Who would have thought?

Who would have thought?

Naomba mnyamanze kimya sisi tumenunua ndege zetu nzuri ili tujikite kwenye kusafirisha mbuzi na Samaki. Matokeo chanya ni haya wacha waarabu wapate mbuzi fresh na tunaomba mtusaidie kupata wateja wa nyama. Wacheni kupiga porojo TanZania ni nchi yenye democracy kuliko hata mbinguni na viongozi wa Tanzania ni malaika. [emoji51][emoji51]
 
Bado kusafirisha visheti na kalimati 😂😂😂
 
Kwamba yule aliyeanza uongozi wake kwa kutumbua mafisadi,yeye ndio kinara wa ufisadi

Halafu asivyo 'smart' hajui kuiba ..

Yaani kaacha mpaka mtu wa kawaida asiyejua lolote kama mimi kuona hapa kuna wizi sio bure...

Sijui kwa nini hakuwa 'consult' kina Chenge amfundishe jinsi ya kuiba….

ila sijui ni yeye kutokua smart kwenye wizi au Assad ni mtu makini??

Bado najiuliza WHY...?????

kutoka mtumbua mafisadi mpaka kuwa fisadi papa..

Labda aliona watanzania hatu appreciate mambo anayofanya,hivyo kuamua kufanya yanayomuhusu tu..

wanajamii embu tuelezane nini kinaweza kuwa sababu kutoka mtumbuaji mafisadi mpaka kuwa fisadi mkuu??

Yeereee....

Sista umeaga kwenu!!??

😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥🔥
 
Kuthibitisha nini,jamaa yako ni fisadi kachota 1.5 trillion na hii topic ilibase kwenye recent news za CAG eleweni mada kabla hamjaropoka!
Usijae upepo bibie,tulia!! Wewe si umeleta mada yenye tuhuma tufanye kwa mfano unanituhumu mimi, sasa wadau wanakuuliza unaweza kuthibitisha tuhuma dhidi yangu?! Jibu ni aidha NDIO au HAPANA mbona simpo tu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mnhhhh kama unataka ufafanuliwe mada hii imewekwa as a result of recently CAG news....ndio maana nikasema mpaka yameenda kwa CAG,it shows he is not smart....someni mada muielewe sio kukurupuka..by the way hata nikisema sina proof,does that mean he is innocent?? if you have nothing to hide why uache kufanya kazi na CAG???..wewe ii save hii topic, in the next few days uirudie..
 
mnhhhh kama unataka ufafanuliwe mada hii imewekwa as a result of recently CAG news....ndio maana nikasema mpaka yameenda kwa CAG,it shows he is not smart....someni mada muielewe sio kukurupuka..by the way hata nikisema sina proof,does that mean he is innocent?? if you have nothing to hide why uache kufanya kazi na CAG???..i save hii topic, in the next few days uirudie..
Sasa ungeanza hivi: kwa mujibu wa CAG...then ungeanza kutiririka lkn kwa jinsi ulivyoandika tena kimafumbomafumbo yaani inaonekana kama wewe ndo unazitoa hizo tuhuma. Learn how to disclose the source at first before you continue to kutiririka, sema kiingereza changu sio kizuri sana kama "intaprenyuaa"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom