Whozu ana kipaji kikubwa, akikazana na kujifunza atafika mbali sana

Nadhan huyo dogo ni exptional!ana kipaji kikubwa sana sema wengi hawaelewi!
Mie mpaka leo nashangaa nandy anafikaje juu na huku anaimba flat sana!..nandy hakai bench moja na Rubby au Vanessa! Au Maua!
Nadhan connection ni kitu muhimu pia!
Naunga mkono hoja😊
Ndiyo maana nakupendaga sana, Uko na akili mingi kwelikweli, A name Wangari Maathai suits you well !
Sasa ukisema hivi watakwambia wewe ni hater au promoter lakini yule mtoto ana kipaji kikubwa sana.!
Psss! Covid ishaisha jamani, unakuja lini kutoa mali sasa ?? 😁😁😁😁
 
Naunga mkono hoja
Nandy alifika pale alipo kwa mkono wa hayati mzee wa fursa
 
Ndiyo maana nakupendaga sana, Uko na akili mingi kwelikweli, A name Wangari Maathai suits you well !
Sasa ukisema hivi watakwambia wewe ni hater au promoter lakini yule mtoto ana kipaji kikubwa sana.!
Psss! Covid ishaisha jamani, unakuja lini kutoa mali sasa ?? 😁😁😁😁

Kuna siku nilitaka kukuuliza je nikileta harrier hybdrid mzee ataweza drive?? .tuachane na zile mila za kuleta mablanketi😉! Sijui mashuka..sijui mundu ...sijui.ng'ombe!...mie nataka nilete gari na hela😉😉!
 
Wewe njoo kwanza ujitambulishe, hayo mengine yanazungumzika.
Mimi kwetu hawaniuzi atiii 🤣🤣🤣🤣
 
Vipaji wanavyo wengi tu shida ipo ktk media na support yao, ni sawa na kusema anakujua nani ,wanamziki wengi bongo wakubwa ukijaribu kufuatilia utaona connection za msanii na media ndo zinamfikisha mbali tofauti na,Nigeria kule kipaji chako na kazi nzuri ndo zitafanya msanii uvume ,bongo unaconnection na media gani?? ifike muda hizi media bongo zibadili uelekeo wafungue milango kwa vizazi plus vipaji vipya
 
Uko sahihi kabisa mkuu, serikali itengeneze mazingira mazuri kwa wasanii haya mambo ya U-God Father hayafai!
 
Mimi navyokupenda siwezi kukufanyia vituko bwana!
I will totally submit to your authority. :D:D:D

Noted! Sitaki utoke na watoto wenzio...
Sitaki sigara, bangi_kulewa daily, uvivu, ujuha wowot sipend .napendq unichallenge kwakwli...! .napenda unipe ushauri....! Pagumu wewe nishauri usiogope...means sipend men mwoga..maana mm sina woga!
Clubing every end of month😊😊!
Sasa ole wako nihisi una kislay kwini😅😅! Nakutimua asbh na mapemaaa!.usiwe too talkative aise ..! Most of our time tufikirie vitu postive..sasa habri za kina zuchu sijui wozu sijui umbea wa insta nakuhamisha room mapemaaa!😃😃(jokes)!
 
Haya masharti kamuumbe mume wako mwenyewe!
 
Back
Top Bottom