Kwamba yule aliyeanza uongozi wake kwa kutumbua mafisadi,yeye ndio kinara wa ufisadi
Halafu asivyo 'smart' hajui kuiba ..
Yaani kaacha mpaka mtu wa kawaida asiyejua lolote kama mimi kuona hapa kuna wizi sio bure...
Sijui kwa nini hakuwa 'consult' kina Chenge amfundishe jinsi ya kuiba….
ila sijui ni yeye kutokua smart kwenye wizi au Assad ni mtu makini??
Bado najiuliza WHY...?????
kutoka mtumbua mafisadi mpaka kuwa fisadi papa..
Labda aliona watanzania hatu appreciate mambo anayofanya,hivyo kuamua kufanya yanayomuhusu tu..
wanajamii embu tuelezane nini kinaweza kuwa sababu kutoka mtumbuaji mafisadi mpaka kuwa fisadi mkuu??
Mweeeeh!!! Kwa mtindo huu watanzania tuna safari ndefu sanaaaaaaaaa.aaah we vipi 'umekula maharage ya wapi' asubuhi yote hii yanayokufanya kutema pumba humu jamvini au umelala nayo? hivi huyu baba wa watu afanye nini ili muone kuwa ni la maana? hivi ni kweli hamuoni jinsi anavyojitahidi kutujengea misingi imara ya maendeleo kwa kuanzisha na kuisimamia miradi mbalimbali inayoendelea hivi sasa ambayo hakuna yeyote aliyepita aliyethubutu japo kuvizungumzia? MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPENI.
Hiyo..."hata kama"...inakuweka kundi la wazungu wa reli!Ma bad!😂😂😂😂😂Hata kama, sisi tunampenda
Sugu?😂😂😂😂😂Mbona mzoefu tangu enzi.
Tuhuma...wakati Supika Kagoma kufanya kazi na CAG...usumbue ubongo wako kufikiri vyemahuu uzi utapata wachangiaji wengi kutoka UKAWA, wacha nitulie kwa sababu sijaona chochote kilichoandikwa na mleta mada kama kina ushahidi zaidi ya tuhuma tu
Nimekujibu wewe sababu ndio mtoa mada, eti bring back your 1.5t[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimeshageuka Maguyap wote wenye akili kama zako mfe!..hapo juu kuna mtu kasema uozo wake ulikuwepo kabla ya kuwa Rais hujajibu umekuja kujishaua tu hapa,by the way bring back our 1.5 trillion,ma ndege yako baki nayo! mnaridhika?? wewe na nani??
AsanteNASEMA HIVI MACHEN AMALIZE MUDA WAKE MUMTOE MKIWEZA ACHEN KUSEMA SEMA BILA KUCHUKUA HATUA
Yule mlisema dhaifu uyu je????
Bunadamu Hakuna siku umfanyie jambo akaridhika na asikutoe kasoro
No one is perfect
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado nabaki na uafrika tena utanzania, kwa taarifa tu napigika kama mnavyopigika pia lakini nasikia maumivu ya furaha maana tunapigika woteHiyo..."hata kama"...inakuweka kundi la wazungu wa reli!Ma bad![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tuwekee ushahidi hiyo pesa ilivyopigwa...short of that close your legs..Mapenzi yako kwa Raisi wako yasikufanye uwe blind
Wapinzani hamjitambui mnataka nini, watanzania tumeamua kwenda na MagufuliKwamba yule aliyeanza uongozi wake kwa kutumbua mafisadi,yeye ndio kinara wa ufisadi
Halafu asivyo 'smart' hajui kuiba ..
Yaani kaacha mpaka mtu wa kawaida asiyejua lolote kama mimi kuona hapa kuna wizi sio bure...
Sijui kwa nini hakuwa 'consult' kina Chenge amfundishe jinsi ya kuiba….
ila sijui ni yeye kutokua smart kwenye wizi au Assad ni mtu makini??
Bado najiuliza WHY...?????
kutoka mtumbua mafisadi mpaka kuwa fisadi papa..
Labda aliona watanzania hatu appreciate mambo anayofanya,hivyo kuamua kufanya yanayomuhusu tu..
wanajamii embu tuelezane nini kinaweza kuwa sababu kutoka mtumbuaji mafisadi mpaka kuwa fisadi mkuu??
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Tuwekee ushahidi hiyo pesa ilivyopigwa...short of that close your legs..
Mkuu tuheshimiane.Mimi cheti changu cha ubatizo ni orijinale,hakitumbuliki!Bado nabaki na uafrika tena utanzania, kwa taarifa tu napigika kama mnavyopigika pia lakini nasikia maumivu ya furaha maana tunapigika wote
Wengine mlizoea maisha easy easy na bado mkakosoa sio ajabu mkimkosoa huyu aliyewabana
Tunajua mna hasira sababu kawatumbua na mavyeti feki yenu
Hatokujibu mkuu.Tuwekee ushahidi hiyo pesa ilivyopigwa...short of that close your legs..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu tuheshimiane.Mimi cheti changu cha ubatizo ni orijinale,hakitumbuliki!
Watu wanajadili Mwizi Mkuu.... 1.5 Tr...Mwizi anadhidi kujidhihirishaWapinzani hamjitambui mnataka nini, watanzania tumeamua kwenda na Magufuli
Hii nchi haihitaji wanasiasa inahitaji viongoziView attachment 996037
Mbona wanaibiwa na Mbowe hawasemi?Watu wanajadili Mwizi Mkuu.... 1.5 Tr...Mwizi anadhidi kujidhihirisha
Sent using Jamii Forums mobile app