Who's the hell is Lewis Makame?

Yaliyotokea arusha ni mwendelezo wa kurasa za tuhuma dhidi ya uchakachuaji wa matokeo....
 
images



images



Hivi huyu Babu muda wake unaisha lini? Kakaa sana kwenye huo wadhifa.

Wana JF nawaombeni mnijuze mchango wake katika kujenga DEMOKRASIA YA TANZANIA kadhalika na wasifu wake.
 

Attachments

  • Makame.jpg
    Makame.jpg
    9.3 KB · Views: 37
Wasifu wake:
Mwanachama mwaminifu wa CCM
Mtaalamu wa kupanga matokeo na kuchakachua kura
Ndiye jaji pekee asiyeunga mkono mageuzi ya katiba
muumini mzuri wa utawala wa kibabe

Mchango wake:
Kashiriki kikamilifu kudidimiza Upinzani Tanzania
Kaiwezesha CCM kuwepo madarakani mpaka leo
Kaiwezesha Tanzania kufikia kiwango cha juu cha Demokrasia ya kwenye Vitabu lakini isiyotekelezwa
 
Jambazi na mwizi mkuu wa watanzania na ccm inasema imefanya mabadiliko. Huyu ndie atangia na ccm shimoni kukutana na shetani. Kazi kubwa alifanya ni kumwibia Dr Slaa na cdm bila hata aibu yeyote na sasa kikwete anataka ampe ufisadi wake. Tutaona hilo shimo la kikwete ni refu kiasi gani.

Election-results-announced-Tanzania_499486.jpg
 
Back
Top Bottom