Why do i still miss him jamani

Why do i still miss him jamani

Kama bado unampenda mtafute umueleze, myamalize muanzae upya na Mungu atawabariki. Ukishindwa wewe mwenyewe nipo tayari kumfikishia ujumbe au kufanya upelelezi kujua kama nayeye huwa anakuwazia au la ili uchukue hatua kabla giza halijaingia. Hakuna kitu kizuri kwa watoto kama kulelewa na wazazi wote wawili na kuonyeshwa upendo kutoka kwa wazazi.
Ngoja nijifirie ntakupm namba yangu
 
It may likely be a manifestation from the Stockholm Syndrome.

Pata ushauri nasaha
 
Hili suala la 'damu yake' au 'damu yangu' huwa silielewi.

Ni wapi wamechanganya hizo damu? Owkay, hata kama wamechanganya, mtu anawezaje kumkataa mtoto afu akamrefer as 'damu yake'

Huyu dada anapitia 'relapse' ya break up tu, labda hajakunwa siku nyingi, ule upweke unafanya akumbuke anachokijua.
Walaaa
 
Weakness yako iko kichwani zaidi, yaani ale ujana huko weee afu akichoka ndio akurudie wewe unamsubiri tu?

Umepungukiwa nini kwani, as a woman?
Nothing at all i have kila kitu he is just moyoni
 
mimi ni mgeni in JF, but ninachoweza shauri ni kuwa its always had to break love attachments, huyo mtoto mtakuja msumbua kisaikolojia huko mbele, so think about this too. its not about you parents, its about the child.
 
trust me, utamsahau kimapenzi, ila sababu mna mtoto mtabaki kama kaka/dada au walezi

Kama una roho ngumu, tafuta short term below standard ili uwe busy. Au invest muda wako kwenye biashara zako.

Vinginevyo, time heals.
Umenena. Lakini pia akimpata mwingine wa mapenzi ya kweli anaweza ajute kwa nini alipoteza muda wake kwa huyo
 
This's the time to concentrate 100% on yourself, and your baby, the time you spend thinking about him, spend it on YOU!
Go to a Spa, saloon, shoppin, FOR YOURSELF!, try and exercise (this's the best way to take away stress)
Basically, TAKE THE BEST CARE OF YOURSELF!
And then see, you' ll start smiling more and thus attract others to you, when you look good with a Happy, attractive face who knows, you might attract some descent man out there. But all in all, take one day at a time, time heals. He's going to regret.
 
pole na maumivu. Okoka utasahau yote..
 
if u still see each other utashindwa kumsahau ila kama hamuonani tena kakuachia mtoto with time utamsahau,listen to your heart
 
Nothing at all i have kila kitu he is just moyoni

mamie donot stress yourself ukute yeye huko kashakusahau na ana mwingine infact after all he has done to you yeye ndie anatakiwa kukutafuta wewe sio wewe umtafute yeye, keep yourself busy the problem is sisi KE huwa tunapendaga kweli tofauti na hawa ME,trust me ukiamua kumsahau utamsahau
 
Labda alikukong'ori kisawasawa. Ntafuta mkong'otaji mwingine

Bolshevick from the Red Army
 
I managed to move on with my life na mtoto wangu, so far we are doing good even without him.

Nilifikiri sitaweza ila na mshukuru mungu nimeweza na nina furaha mtoto mtamu kweli.

Sina msaada wowote toka kwake ni mimi peke yangu na mwanangu na biashara zangu zinazo niwezesha kwa kiasi fulani.

Ila kwa mambo yote aliyo nitendea all the insults mtoto alivyozaliwa, all the pain he caused me i still miss him and i think i still love him.

Nashindwa kuelewa is it a matter of time it will pass kama mengine yalivyopita au nitakua hivi milele loving him and missing him, nitaweza kweli kumsahau completely no missing him no loving him.

Wewe utakuwa unasumbuliwa na UH++ tu. Tafuta jamaa/njemba wa kukutoa hiyo UH++ you will completely forget him and you will never miss him again. You're enduring 4 seasons of loneliness (Boyz Two Men)
 
I managed to move on with my life na mtoto wangu, so far we are doing good even without him.

Nilifikiri sitaweza ila na mshukuru mungu nimeweza na nina furaha mtoto mtamu kweli.

Sina msaada wowote toka kwake ni mimi peke yangu na mwanangu na biashara zangu zinazo niwezesha kwa kiasi fulani.

Ila kwa mambo yote aliyo nitendea all the insults mtoto alivyozaliwa, all the pain he caused me i still miss him and i think i still love him.

Nashindwa kuelewa is it a matter of time it will pass kama mengine yalivyopita au nitakua hivi milele loving him and missing him, nitaweza kweli kumsahau completely no missing him no loving him.

we unasumbuliwa na genye.. sio kummiss jamaa.. kama unabisha toa papuchi ikasuguliwe vema na kukojozwa ipasavyo km utammiss kwakipindi kifupi baadae..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom