Wht if?

cheichei01

Member
Jul 26, 2012
24
3
Habari wanajf, nimekua nikiangalia topics na mauni ya watu kwenye huu upande wa mahusiano na mapenzi issues n nyingi and pple comments on their on ways,,,so ingekua vp km ingekua tunaonana live,, ww mwanaJF ungetoa topics na maoni kama ambavo ushatoa?,,,,,ungetoa????
 
Kwangu mimi ningetoa. sina sababu za kujificha!
 
ningetoa ndio.....wengine tukikutana badala ya kuongea tunapractice kabisa........shida ipo wapi......?
 
Habari wanajf, nimekua nikiangalia topics na mauni ya watu kwenye huu upande wa mahusiano na mapenzi issues n nyingi and pple comments on their on ways,,,so ingekua vp km ingekua tunaonana live,, ww mwanaJF ungetoa topics na maoni kama ambavo ushatoa?,,,,,ungetoa????

Sina uhakika kama wengi ingekuwa hivi..
Nadhani kutoa ushauri ukiwa kwenye keyboard ni rahisi sana bro..
Nyuma ya hizi Avatarz kumefichika mengi..
 
Kwani kukutana humu JF haitoshi? Hebu acheni ukuda.. Wengine tuna vibiyongo wakati kwa mujibu wa JF tuna miseksi bodi.
 
Back
Top Bottom