Why do i still miss him jamani

Why do i still miss him jamani

Story of my life..we r in a similar situation

madhara ya kulazimishia mimba ili muolewe. wengine bado wanakula ujana. wakimaliza watawatafuta.!

singo parents wanaongezeka kwa kasi miaka hii.
 
^^
There are people in love, we can not easily erase them from our memories, no matter how hard we try.
To heal our feelings, we need to accept things we can not change.
^^
 
Mashallah mungu akuzidishie moyo huo huo,na wish ningekua na moyo kama wako,mie shosti ukinitenda ntakusamehe baada ya mda lakini staki hata kukujua tena uwe baba mtoto au baba mwenye nyumba............na nnajaribu kukuepuka na hata ile sehemu nilokua naenda na wewe pia nakuachia wewe.......
 
I managed to move on with my life na mtoto wangu, so far we are doing good even without him.

Nilifikiri sitaweza ila na mshukuru mungu nimeweza na nina furaha mtoto mtamu kweli.

Sina msaada wowote toka kwake ni mimi peke yangu na mwanangu na biashara zangu zinazo niwezesha kwa kiasi fulani.

Ila kwa mambo yote aliyo nitendea all the insults mtoto alivyozaliwa, all the pain he caused me i still miss him and i think i still love him.

Nashindwa kuelewa is it a matter of time it will pass kama mengine yalivyopita au nitakua hivi milele loving him and missing him, nitaweza kweli kumsahau completely no missing him no loving him.

pole sana bibie ulishawahi kumcheat kabla.ya huyo mtoto, may be anakulipizia
 
Baadae utazoea mpendwa bahati nzuri mungu alitupa kusahau

Utakuja muona kama mtu wa kawaida kabisa
 
Pole sana, japo Nina swali, ni mda gani hauko nae? Kama just a month or weeks nina imani utasahau sababu bado yuko taswira haijakupotea may be, bt kama ni almost a year pse turn to him , nikimanisha he is the only man of your life God made for you.
 
I managed to move on with my life na mtoto wangu, so far we are doing good even without him.

Nilifikiri sitaweza ila na mshukuru mungu nimeweza na nina furaha mtoto mtamu kweli.

Sina msaada wowote toka kwake ni mimi peke yangu na mwanangu na biashara zangu zinazo niwezesha kwa kiasi fulani.

Ila kwa mambo yote aliyo nitendea all the insults mtoto alivyozaliwa, all the pain he caused me i still miss him and i think i still love him.

Nashindwa kuelewa is it a matter of time it will pass kama mengine yalivyopita au nitakua hivi milele loving him and missing him, nitaweza kweli kumsahau completely no missing him no loving him.

kama utaendelea kuwa single mother basi utaendelea kumkumbuka na kurudisha hisia za mapenz tena na akiwa anakuchek cheki mara moja moja ndo itakuwa rahsi kum-miss ingawa alikukwaza sana..... ila kama ukijaribu kumpata mwengine a-replace nafas ya jamaa then haitakuwa milele....
 
Najaribu kujichanganya na watu but still namkumbuka and mtoto wangu bado mdogo mda mwingi i prefer to spend with mtoto

yeah its good kuwa karibu na mtoto, and this guy.. u may be missing him, but does he misses you? mara nyingi mwanaume akijua ex wake amemkumbuka huwa anazidi kumpotezea maradufu so dont you let him find out.. kama kuna makundi ya single mothers hapa Tz ingekua vizuri ujiunge nao ili wakupe life experience na wao waliweza kupambana vipi na vikwazo wakiwa single parents, pengine kuna wenye masaibu kuliko ya kwako.
endelea kuji mix na watu pipo, u never know, the right man might be around the corner
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom