Who would have thought?

Who would have thought?

Mbona wanaibiwa na Mbowe hawasemi?

Tukisema wana hasira kwa kuwatibulia mchanga vitumbua vyao watasema tunawaonea?
Mzee Mwizi ni Mwizi tu...haijalishi ni nani, umuhimu ni kusema tu awe Magufuli au Mbowe kama kuna harufu ya upigaji ni kusema tu....tumuige CAG dhaifu ni dhaifu hakuna kumung'unya maneno........matumizi mabaya ya kodi zetu ni Wizi na anayetumia ovyo bila kufuata taratibu ni MWIZIIIIII....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama wote wezi tuachane na mambo hayo nchi iejiendee?

Najua wote shida tu tunaangalia penye unafuu
 
Ukiona serikali inaanza kumtengenezea zengwe CAG, mara wamwambie utakagua kule huku hakuna kukagua,mara wamfanyie ubabe. Serikali hiyo ni ya kuogopa,ni ya wezi,majambazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkikamatwa mthibitishe hamna hata chembe ya mnachosema. Typical TZs!!!
Ni watu fulani wenye shida zao binafsi wanaojaribu kuzihamishia kwa watu wengine
 
Mkikamatwa mthibitishe hamna hata chembe ya mnachosema. Typical TZs!!!

Hawezi kukamatwa mtu hapa….kama na wewe umelewa na madege ya Magufuli basi ni wewe..
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom