Binafsi nadhani niliumbwa kuwa single,maana nikijilinganisha na wenzangu aisee Nina nidhamu sana na kujali sana ninaokuwa nao ktk mahusiano lkn huishia kunitenda,wakati mijitu yenye tabia hovyo kabisa inaheshimiwa na kusikilizwa na wake zao,why me,nimeamua kukubali mm ni mwanaume niliyeumbwa kuwa single,labda sababu nilikuwa awali na ndoto za kuwa mtawa wa kiume,labda ile azma ndo inanitesa