Who would have thought?

Who would have thought?

Mimi mmoja, kuna waliojitokeza hapo juu nao utasema *excluding you*

Jinsi uzi utakavyoendelea utaexclude wengi tu

Tulipo tunaridhika napo kwani nyinyi mna akili gani ya kutufikisha peponi

yap wote wenye akili kama zako mfe!..hapo juu kuna mtu kasema uozo wake ulikuwepo kabla ya kuwa Rais hujajibu umekuja kujishaua tu hapa,by the way bring back our 1.5 trillion,ma ndege yako baki nayo! mnaridhika?? wewe na nani??
 
huu uzi utapata wachangiaji wengi kutoka UKAWA, wacha nitulie kwa sababu sijaona chochote kilichoandikwa na mleta mada kama kina ushahidi zaidi ya tuhuma tu
 
huu uzuri utapata wachangiaji wengi kutoka UKAWA, wacha nitulie kwa sababu sijaona chochote kilichoandikwa na mleta mada kama kina ushahidi zaidi ya tuhuma tu

I save hii topic
 
Power has made him totally drunk.

He thinks that he will either rule forever, or the law will never touch him.

What a terrible illusion.
 
Back
Top Bottom