T11
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 5,096
- 4,578
Kudanganyiwa kivipi?halafu anatudanganyia na ma flyover kama tulivyodanganywa utotoni kwa pipi....
Kwamba mafly over yanatengemezewa mawe ama
Kudanganyiwa kivipi?halafu anatudanganyia na ma flyover kama tulivyodanganywa utotoni kwa pipi....
Eti afanye nini?Kwa hiyo anafanya hisani au ndiyo kazi aliyoiomba?Hivi upo sawa upstairs kweli?Mpaka leo mtu kama weye unashabikia hadi kulengwalengwa machozi kusifia wajibu wa mama kumnyonyesha mtoto wake?Tell me you are still asleep,huh!!?aaah we vipi 'umekula maharage ya wapi' asubuhi yote hii yanayokufanya kutema pumba humu jamvini au umelala nayo? hivi huyu baba wa watu afanye nini ili muone kuwa ni la maana? hivi ni kweli hamuoni jinsi anavyojitahidi kutujengea misingi imara ya maendeleo kwa kuanzisha na kuisimamia miradi mbalimbali inayoendelea hivi sasa ambayo hakuna yeyote aliyepita aliyethubutu japo kuvizungumzia? MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPENI.
Doh.Labda kama unapenda ubishani?Nikuulize?Jana ulikula matonge mangapi ya chakula mchana?Ukiweza,I will surely give the whole world to you!😂😂😂😂
Eti afanye nini?Kwa hiyo anafanya hisani au ndiyo kazi aliyoiomba?Hivi upo sawa upstairs kweli?Mpaka leo mtu kama weye unashabikia hadi kulengwalengwa machozi kusifia wajibu wa mama kumnyonyesha mtoto wake?Tell me you are still asleep,huh!!?
Eti afanye nini?Kwa hiyo anafanya hisani au ndiyo kazi aliyoiomba?Hivi upo sawa upstairs kweli?Mpaka leo mtu kama weye unashabikia hadi kulengwalengwa machozi kusifia wajibu wa mama kumnyonyesha mtoto wake?Tell me you are still asleep,huh!!?
Jamaa anaugomea ukweli kuwa mjomba wake ni mpigaji kama wapigaji wengine tu!Mnhhhh
The big probem with you is:Big name,narrow thoughts!Nisamehe.Hivi alipiga mipushapu kuomba urais ili iweje?Nimekuuliza:Anayoyafanya ni hisani au ndivyo anapaswa kufanya?Tena bado mimi sijaridhika.Bado sana!😂😂😂😂😂Kwahiyo kila anachofanya kizuri anatimiza wajibu wake sio???
Aachwe sasa aendelee kutekeleza muliyompangia.
tehe tehe...ni daraja mkuu,ni mimi ndio nimekosea..lol
Right there,have a coke and smile!😂😂😂😂😂Kabla hata ya kuwa mtumbuaji " tayari alikuwa ndani ya pipa lenye harufu kali na mbaya ya ufisadi ... kauza nyumba za uma ..kaliingizia taifa hasara "kwakwenda kuikamata meli ya wachina wawatu waliokuwa wanavua samaki " baadae jamaa wakashinda kesi mahakamani serikali ikabidi iingie hasara ya kuwalipa pesa wale wachina ....Kanunua kivuko kibovu kwa mamilion ya pesa " ....
In short jamaa ni fisadi tena papa(kubwa lao) " ila ule utumbuaji aliokuwa ana ufanya kwa baadhi ya watu ambao sio rafiki kwake " ili kuwa ni preparing of defense mechanism kwa watu ambao ni wavivu wa kufikiri(ifahamike kwamba kundi hili ndio lenye idadi ya watu wengi nchini )ili watakapo kuja kusikia kwamba kakwapua ma-billions ya fedha "
waseme ( oohh wana msingizia baada ya hao mafisadi kuona kwamba hawana mianya ya kufanya ufisadi wao wameamua kulichafua jiwe letu " ..)View attachment 995857
Sent using Jamii Forums mobile app
Kinacho liangusha TAIFA hili " ni ardhi hii kukubali kuhifadhi idadi ya watu wengi " wenye uhaba wa kufikiri " kuliko wale wenye fikira chanya ...aaah we vipi 'umekula maharage ya wapi' asubuhi yote hii yanayokufanya kutema pumba humu jamvini au umelala nayo? hivi huyu baba wa watu afanye nini ili muone kuwa ni la maana? hivi ni kweli hamuoni jinsi anavyojitahidi kutujengea misingi imara ya maendeleo kwa kuanzisha na kuisimamia miradi mbalimbali inayoendelea hivi sasa ambayo hakuna yeyote aliyepita aliyethubutu japo kuvizungumzia? MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPENI.
Hahaa .... Asante na asubuhi hii kikombe coke ilivyo mwanana sasa dah !!Right there,have a coke and smile![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa Kama anatimiza wajibu wake ipasavyo mtu akisifia unateseka NiniEti afanye nini?Kwa hiyo anafanya hisani au ndiyo kazi aliyoiomba?Hivi upo sawa upstairs kweli?Mpaka leo mtu kama weye unashabikia hadi kulengwalengwa machozi kusifia wajibu wa mama kumnyonyesha mtoto wake?Tell me you are still asleep,huh!!?
Labda aliona watanzania hatu appreciate mambo anayofanya,hivyo kuamua kufanya yanayomuhusuHii mada umeielewa au una hangover eti
Hata kama, sisi tunampendaJamaa anaugomea ukweli kuwa mjomba wake ni mpigaji kama wapigaji wengine tu!
Labda aliona watanzania hatu appreciate mambo anayofanya,hivyo kuamua kufanya yanayomuhusu
[emoji115] [emoji115] Nimejibu kwa kuzingatia maneno yako hayo
Huko kwingine kote sema usemavyo lakini usiseme kwa ujumla eti watanzania hatuappreciate, tupo tunaoappreaciate vibaya mno, tupo ambao tuko tayari kufa kwa ajili yake, yupo tusiopenda hata kidogo kusikia rais wetu anasemwa vibaya na tuko wengi tu
Kwahiyo mimi sina shida na maoni yako, shida yangu ni kufanya maoni yako na genge lenu ati ni ya taifa zima
Hapana, msijifariji wala hamko wengi kama mnavyotaka kuaminisha watu
Mimi mmoja, kuna waliojitokeza hapo juu nao utasema *excluding you*nimeongelea watanzania wengine excluding you..ndio maana tumefika hapa,kama wananchi wenyewe ndio nyie