fundimchundo
JF-Expert Member
- Jul 23, 2010
- 747
- 1,044
Br. Aidan, ambaye alijaribu kuizunguka Abasia ya Peramiho kwa kuingia ubia na mtu mmoja aishiye Kibaha ili hawa wawili kwa pamoja waumiliki mgodi wa Lukarasi anaitwa Nestory?Aliyepeleka taarifa hii ya UWONGO NA UZUSHI kwa mhariri mkuu wa Raia Mwema ni NESTORY MHUWA(Ex Br.Aidan Mhuwa). Huyu alikuwa mtawa wa Abasia Peramiho. Amefukuzwa utawa mwaka huu 2012 baada ya kutiwa hatiani na mahakama ya hakimu mkazi Songea january 2012 na kupata adhabu ya kifungo cha mika 3 jela. Kuanzaia mwezi September 2012 ameanza kutumikia kifungo cha nje. Ex mtawa huyo aliiba mamilioni ya fedha ya Abasia Peramiho, ambayo yanafikia zaidi ya Tsh.500,000,000.-(milioni 500). Amezusha uongo huo ili kulipa kisasi kwa sababu yeye bado anaamini alionewa kwakutia hatiani. Pia, aliutegemea sana mgodi huo wa UMICO, asijue kuwa hakuwa na hisa hata mmoja. Kabla ya kutoa habari hii kwenye gazeti husika alijigamba kuwa Abasia imenifukuza utawa na kusababisha kufungwa, hivyo watanikoma. Nitahakikisha nawakomoa. Ni kweli amewakomoa haswa!
Lakini yote ni uongo mtupu na yatapita kama upepo.Yeye aendelee kumtumika shetani!
Ukweli utapatikana mahakamani!
Hatimaye mmeanza kutajana, mtasema yote. Mara uongo, mara abate, sisi wa kunyumba tunajua kwa ukweli jinsi mtajwa wa hapo juu mlivyomtesa kwa kumfungulia mashtaka ya uongo na kesi ipo mahakama ya rufaa kupinga umafia wako buluda fidelis na abate annastu. wewe buluda unatumia madalaka vibaya, wenzako wazungu wametafuta hela kwa uhalali kwa muda mlefu, wewe unakuja kutapanya kwa kuwafungulia wenzako mambo ya uongo. uongo huwa unafunikwa mala nyingi, lakini infikia maali ukifunika uku, uku unafunuka. aliiba hela ipi, maana naona ktk sakata hili tutasikia mengi, kumbe hata kuwafunga wenzenu mmeshawafunga kwa kitu gani walichowaibia. hukumu ni hapa hapa.Aliyepeleka taarifa hii ya UWONGO NA UZUSHI kwa mhariri mkuu wa Raia Mwema ni NESTORY MHUWA(Ex Br.Aidan Mhuwa). Huyu alikuwa mtawa wa Abasia Peramiho. Amefukuzwa utawa mwaka huu 2012 baada ya kutiwa hatiani na mahakama ya hakimu mkazi Songea january 2012 na kupata adhabu ya kifungo cha mika 3 jela. Kuanzaia mwezi September 2012 ameanza kutumikia kifungo cha nje. Ex mtawa huyo aliiba mamilioni ya fedha ya Abasia Peramiho, ambayo yanafikia zaidi ya Tsh.500,000,000.-(milioni 500). Amezusha uongo huo ili kulipa kisasi kwa sababu yeye bado anaamini alionewa kwakutia hatiani. Pia, aliutegemea sana mgodi huo wa UMICO, asijue kuwa hakuwa na hisa hata mmoja. Kabla ya kutoa habari hii kwenye gazeti husika alijigamba kuwa Abasia imenifukuza utawa na kusababisha kufungwa, hivyo watanikoma. Nitahakikisha nawakomoa. Ni kweli amewakomoa haswa!
Lakini yote ni uongo mtupu na yatapita kama upepo.Yeye aendelee kumtumika shetani!
Ukweli utapatikana mahakamani!
Hatimaye mmeanza kutajana, mtasema yote. Mara uongo, mara abate, sisi wa kunyumba tunajua kwa ukweli jinsi mtajwa wa hapo juu mlivyomtesa kwa kumfungulia mashtaka ya uongo na kesi ipo mahakama ya rufaa kupinga umafia wako buluda fidelis na abate annastu. wewe buluda unatumia madalaka vibaya, wenzako wazungu wametafuta hela kwa uhalali kwa muda mlefu, wewe unakuja kutapanya kwa kuwafungulia wenzako mambo ya uongo. uongo huwa unafunikwa mala nyingi, lakini infikia maali ukifunika uku, uku unafunuka. aliiba hela ipi, maana naona ktk sakata hili tutasikia mengi, kumbe hata kuwafunga wenzenu mmeshawafunga kwa kitu gani walichowaibia. hukumu ni hapa hapa.Aliyepeleka taarifa hii ya UWONGO NA UZUSHI kwa mhariri mkuu wa Raia Mwema ni NESTORY MHUWA(Ex Br.Aidan Mhuwa). Huyu alikuwa mtawa wa Abasia Peramiho. Amefukuzwa utawa mwaka huu 2012 baada ya kutiwa hatiani na mahakama ya hakimu mkazi Songea january 2012 na kupata adhabu ya kifungo cha mika 3 jela. Kuanzaia mwezi September 2012 ameanza kutumikia kifungo cha nje. Ex mtawa huyo aliiba mamilioni ya fedha ya Abasia Peramiho, ambayo yanafikia zaidi ya Tsh.500,000,000.-(milioni 500). Amezusha uongo huo ili kulipa kisasi kwa sababu yeye bado anaamini alionewa kwakutia hatiani. Pia, aliutegemea sana mgodi huo wa UMICO, asijue kuwa hakuwa na hisa hata mmoja. Kabla ya kutoa habari hii kwenye gazeti husika alijigamba kuwa Abasia imenifukuza utawa na kusababisha kufungwa, hivyo watanikoma. Nitahakikisha nawakomoa. Ni kweli amewakomoa haswa!
Lakini yote ni uongo mtupu na yatapita kama upepo.Yeye aendelee kumtumika shetani!
Ukweli utapatikana mahakamani!
Aliyepeleka taarifa hii ya UWONGO NA UZUSHI kwa mhariri mkuu wa Raia Mwema ni NESTORY MHUWA(Ex Br.Aidan Mhuwa). Huyu alikuwa mtawa wa Abasia Peramiho. Amefukuzwa utawa mwaka huu 2012 baada ya kutiwa hatiani na mahakama ya hakimu mkazi Songea january 2012 na kupata adhabu ya kifungo cha mika 3 jela. Kuanzaia mwezi September 2012 ameanza kutumikia kifungo cha nje. Ex mtawa huyo aliiba mamilioni ya fedha ya Abasia Peramiho, ambayo yanafikia zaidi ya Tsh.500,000,000.-(milioni 500). Amezusha uongo huo ili kulipa kisasi kwa sababu yeye bado anaamini alionewa kwakutia hatiani. Pia, aliutegemea sana mgodi huo wa UMICO, asijue kuwa hakuwa na hisa hata mmoja. Kabla ya kutoa habari hii kwenye gazeti husika alijigamba kuwa Abasia imenifukuza utawa na kusababisha kufungwa, hivyo watanikoma. Nitahakikisha nawakomoa. Ni kweli amewakomoa haswa!
Lakini yote ni uongo mtupu na yatapita kama upepo.Yeye aendelee kumtumika shetani!
Ukweli utapatikana mahakamani!
Kama ungesoma vizuri maelezo yangu tangu awali ungenielewa kwamba huko mbali sana na mtazamo wangu. Nilieleza wazi kuwa:
Sahihi za watawa hao wawili hazionyeshi majukumu yao katika shirika kwa vile mwenye wajibu wa mikataba ni Procurator wa shirika, hao wawili hakuna hata mmoja ambaye ni procurator wa shirika. Hivyo ingekuwa ni shauri inayowahusu hao waliotia sahihi badala ya kulihusisha shirika.
Mimi ni Mkatoliki najua vema sana taratibu za kanisa na mashirika yake kadiri zilivyoainishwa na katiba za mashirika, Canon Law ya Kanisa Katoliki na taratibu nyingine zinazowahusu.
Shirika la Wamisionari Wabenediktini wa Peramiho kama nilivyoainisha hapo juu ni tawi kutoka Shirika mama la St Ottilien taratibu za shughuli zao lazima
- Kiroho Mkutano wa shirika uridhie kwa kura za theluthi mbili
- Kiuchumi Mkutano wa shirika lazima uridhie kura kiwango cha theluthi mbili
- Mkuu wa shirika arithie maamuzi ya kura za wanashirika kutilia sahihi
Suala linalohusu uchumi hata kiroho kama kuanzisha tawi au nyumba nyingine, kuanzisha mradi mkubwa kama huo wa machimbo ya madini lazima uidhinishwe na mkutano mkuu wa Shirika mama la St. Otilieni pamoja na halmashauri yake inayoundwa na wakubwa kutoka nyumba kadhaa zenye uwakilishi. Mradi kama huo unatakiwa uwe chini ya uangalizi wa procurator mkuu wa shirika. Mfano Procura ya Benedictine Fathers pale Kurasini si ya Peramiho au Ndanda, bali ni ya shirika chini ya usimamizi wa nyumba zilizoka Tanzania.
Kwa hoja hizo maana yake Mkutano Mkuu wa Shirika ulirithia Machimbo ya Madini na hali kadhalika kupanga mauaji ya Mwaikusa kwa theluthi mbili za wajumbe wa mkutano wa halmashauri kuu ya shirika katika ya katiba yao kadiri ya utashi wa gazeti la Raia Mwema? Je, kwa tuhuma hizi ambazo gazeti la Raia Mwema ina maana Abatia ya Peramiho ilifanya mkutano wake wa kikatiba na kupata idhini ya theluthi mbili kupanga mkakati wa kumwua Mwaikusa?
Uzoefu wa watu walio karibu na wamisionari hawa wana kawaida sana ya kuwasaidia watu kwa njia mbalimbali, hivyo yawezekana machimbo hayo ambayo watu walikuwa wanatumia zana duni, waliona kuna umuhimu wa kuwasaidia zana bora. Kwa vile zana hizo ni ghali sishangai kama watumiaji walitakiwa kuzinunua na kama uwezo haukuwaruhusu walihitaji ushauri wa wanasheria namna ya kufanya kama ilivyozoeleka wao kuomba mwanasheria mzalendo kuwasaidia masuala ya kisheria. Kwa vile ni mfumo wa kiuchumi kuna taratibu zake kama kuzitumia kwa mfumo wa ubia kadiri ya maelekezo ya mwanashria wao.
Peramiho licha ya kuwa na wanasheria wao, wana kawaida ya kuajiri mwanasheria mahiri mzalendo ili kuwasaidia kuweka mambo sawa yahusuyo sheria zinazoingiliana na sheria za serikali. Hilo halina shaka, na ndivyo ninavyoelewa walivyomtumia Mwaikusa.
Tatizo wengi wetu tunakuwa na tafsiri potovu kwa kufanya tafsiri tunavyoona sisi bila kufanya utafiti au kuwaulizia wahusika watufafanulie hili ndilo linalotufanya tuonekane tuko watu wenye upeo wa kiwango cha masafa mafupi.
Rais Kikwete miezi michache iliyopita alifungua umeme jimboni Njombe katika Tarafa ya Mawengi umeme ambao umesambazwa vijijini. Mradi huo kwa mtazamo wa wenye upeo wa kiwango cha masafa mafupi watafikiria ni wa kanisa, kumbe ni mpango wa maendeleo wa kanisa kwa wananchi, ni jambo linalohusu wananchi na kwa manufaa ya maendeleo ya wananchi si kanisa lenyewe. Mpango wa Peramiho kuingiza vifaa hivyo huko mimi ningekuwa na mtazamo huo, vinginevyo kuwepo na vielelezo vya wazi vinavyoonyesha umiliki na document za Shirika na Procura kuthibitisha.
Majuzi Speaker makinda amemrudi waziri na wabunge kuibua kashfa za rushwa bila vielelezo vya wazi na bila uthibitisho, hata ikiundwa tume bila uthibitisho nini kitaendelea? Wanamsakama Makinda, lakini ukweli ndio huo kamati haikukuta evidence, sasa itawatia hatiani kwa mambo ya kufirikika? Mwenye evedence apeleke wafungwe, hakuna aliyethubuti ila naneno mengi, kisheria mambo hayaendi hivyo. Ndio haya sasa ya kufikirika hadi kufikia kulituhumu shirika la watawa kuhusika na mauaji bila evidence kama Lokissa alivyoainisha kwa nukuru ifuatayo:
Kandid Scope, nakusifu kwa kulitetea Shirika kwa nguvu na moyo wote. Maana hata pale penye makosa wewe unalitetea tu. Pole sana.
Unaeleza uzoefu wako juu ya utendaji kazi wa shirika, lakini unachosahau ni kuwa muandishi wa Gazeti kaweka wazi kabisa kuwa shughuli nzima ya umiliki wa mgodi ilikuwa siri au ukipenda ni shughuli ya KIMAFYA. Shughuli kama hizo huwa haziendi katika utaratibu ulioueleza ili kusiwepo nua kuhisiwa kwa jambo lolote lile.
Uchambuzi uliofanyika na Gazeti ni wa kupongezwa, na ulilinga shughuli nzima jinsi ilivyoendeshwa na kuhusika au kuwa na Taarifa kwa wazito wengi wa shirika. Hebu rudia kwa upole nukuuu hapa chini toka gazetini.
"Kwanza napåenda kukutaarifu kuwa shu
Hisa za shirika hilo kwenye ndani ya UMICO hazikuandikwa kwa jina la Peramiho. Hata hivyo, kumbukumbu za kununua hisa zinalifichua shirika hilo pale zinapoonyesha kuwa Peramiho ni mwanahisa ambazo ameaminishwa Johnson Nchimbi, aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya UMICO Ltd azishikilie kwa niaba ya shirika."
"Utaratibu uliotumiwa na shirika hilo kumiliki mgodi huo wa dhahabu wa Lukarasi, ndio unaowapa nguvu watawa hao pamoja na washirika wao kuwaelekeza wachunguzi wa kadhia hii kwenda Brela wakifahamu fika kuwa kule shirika halipo, lakini wakati huo huo wakisahau kuwa kuna nyaraka nyingine zinazowahusisha moja kwa moja na umiliki wa mgodi huo"
"Profesa Mwaikusa alikuwa mhimili mkuu wa Kampuni ya UMICO na mmoja wa wawakilishi wa Shirika ndani ya UMICO. Baada ya mauaji yake, wakurugenzi waliobaki nao walijikuta katika wakati mgumu, wakilazimishwa kuachia nafasi zao"
Kwa hiyo maelezo yako ya kisheria ya shirika kama uandikavyo, "kuanzisha mradi mkubwa kama huo wa machimbo ya madini lazima uidhinishwe na mkutano mkuu wa Shirika mama la St. Otilieni pamoja na halmashauri yake inayoundwa na wakubwa kutoka nyumba kadhaa zenye uwakilishi. Mradi kama huo unatakiwa uwe chini ya uangalizi wa procurator mkuu wa shirika." Hapa maelezo kama hayo hayana nafasi kwani shughuli nzima ni ya kimafya. Na kama yasemwayo si ya kweli kwanini wahusika wanashindwa kuzungumza na waandishi wa Gazeti. Hapa ndipo tunapokuwa na wasiwasi.
Hata kama ukidai kuwa Gazeti halijatoa ushahidi wa kuhusika kwao aidha katika mpango wa kumuua Prof au kuhusika shirika katika umiliki wa Mgodi, hata nawe huna ushahidi wa wao kutoshiriki katika tuhuma hizo. Kwanini unasimama kidete na kudai kwa asilimia 100% kuwa hawakuhusika?
moma2k
Aliyepeleka taarifa hii ya UWONGO NA UZUSHI kwa mhariri mkuu wa Raia Mwema ni NESTORY MHUWA(Ex Br.Aidan Mhuwa). Huyu alikuwa mtawa wa Abasia Peramiho. Amefukuzwa utawa mwaka huu 2012 baada ya kutiwa hatiani na mahakama ya hakimu mkazi Songea january 2012 na kupata adhabu ya kifungo cha mika 3 jela. Kuanzaia mwezi September 2012 ameanza kutumikia kifungo cha nje. Ex mtawa huyo aliiba mamilioni ya fedha ya Abasia Peramiho, ambayo yanafikia zaidi ya Tsh.500,000,000.-(milioni 500). Amezusha uongo huo ili kulipa kisasi kwa sababu yeye bado anaamini alionewa kwakutia hatiani. Pia, aliutegemea sana mgodi huo wa UMICO, asijue kuwa hakuwa na hisa hata mmoja. Kabla ya kutoa habari hii kwenye gazeti husika alijigamba kuwa Abasia imenifukuza utawa na kusababisha kufungwa, hivyo watanikoma. Nitahakikisha nawakomoa. Ni kweli amewakomoa haswa!
Lakini yote ni uongo mtupu na yatapita kama upepo.Yeye aendelee kumtumika shetani!
Ukweli utapatikana mahakamani!
Nilisema toka awali haya mambo hayaendi kwa utaratibu huu tunaoona kwa sababu mfumo wao wa kiutawala na hierarikia ni wa mfumo kama wa serikali, sasa ukweli kwa nukuru hizi unaanza kujitokeza kama nilivyosema ni mtu au watu wawili binafsi ndio waliokuwa wanafanya mambo kwa malengo yao binafsi.fundimchundoBr. Aidan, ambaye alijaribu kuizunguka Abasia ya Peramiho kwa kuingia ubia na mtu mmoja aishiye Kibaha ili hawa wawili kwa pamoja waumiliki mgodi wa Lukarasi anaitwa Nestory?
Unasema amehukumiwa kifungo na Mahakama ya Hakimi Mkazi Songea?
Kweli, dunia hadaa, ulimwengu shujaa!
Kwanza nikupe pole kwa kutojadili hoja husika katika mada gazetini ambayo maudhui yake ni mauaji ya Maikusa, kwamba yalipangwa ndani ya Abatia ya Peramiho na kuatibiwa na Abate Lambert Dorr OSB akiwa ndiye kiongozi wa juu pale kama mkuu wa Abatia. Ningekushauri anzisha mada nyingine inayohusu moral itajadilika vizuri. Hapo utatuletea vielelezo na viambatanisho vya kutujuza uhusika wao na mradi huo kama walimiliki au walitumika kama washauri kwa wachimbaji au waliwekeza vifaa vilivyotumika katika mradi huo vikiwa kama ndio sehemu ya hisa. Hilo twalisubiri uanzishe mada linajadilika.
Kwa uelewa wako sahihi za Brother Edmond ambaye kama sijachanganya ni Br Edmond Kimario mtaalamu wa umeme anayeendesha kitengo cha hicho katika abatia hiyo pamoja na mwenzake Brother Aidan vinathibitisha kuhusika katika mauaji au ni kwa vile tu ni watawa kufanya usichotegemea kiuchumi basi ndio wahusika na mauaji?
Tunacho kijadili hapa ni kesi nzito ya mauaji. Suala kama walihujumu uchumi wa madini au maadili yao kidhamiri kadiri ya mwenendo wa maisha yao ni kesi nyingine ijadilike kwa namna ya uhujumu uchumi si mauaji kwani ni vitu viwili tofauti. Cha ajabu unachohangaika kujibu umejichanganya kwamba la mauaji ya Maikusa hulijui, unawezaje kulijadili jambo usilolijua wakati maudhui ya mada ni kuhusu mauaji hayo?
Nakushauri sana anzisha mada nyingine ya kujadili hilo, kwani mimi mleta mada nililenga maudhui ya mauaji yalivyoripotiwa na gazeti. Natumaini umenipata na kunielewa vizuri. Jazba tuweke kando tunapo jadili mada kama hizi, kwani kama unavyosema wawajua hao ni wengi sana hapa wanawajua sana tu kama nilivyokufafanulia hata mmoja ya majina na kazi anayofanya sijui kama unafahamu hata hilo.
jambo la msingi unachanganya mambo uhusika wa shirika na mwanashirika binafsi kujihusisha katika shughuli kama hiyo kwa siri. Hapo ndipo tunaposhindwa kukutana kwa sababu wewe unavyolichukulia jambo hata pale inatokea vielelezo kuonyesha mhusika hakujihisisha kwa kutumwa au kwa niaba ya shirika ndipo tunapokuja kuelewa tatizo ni la mtu fulani si shirika.
Kama Kikwete kaunda jeshi binafsi na kaenda kuvamia Burundi, hakuna mrundi atayekubali kuwa Tanzania haijaivamia Burundi.
Hatuelewani kwa hilo kwa vile Shirika la Peramiho si la kwanza kutumia ujanja huo. NNaweza kukupa mifano zaidi ya 100.
Kama umeangalia kipindi cha Al jazeera leo juu ya Mashirika yanayofunguliwa nje ya nchi (nje ya Afrika)kwa kutumia majina ya watu wengine ili kukwepa uhusika wao ndio utajua nini mimi ninachokiongelea.
Na katika point hii ndio tunasigana. Utapolielewa hili tunaweza kuendelea na mjadala.
Kwanza kabisa nikuambie unajua kidogo sana kuhusu Kanisa Katoliki licha ya kuwa wewe ni muumini walo. Pili unachokiongea hapo juu ni "ideal situation" tu, eti mpaka sijui theluthi mbili ikae ndio itoe maamuzi. Hiyo hai-apply pale ambapo kuna uhalifu wa aina yoyote ile unapotendeka. Maamuzi yanakuwa ni angalau kwa mtu mmoja au watu wachache sana "inner circle". Bado hujasema kwa nini unaamini kwa uhakika kabisa kwamba wao jamaa watawa hawawezi kuhusika na kifo cha Prof. Nimekwambia usome tu hicho kitabu cha David Yallop kuhusu tuhuma za Vatican kuhusika na kifo cha Papa John Paul I ambaye alikuwa amedhamiria kuisafisha Vatican dhidi ya uchafu uliokuwa umekithiri.
Candid Scope, bado unahitaji kulijua na kulifahamu zaidi Kanisa Katoliki, nje ya maswala ya ibada/misa, liturjia na mambo ya sala kanisani.
Candiki,
Yawezekana unasoma gazeti tofautina lile tusomalo wengine, kwani Bruda Fidelis nimemsomakwenye hiyo article akijibu kimkato kuzuia kuendelea na ahojiano. Pili utetezi wako unasimamia zaidi katika kazi ya utawa kamani malaika wakati ni binadamu kama wengie.
Lakininililolifurahia katikamjadala wa hoja hii, ni hatua ya kufunguka kwa baadhi ya siri, kumbe ni kweli kuna mgogoro pale miongoni mwa watawa kuhusu mali za shirika, kwa nini tukuamini wewe kwamba Fr Muhuwa ndiye mkosaji na isiwe Fr Fidelis au wengine hapo shirikani.
Kama ilivyoelezwa kwenye hiyo artcile, kwamba huo ni mtazamo mpya kuhusu mauaji ya Prof Mwaikusa, lakini hapa unajitahidi kwa nguvu kubwa kutuaminisha kuwa ule mtazamo unaohusisha Burundi ndio sahihi kabisa na sio hao watawa, unathibitishaje, na jee kwa nini pia tusiamini kuwa nanyi ndio wenye kuupotosha umma uangalie mgogoro wa Burundi kwa sababu ilikuwa ushiriki wake kule ulifahamika zaidi na umma!!
Umechokoza ya Br Muhuwa ambaye naye inaonekana anawindwa kuangamizwa, inaonekana huyu ana siri nyingi za hapo, sasa mengi yanafichuliwa, sisi yetu macho na masikio.
Unayazungumziaje madai ya kuhonga katika kuficha ukweli!!!!
Hawa watawa nao ni MAFIA sana. Mafia wa Italy wamekuwa wakishirikiana na Vatican kwa miaka mingi sana. Wengi wanaamini yule Papa aliyedumu miezi 3 tu, alianza kuwakalia kooni Mafia na wakaamua kumfunga mdomo.
Kutoka hapo, Papa amebaki kushughulikia mambo ya Kidini na mambo ya Serikali ya Vatican, kawapisha Watoto wa Mujini.
Ukweli hujitenga na wongo. Tunacho chombo cha kiserikali ambacho ni Usalama wa Taifa ambao ndio wenye kuchukua jukumu la kuchunguza mambo ya kimafya, je, wamewatuhumu hawa kuwa ni mafya? Usalama wa Taifa wametawanyika kila kona ya nchi, hili la umafya lingefanyika kwa njia ipi wakati hao ni wengi wao ni raia wa nje ambao jicho la serikali kupitia usalama wa taifa wako muda wote kuwaangalia mienendo yao?
Tunahitaji kujadili kama great thinker, na naweza kusema sifikirii greater thinker kama Sikonge anaweza kuchuku hoja laini ya kufikirika kirahisi hivi bila uthibitisho, uchunguzi wa kina.
Lets be fair.