Why did you disown your brother/ Ni sababu ipi iliyokufanya uvunje undugu na Kaka yako wa tumbo moja?

We bado mtoto kiumri. Bado hujafikia umri wa kuwa na roho ngumu / kufanya maamuzi magumu.

Kuna Bwana mdogo mmoja alikuwa kama wewe Hadi siku alipo gundua Pacha wake analiwa tena wazi wazi.

Alifanya maamuzi magumu. Alivunja UNDUGU na Pacha wake.

Wewe inavyo onekana hata MTU kama delicious angekuwa ndugu yako WA TUMBO MOJA still unge endelea Ku mclaim as Ur brother.

Unasema unge mfunga duh.. me nilifikiri ungesema at least na wewe ungemtumia wahuni wamlawiti au unge mpoteza Ur talking about kumfunga ndugu yako wa tumbo moja alie mlawiti mtoto wako WA kiume.

Mkuu u got a very pretty heart
Its hard kuwa katika viatu vyako mana wewe ndo baba pia unauchungu na wanao. I respect that......

Ila umefanya mangapi na hakuna alie ku dis-own? Do you wan say kuwa hukosea?

As long as you making mistakes then your guilt and thats prove no one is perfect no matter what

Shit happens, some relatives are too stupid enough to disown them, however, thats not the best thing to do at all, you should know how to handle yourself and take actions (I don't mean to disrespect you at all) but you need to reconsider your options

Sisi waislamu tunaamini katika dhambi mbaya na kubwa miongoni ni kuvunja undugu vivo hivyo katika jambo lenye kheri kubwa ni kuunga undugu
 
Ukishajua una ndugu pasua kichwa keep distance nao, mkutane kwa issues za msingi tuu, mzazi, anaumwa, misiba harusi, kama mshakua wakubwa kukaa kaa karibu sana matazinguana tuu, hasa kama walishaoa na kuolewa, hapo kila mtu anaanza kutengeneza mji wake..hutaepuka mambo mengi sana
 
Its hard kuwa katika viatu vyako mana wewe ndo baba pia unauchungu na wanao. I respect that......

Ila umefanya mangapi na hakuna alie ku dis-own? Do you wan say kuwa hukosea?

As long as you making mistakes then your guilt and thats prove no one is perfect no matter what

Shit happens, some relatives are too stupid enough to disown them, however, thats not the best thing to do at all, you should know how to handle yourself and take actions (I don't mean to disrespect you at all) but you need to reconsider your options

Sisi waislamu tunaamini katika dhambi mbaya na kubwa miongoni ni kuvunja undugu vivo hivyo katika jambo lenye kheri kubwa ni kuunga undugu
Hata kufanya zinaa ni dhambi kubwa Sana katika Uislamu
So unataka kuniambia waislamu wote hawafanyi zinàa? Tena wengine wanafanya mwezi WA Ramadhani

# Uislamu unasema " Muislamu nduguyo Muislamu" Hii maana yake ni kwamba ndugu yako akibadilisha dini na kuwa Mkristo anakuwa sio ndugu yako tena na kwenye nchi zinazo ongozwa Kwa Sharia anatakiwa kuuwawa kabisa.

# Katika Uislamu huo Huo tukafundishwa mtoto akizaliwa nje ya ndoa anakuwa sio mtoto wako, na kama NI mtoto wa kike basi inaruhusiwa hata kumchumbia na kumuoa kama MKE wako.
 
Vipi Kaka ako wa damu akitembea na binti yako?

Vipi akimlawiti Kijana wako?

Vipi aki wapa mchoro majambazi kuvamia nyumbani kwako na kupora Mali kuiba etc.?

Udugu ni kufaana sio kufanana.

Kama yeye amekuwa na roho ngumu kiasi cha kukufanyia unyama kwanini na wewe usivae na roho ngumu kidogo tu na kufanya uamuzi wa kum disown
Tunatofautiana uwezo wa kuhandle issues au niseme kiwango cha uvumilivu, hilo mosi lkn pia kuna baadhi ya tabia au matukio ambayo kibinadamu hayavumiliki kama haya uliyoorodhesha, mimi naungana na wewe ndugu likud japo nimeona wengi humu wamekupinga. Binafsi i disowned my brother alieniachia mimi wanasema way back 2017, sababu ni mfululuzo wa matukio ya kijinga aliyonifanyia huyo bwana. I really hate him and I don' wanna see him all over my life!
 
Ur the true son of Ur father.

Watu wanafki kweli. MTU anashangaa Mimi kumdisown khanithi alie taka kuuwa watoto wangu. Akisikia kuhusu ndugu zetu wahaya " Ana.mdisown Kaka ake WA damu Kwa sababu Kaka ake anafanya kazi ya kusukuma mkokoteni😁😁😁😁

Anyways mkuu hebu tupe kidogo visa vya brother wako japo Kwa ufupi
 
Haya mambo ya ndugu kwa ninayopitia Mungu anisaidie sometime unakufuru kwanini Mungu alileta katika familia hii but no way ndio imekuwa hivyo kuwa ni mvumilivu tu.
Hayo yako ni madogo cc. LIKUD.
 
Haya mambo ya ndugu kwa ninayopitia Mungu anisaidie sometime unakufuru kwanini Mungu alileta katika familia hii but no way ndio imekuwa hivyo kuwa ni mvumilivu tu.
Hayo yako ni madogo cc. Liquid.
Tupe na ya kwako Kaka tutoe maoni yetu.

But mi naamini kitu kimoja. Mungu amenileta duniani kuishi na kufurahia maisha yangu to the fullest. Hakuna kitu au mtu yotote Yule mwenye haki ya kuondoa furaha yangu hata kama awe Nani kwangu.

Nimejiwekea mipaka ambayo ninailinda na kuiheshimu. Siwezi ruhusu MTU YOYOTE avuke mipaka hiyo.
 
Akili za kitoto hizi.

Subiri ukue kue kidogo.

Inaonekana wewe hata brother ako akimlawiti mtoto wako WA kiume u will still love him Kwa sababu ya KIJINGA eti " nimezaliwa nae tumbo moja".

Utoto Raha sana

Anahitaji mafunzo kwa lugha nzuri si lugha kali kiasi hicho
 
Forgive them but don't hang up with them. Nilisha msamehe but nilishafuta undugu tayari.

Ameanza kunywa pombe toka mwaka 99. Alikusudia . I know him. I had two options 1. To eliminate him 2. To disown him.

I chose the lesser evil.

And haombi msamaha Kwa kusema alikosea. Anasema hakufanya hivyo
sasa unasema ulimsamehe but umefuta undugu tayari ndio nini sasa,kusameheh kunakoongelewa hapa ni kwamba usamehe na undeleze undugu.biafsi yangu kitu unachokifanya wewe ni cha kipumbavu kweli ni kosa alilitenda na amisha kili na kuomba msamaha angakuwa ni Mama yako au Baba yako ungeendelea kufuta huo undugu??.

Kuna kaka yangu wa ukoo alienda na mwanae mdogo wa 3 yrs bar,tena siku hiyo kamunywesha konyagi wamerudi na katoto kamelewa vibaya mkwe wake kajua waligombezana jamaa akomba msamaha na maisha yakaendelea.
 
Hata kufanya zinaa ni dhambi kubwa Sana katika Uislamu
So unataka kuniambia waislamu wote hawafanyi zinàa? Tena wengine wanafanya mwezi WA Ramadhani

# Uislamu unasema " Muislamu nduguyo Muislamu" Hii maana yake ni kwamba ndugu yako akibadilisha dini na kuwa Mkristo anakuwa sio ndugu yako tena na kwenye nchi zinazo ongozwa Kwa Sharia anatakiwa kuuwawa kabisa.

# Katika Uislamu huo Huo tukafundishwa mtoto akizaliwa nje ya ndoa anakuwa sio mtoto wako, na kama NI mtoto wa kike basi inaruhusiwa hata kumchumbia na kumuoa kama MKE wako.
Maashaallah nahisi utakuwa muislam

Kama unafahamu hayo yote nadhani faida ya kuunga udugu utakuwa unafahamu vizuri na madhara ya kuvunja pia unayafahamu

Ujachelewa sana muda bado uko samehee maana dini yetu inatufundisha kusamehe, tutarajie mema na malipo Inshaallah
 
sasa unasema ulimsamehe but umefuta undugu tayari ndio nini sasa,kusameheh kunakoongelewa hapa ni kwamba usamehe na undeleze undugu.biafsi yangu kitu unachokifanya wewe ni cha kipumbavu kweli ni kosa alilitenda na amisha kili na kuomba msamaha angakuwa ni Mama yako au Baba yako ungeendelea kufuta huo undugu??.

Kuna kaka yangu wa ukoo alienda na mwanae mdogo wa 3 yrs bar,tena siku hiyo kamunywesha konyagi wamerudi na katoto kamelewa vibaya mkwe wake kajua waligombezana jamaa akomba msamaha na maisha yakaendelea.
U got a very pretty heart . I don't.
 
Ur the true son of Ur father.

Watu wanafki kweli. MTU anashangaa Mimi kumdisown khanithi alie taka kuuwa watoto wangu. Akisikia kuhusu ndugu zetu wahaya " Ana.mdisown Kaka ake WA damu Kwa sababu Kaka ake anafanya kazi ya kusukuma mkokoteni😁😁😁😁

Anyways mkuu hebu tupe kidogo visa vya brother wako japo Kwa ufupi
Mwaka 2009 nikiwa nimemaliza chuo nahangaikia ajira, alinisingizia jambo baya lililoamsha hasira za wazazi basi nikafukuzwa nyumbani sina cha nauli na sijui pa kuelekea, mwaka ukapita nikamsamehe na maisha yakaendelea japo si kwa kuomba msamaha...baada ya muda maisha yakiwa yamempiga, akanishirikisha kwenye biashara ambayo alidai anaifanya na kuwa ina faida ya kutosha.. tulikuwa tunaishi maeneo tofauti, basi akapendekeza niongeze mtaji..nikatoa mil 5 kumpa, taarifa niliyokuja kupata ni kuwa fedha hizo alikuwa anatanua kwa kuchoma nyama na kuhonga. Kwa kifupi alitengeneza mazingira ya kunitapeli.. Nilimsamehe si kwa kuomba msamaha na matukio mengine yakaendelea..
 
sasa unasema ulimsamehe but umefuta undugu tayari ndio nini sasa,kusameheh kunakoongelewa hapa ni kwamba usamehe na undeleze undugu.biafsi yangu kitu unachokifanya wewe ni cha kipumbavu kweli ni kosa alilitenda na amisha kili na kuomba msamaha angakuwa ni Mama yako au Baba yako ungeendelea kufuta huo undugu??.

Kuna kaka yangu wa ukoo alienda na mwanae mdogo wa 3 yrs bar,tena siku hiyo kamunywesha konyagi wamerudi na katoto kamelewa vibaya mkwe wake kajua waligombezana jamaa akomba msamaha na maisha yakaendelea.
Yes nimemsamehe Kwa maana ya kwamba sijamfungulia kesi mahakamani. Sija mpiga etc.

Forgive them but don't hang out with them.

Yeye nimemsamehe Lakini tukio sijalisamehe.

Every time I think about him I see the event replaying in my mind...

That was an attempted murder.

U don't want to hang out with killers if u really don't want to get caught

Even in the Bible it has written " Tawi lisilo zaa hukatwa"

Brotherhood does not determined by DNA. It is determined by responsibilities toward each others.

A brother who is not responsible to his brother is as good as a stranger.
 
Mwaka 2009 nikiwa nimemaliza chuo nahangaikia ajira, alinisingizia jambo baya lililoamsha hasira za wazazi basi nikafukuzwa nyumbani sina cha nauli na sijui pa kuelekea, mwaka ukapita nikamsamehe na maisha yakaendelea japo si kwa kuomba msamaha...baada ya muda maisha yakiwa yamempiga, akanishirikisha kwenye biashara ambayo alidai anaifanya na kuwa ina faida ya kutosha.. tulikuwa tunaishi maeneo tofauti, basi akapendekeza niongeze mtaji..nikatoa mil 5 kumpa, taarifa niliyokuja kupata ni kuwa fedha hizo alikuwa anatanua kwa kuchoma nyama na kuhonga. Kwa kifupi alitengeneza mazingira ya kunitapeli.. Nilimsamehe si kwa kuomba msamaha na matukio mengine yakaendelea..
Kweli huyo hafai. He is a thorn in the flesh.

U dont keep such a kind of a person as a brother.
 
Vipi Kaka ako wa damu akitembea na binti yako?

Vipi akimlawiti Kijana wako?

Vipi aki wapa mchoro majambazi kuvamia nyumbani kwako na kupora Mali kuiba etc.?

Udugu ni kufaana sio kufanana.

Kama yeye amekuwa na roho ngumu kiasi cha kukufanyia unyama kwanini na wewe usivae na roho ngumu kidogo tu na kufanya uamuzi wa kum disown
Undava undava.
 
Hata kufanya zinaa ni dhambi kubwa Sana katika Uislamu
So unataka kuniambia waislamu wote hawafanyi zinàa? Tena wengine wanafanya mwezi WA Ramadhani

# Uislamu unasema " Muislamu nduguyo Muislamu" Hii maana yake ni kwamba ndugu yako akibadilisha dini na kuwa Mkristo anakuwa sio ndugu yako tena na kwenye nchi zinazo ongozwa Kwa Sharia anatakiwa kuuwawa kabisa.

# Katika Uislamu huo Huo tukafundishwa mtoto akizaliwa nje ya ndoa anakuwa sio mtoto wako, na kama NI mtoto wa kike basi inaruhusiwa hata kumchumbia na kumuoa kama MKE wako.
Duh hatari,
Umuoe mwanao,?huo ni ugaidi
 
Back
Top Bottom