Mgeninani
Senior Member
- Jan 3, 2010
- 191
- 9
Dr Slaa alilalamika,wengi walifikiri analalamikia kushindwa la hasha! alilalamika kuporwa kura zake halali, umekiri kupitia mkurugenzi wako kwamba matokeo ya Geita uliyachanganya na jimbo jingine,geita ulisema mwanzo Dr slaa kapata kura 3000na kitu umekiri makosa na umempa kura 22000 na kitu tofauti ya kura 17000, remember one vote count.
Kumekua na ucheleweshwaji ambao sasa unaonekana ulikua wa makusudi kukipa chama tawala ushindi mkisingizia miundo mbinu, Arusha mjini na kawe na Njombe kusini kupi kuna miundo mbinu bora?.
Mmekuwa mkisingizia utumiaji wa kompyuta nao vilevile ulisababisha ucheleweshwaji huo, kompyuta ipo kwa ajiri ya kurahisisha kazi
au kufanya kazi iwe ngumu zaidi mnamdanganya nani?.
Vituo hewa vya huko Muheza aliyovyalalamikia Dr Slaa mnadai mnavifanyia uchunguzi kwani nyie hamvijui vituo halali vya uchaguzi?
Tayari mlishaanza kufanya shughuli za kumuapisha na picha zake mpya mkibandika hata kabla ya uchaguzi ni nani mnamfanya ZUZU?.
Mnataka watanzania wauane kwa faida na utashi wenu wenyewe.
Kwa hili wewe na tume yako nzima msimsubiri Okampo aje lazima MJIUZURU.
waTz wasingekuwa na subira lazima wangeanza kufanyiana vibaya.
Watu wabaya sana nyinyi!.