MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 20,895
- 63,790
- Thread starter
- #21
Ndiyo maana nakupendaga sana, Uko na akili mingi kwelikweli, A name Wangari Maathai suits you well !Nadhan huyo dogo ni exptional!ana kipaji kikubwa sana sema wengi hawaelewi!
Mie mpaka leo nashangaa nandy anafikaje juu na huku anaimba flat sana!..nandy hakai bench moja na Rubby au Vanessa! Au Maua!
Nadhan connection ni kitu muhimu pia!
Naunga mkono hoja😊
Sasa ukisema hivi watakwambia wewe ni hater au promoter lakini yule mtoto ana kipaji kikubwa sana.!
Psss! Covid ishaisha jamani, unakuja lini kutoa mali sasa ?? 😁😁😁😁