvutiwa na mimi in all aspects (kitabia, upole, heshima) na mambo mengine, but at the end of the day naishia kuumia...

Na kwa bahati mbaya zaidi wote kimaisha wanakua wako chini lakini huwa najitahidi kutoa support hadi mtu anafikia mafanikio, ila akishafanikiwa kama ni gari atapanda mwingine na mimi naishia kuachwa...

Na ikitokea nimempata ambaye yuko well organized anakuwa anaonyesha hana imani na anahisi nimempenda sababu ya vitu ingawa sio kweli kabisa najikuta naishia tu kuumia na kitu kingine kinachoniumiza zaidi wakishaachana na mimi baada ya mda wanaanza kunisumbua na kudai I was a right person na hii hutokea kwa wote...Hichi kitu kinaniumiza, mbaya zaidi hata kama mtu kaoa still anakuwa maswala yake ya maisha atahitaji mimi nimshauri...

Naumia sana ndugu zangu natoa machozi kila siku, natamani ifike siku Mungu anione na mimi nimpate atakae tambua nafasi yangu kuna mda natamani nizae tu mtoto nisahau habari za ndoa lakini naona nitakuwa naidanganya nafsi yangu kuishi maisha ambayo sikuwahi yawaza...

Naamini humu kuna wetu wengi wenye busara watanisaidia kiushauri nini cha kufanya, naogopa sana kukata tamaa lakini najiona ndiko ninakoelekea...

Kama nitakua nmeandika vibaya am sorry...

Karibuni!
Pole sana na usikate tamaa hurnda ukawa huna tatizo lolote ila imetokea tu kuwa hivyo cha msingi ni kumuomba Mungu akusaidie na utampata atakae kupenda kwa dhati na pia usikurupuke kuanzisha uhusiano mpya haraka.
 
Asante nimekuelewa
 
huna ahida kama unaamini tabia zako ni njema! tatizo walioko chini kiuchumi wakiinuka wakienda viwanja ndo hukumbuka wewe haukuwa type yake ukata ndo ulimfanya awe mawe! kigezo cha uchumi kiondoe hakimfanyi mtu akupense! watu wanachunwa wanamadeni hadi kanisani/misikitini kwakupigwa vizinga na bado wanawaoa hao hao hawa viumbe hakuhitaji hakuhitaji tu hata uwe na tabia za malaika zaidi tu utaota sugu
 
Asante.. Ila ata mimi sio kama niko vizuri kiuchumi hapana ila nna ile kitu once nnapokua kwenye relation hua napenda kumsupport mtu kwa namna yoyote ile ili kufikia malengo
 
utaumizwa mara mbili kiuchumi na kimoyooo kuwa makini! auppoet husband tu
 
kaka umeongea ukweli.... na uhalisia...

sio kwa mwanamke tu hata mwanaume..

haya mambo ya be patient ni mazuri....

ila siku zinavyosogea ndio unazidi kupunguza vigezo..

itafika kipindi utaolewa tu na yeyote atakaekuwa available...

ndoa nyingiza wachumba wanaoanza mahusiano 30s ni za desperation kwa pande zote me na ke..

sema uzuri wake zinakuwa na maturity sana hata kama love haipo

Ngoja nikwambie kitu. ...ndoa huja baada ya kukata tamaa.

Hapa namaanisha ukishajua huwezi kumpata "mme wa fikra zako" utaamua kuolewa na mume aliyeko and vice versa.

1.Umri ukisogea utalijua hili.
2 . Ndoa nyingi kasha tupu..watu wanaishi sababu walishazaa watoto but hamna mapenzi ni kuvumiliana tu.

