LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 15,168
- 27,209
Wataalamu wa mambo wanasema ' Words are more powerful than blood" Ndio maana if your biological father decree and declare that ' from now Ur no longer his son then you become as good as a stranger to him".
Nakumbuka Kuna Jamaa alikuwa disowned na Baba ake mzazi way back in 2001.
NI hivi Jamaa alikuwa ndio Kwanza kamaliza form six anasubiri majibu. Familia yao ikatembelewa na dada mdogo wa Baba wa familia. " Shangazi". Huyo Shangazi alikuwa mdogo kiumri Kwa Jamaa. I think ni zile ishu za wazee wa zamani kuoa wanawake wengi, mtoto wa kwanza anazaliwa mwaka 1950 mtoto wa Mwisho anazaliwa mwaka 1993.
So Jamaa akaanza kupitia na Shangazi yake mwisho wa siku Shangazi akapata ujauzito.
Kofi la Kwanza Kofi la pili akamtaja Jamaa ndio mhusika WA ujauzito . Baba MTU nusura azirai.
Fast foward mhusika wa ujauzito katika kuzurula anamkuta Mshua yupo sebuleni.
Mtoto : Mzee shikamoo.
Dingi: Marahaba shemeji hujambo?
Mtoto : " Butwaa".
Dingi: Vipi shemeji mbona unashanga?
Kabla Jamaa hajajibu dingi akaanza kufunguka " Kweli wewe kijana nimekusomesha kuanzia la kwanza mpaka kidato cha sita ( tena english medium ) halafu eo una diriki kutembea na dada yangu ambae tumeshare wote baba mmoja!!! Kweli!!! Kijana wa miaka 20 hujui shangazi ni nani kwako mpaka unatembea nae? "
Kwa kuwa umetembea na dada angu basi kuanzia leo wewe sio mwanangu tena. Wewe NI shemeji yangu..
Mwisho wa siku:
Dingi hakumpeleka Chuo. Jamaa alifukuzwa kwao. Kwa ufupi maisha yake yaliharibika.
Personally mwaka 2016 I disowned my own biological brother.
Yeye ndio. kaniachia ziwa.
At the time he was 34 years old.
A Engineer Graduate.
Pombe Kali na bangi ndio life style yake.
SABABU YA KUM DISOWN
Mwaka Huo watoto WANGU wawili WA kiume walienda Kwa Bi mkubwa wangu kutembea (walipewa ofcourse)
Their age
1 was four years old.
The other one was 2 years old.
He took them to a place where he used to drink " pombe Kali " with his cohorts.
Akawanywesha konyagi.. Glass moja. Though watoto wanasema walitema ila aliwalazimisha wakanywa
.
Alivyo Rudi nao nyumbani watoto walikua wanajisikia vibaya Sana. Walivyo kaa vizuri wakasema " uncle katunywesha pombe" Pombe gani? Ile IPO kama maji ".
Alipo ulizwa kwanini umefanya hivyo akasema ' haaa ni rafiki zangu wajinga".
Bi mkubwa alinificha Kwa sababu nahisi alijua kama ningejua siku hiyo Leo hii Jamaa angelikuwa futi Sita Chini ya ardhi
Nilikuja kufahamu baada ya wiki mbili baada ya watoto kurudi likizo kutoka Kwa Bibi. Watoto walishitakia kwangu.
To cut story short: Nilitaka kumuweka ndani but baada ya kufikiria kuhusu usumbufu nitakao upata nikapotezea ishu ya kumuweka ndani.
Instead Nika m dis own officially. He tried to reconcile with me several times but nilisha fanya maamuzi tayari.
My own brother you do this kind of a thing to my sons who are still toddlers?!!!
Unataka kuniharibia watoto WANGU?
WHAT ABOUT YOU? SHARE UR EXPERIENCE