GET MARRIED ANY WAY
 
tatizo lako
hutaki kuachilia kitu kipite
usishikilie kitu iwe fikra au matukio au chochote ambacho hakina maana wala thamani kwako (let t go)
jifunze kukaa chini kutafakari ,kujiongeza
mimi nani? nafanya nini? kwa wakati gani?
je hichi nnachokifanya kina maana?
kama hakina nifanyaje?
hakuna jibu zaidi ya kuacha kitu kisicho na maana kipite..
usilazimishe mfupa kwenye chungu, kitapasuka!!
.
cha kufanya kaa chini chagua maisha ambayo unataka kuishi, select watu ambao utaanza kuishi nao maisha yako mapya
badili namba ikibidi
yani jitahidi usiache hata alama ya maisha ya zamani...

naamini utaishi kwa amani maisha yote
ukikaa chini ukajiongeza kua unataka nini na uishije na ukakubaliana na hali halisi, ukaunda maisha yako kwa mfumo wako!!!
 
Sijui nielezeje ila kwa njia ya kugombana haijawahi tokea... Kuna matukio tu yanatokea unaona hapa sitakiwi
una shida yaweza kua hujijui tuu!!
au kwa kua una kipato una tendency ya kudharau wanaume?!!!
mwanaume bwana anapendwa kudekezwa,kunyenyekewa ht km wewee ndo msimamizi wa show zote!yaweza kua hlo nalo tatizo na kingine my dear usipende kuhonga honga raha ya mwanaume akuhonge!!
yani huo ndo uanamme kuànzia sasa usitoe ht mia yako best!
 
Habari za jumapili,

Kwa mara ya kwanza najitokeza kuomba ushauri kwa hichi kinachonisumbua kila siku, jinsia yangu mimi ni ke, lakini katika haya maisha ya mahusiano nimekua nikipitia magumu hadi najihisi labda mimi niko tofauti...

Nimejaribu kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi lakini hakuna hata uhusiano mmoja ambao unanileta positive impacts ingawa kila mwanaume ninaekutana nae hua anaonyesha kuvutiwa na mimi in all aspects (kitabia, upole, heshima) na mambo mengine, but at the end of the day naishia kuumia...

Na kwa bahati mbaya zaidi wote kimaisha wanakua wako chini lakini huwa najitahidi kutoa support hadi mtu anafikia mafanikio, ila akishafanikiwa kama ni gari atapanda mwingine na mimi naishia kuachwa...

Na ikitokea nimempata ambaye yuko well organized anakuwa anaonyesha hana imani na anahisi nimempenda sababu ya vitu ingawa sio kweli kabisa najikuta naishia tu kuumia na kitu kingine kinachoniumiza zaidi wakishaachana na mimi baada ya mda wanaanza kunisumbua na kudai I was a right person na hii hutokea kwa wote...Hichi kitu kinaniumiza, mbaya zaidi hata kama mtu kaoa still anakuwa maswala yake ya maisha atahitaji mimi nimshauri...

Naumia sana ndugu zangu natoa machozi kila siku, natamani ifike siku Mungu anione na mimi nimpate atakae tambua nafasi yangu kuna mda natamani nizae tu mtoto nisahau habari za ndoa lakini naona nitakuwa naidanganya nafsi yangu kuishi maisha ambayo sikuwahi yawaza...

Naamini humu kuna wetu wengi wenye busara watanisaidia kiushauri nini cha kufanya, naogopa sana kukata tamaa lakini najiona ndiko ninakoelekea...

Kama nitakua nmeandika vibaya am sorry...

Karibuni!
Mungu alikuumba kwa mfano wake ili uenjoy maisha na pole sana kwa unayopitia
 
una shida yaweza kua hujijui tuu!!
au kwa kua una kipato una tendency ya kudharau wanaume?!!!
mwanaume bwana anapendwa kudekezwa,kunyenyekewa ht km wewee ndo msimamizi wa show zote!yaweza kua hlo nalo tatizo na kingine my dear usipende kuhonga honga raha ya mwanaume akuhonge!!
yani huo ndo uanamme kuànzia sasa usitoe ht mia yako best!
Nimekuelewa ila kipato changu ni cha kawaida sana na sihongi ila kinachofanyika hua natoa ushirikiano kipindi cha kuzitafuta may be hili ndio tatizo langu
 
Back
Top Bottom